Niliyojifunza kupitia mbio za Mwenge 2019

Mtoa mada kuna mambo umeyaandika kwa unazi,pia kuna mambo yana ukweli katika ripoti yako. Miongoni mwa mambo uliyaandika kinazi ni kuhusiana wadada wanaojiuza ambao umesema ni wahudumu wa bar. Ukweli ni kwamba sio tu wahudumu wa bar ndio wanaojiuza bali kuna wengine wamepanga nyumba na kufanya biashara hiyo haramu. Na wengi wao ni machangudoa kutoka huko kanda ya kati na kaskazini. Hasa kwa kipindi hiki cha mavuno ya korosho kunakuwa na ongezeko kubwa la makahaba kutoka mikoa mbalimbali ya nchi hii. Na kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa mikoa ya lindi na mtwara nadhani rejea kwenye takwimu utaupata ukweli. Ama kuhusu suala la umasikini nadhani ungeeleza umasikini wa watu wa mikoa ya kusini umetokana na nini na pia ungetoa mapendekezo yako. Kuzungumzia tu umasikni jumlajumla wakati umasikini ni janga la taifa na hauna takwimu sahihi ni kutuonyesha uchovu wako wa fikra na kampeni ya chinichini inayolenga dharau,kebehi na kujiona.
Kuhusu swala la umasikini wote tunajua Nchi yetu ni masikini lkn hiyo haimaanishi tusizungumzie umasikini wa eneo flani, kwanini nianze kuzungumzia mahali ambapo sijafika na kuona? Lakini nikukumbushe pia unapozungumzia umasini unaweza kuuzumgumzia kwa ujmla au kwa mmoja mmoja! Mwaka Jana nilipata bahati pia ya kukimbia na mwenge mikoa ya Shinyanga, Tabora, Kigoma, na Mbeya lkn wkt ule sikuwa member JF so sikuweza kushare chochote tofauti na mwaka huu, pole kama imekukwaza sio lengo lango, yote kwa yote watu wa Kusini ni wa karimu sn wakijua wewe ni mgeni.
 
Ila wageni wanaoenda Njombe,Iringa na Mbeya ambako maambukiz yako juu hawatumii mipira? Sababu dhaifu sana hii.
Ama kuhusu mtoa mada,amezungumzia umaskini wa Mikoa ya kusini hasa vijijini kwamba ni wa kutupwa. Bahati nzuri Tanzania tunafahamiana vizuri tu. Ukiondoa mkoa wa Kilimanjaro,hali ya maisha vijijini kwa kila mkoa ni mbaya sana na inafanana.
Hivi,vijiji vya mkoa wa Dodoma,Singida,Tabora,Mara,Manyara,Arusha,Mwanza,Shinyanga,Geita,Simiyu kutaja michache vina nini hasa kuweza kusema vina unafuu kuliko vijiji vya Walima korosho wa Mtwara,Walima Chai wa Njombe,Iringa?
Mtoa mada anaandika kana kwamba vijiji vya mikoa mingine vina utajiri. Ukweli ni kwamba vijiji vya mikoa ya Kusini vina unafuu mkubwa kuliko kule kwenye matembe ya wafugaji.
Itoshe tu kusema mtoa mada kaamua kuiponda mikoa husika kwa sababu anazozijua yeye,lakini kama kwa umaskini wa vijijini,Mikoa ya kusini ina unafuu kuliko hata vijiji vya mikoa mingine,ila yote kwa yote,vijijini maeneo yote,hali ya maisha bado hairidhishi,na karibia viko sawa kwa sawa.
Mtoa mada ameongelea mikoa aliyotembelea na mbio za mwenge ndio case study yake mkuu unless unataka ligi
 
Mchakato wa kuwapata wakimbiza mwenge huanzia wazira wa kazi na maendeleo ya vijana. Pili wakuu wa wilaya na wakarugezi wanahofia kwasababu kama kiongozi wa mbio za mwenge akiukataa mradi huyo kiongozi husika anakuwa kwenye wakati mgumu kupoteza nafasi yake na hasa kama kuna ufujaji wa pesa.

Tatu huyu mkimbiza mwenge wa mwaka huu anafanyakazi Taasisi flani ya kiserikali kwa upande wa Zanzibar na kama sijasahau ana taaluma ya Uhandisi na katika lile kundi watano nilifanikiwa kujua kazi zao na taaluma zao pia

Kwa miezi mitatu niliyokuwa na mwenge sijaona ukizimika na sidhani kama utazimika kwakuwa kukitokea upepo unazungukwa usizimike na mafunzo kwa ujumla yanasimamiwa na Idara usalama wa Taifa na kila Mkoa lazima wawepo watu wa usalama wa Taifa wanaoulinda usiku na mchana mpk wanapokabidhi Mkoa mwingine!
Duh! Huo mwenge una nini mpaka unakuwa na masharti ivo?
 
Mtoa mada ameongelea mikoa aliyotembelea na mbio za mwenge ndio case study yake mkuu unless unataka ligi
Tatizo baadhi ya watu wanadhani nimekuja kukebehi kitu ambacho si kweli, nilichoeleza ni kile nilichoona na kujifunza huko, na sikueleza yote, yapo ya hovyo zaidi nikiyasema nitashambuliwa sana! Na haimaanishi kwamba mahali pengine au Mikoa mingine haiko hivyo lakini nani anaeweza kuzungumzia kitu asichokijua na kukiona kama haitakuwa story za kutunga tunga tu?
 
Ila wageni wanaoenda Njombe,Iringa na Mbeya ambako maambukiz yako juu hawatumii mipira? Sababu dhaifu sana hii.
Ama kuhusu mtoa mada,amezungumzia umaskini wa Mikoa ya kusini hasa vijijini kwamba ni wa kutupwa. Bahati nzuri Tanzania tunafahamiana vizuri tu. Ukiondoa mkoa wa Kilimanjaro,hali ya maisha vijijini kwa kila mkoa ni mbaya sana na inafanana.
Hivi,vijiji vya mkoa wa Dodoma,Singida,Tabora,Mara,Manyara,Arusha,Mwanza,Shinyanga,Geita,Simiyu kutaja michache vina nini hasa kuweza kusema vina unafuu kuliko vijiji vya Walima korosho wa Mtwara,Walima Chai wa Njombe,Iringa?
Mtoa mada anaandika kana kwamba vijiji vya mikoa mingine vina utajiri. Ukweli ni kwamba vijiji vya mikoa ya Kusini vina unafuu mkubwa kuliko kule kwenye matembe ya wafugaji.
Itoshe tu kusema mtoa mada kaamua kuiponda mikoa husika kwa sababu anazozijua yeye,lakini kama kwa umaskini wa vijijini,Mikoa ya kusini ina unafuu kuliko hata vijiji vya mikoa mingine,ila yote kwa yote,vijijini maeneo yote,hali ya maisha bado hairidhishi,na karibia viko sawa kwa sawa.
We Dada na wewe unaruhusiwa kuandika thread yako. Acha kujimwambafy kwenye hii ya jamaa.
 
Duh! Huo mwenge una nini mpaka unakuwa na masharti ivo?
Masharti yepi Mkuu? Kuulinda usizimike au kuhakikisha hauanguki? Au hayo mafunzo ya kukimbia na mwenge? Lipo tukio lilitokea kama sikosei ni Tandahimba kuna vijana waliandaa igizo kwenye lile igizo waliingia na mwenge walioutengeneza wao ukiwa unawaka, ilizua kizaazaa pale, vijana wa makubuho wa wakadai mwenge uko mmoja tu, iliamliwa ule mwenge uzimwe na picha zote zilizopigwa na kureodiwa iliamliwa zifutwe na nadhani hakuna picha iliyoripotiwa ingawa uzinduzi wa huo mradi ulilipotiwa.
 
Mtwara lazima nikale vigori
Mkuu nenda tu, kule vigori havijui kukataa, wenyewe wanakwambia kumnyima mtu ulichopewa bure dhambi. pia angalia usizamie huko, kunaitwa gusa unasa kiuno feni!
 
Mtoa mada naomba unisaidie maswali yafuatayo
1.ni sifa zipi anatakiwa awe nazo mtu ili kuwa kiongozi wa mbio za mwenge
2.ni kwann hawa viongozi wa wilaya au wakurugenzi wanamuogopa sana huyu mkimbiza mwenge hali yakuwa yeye wala syo wa kudumu ktka huo mwenge
3. huyu kiongozi wa mwaka huu kabla ya kuteuliwa alikuwa idara gani huko serikali
4.kuna athari gani inatokea endapo ule mwenge utazimika na upepo pale kiwanjani maana wlinzi wanakuwa makini kuukinga ule mwenge dhidi ya upepo
5.Hayo mafunzo ya kuukinga huo mwenge huwa yanatolewa wapi?

Zamani Mwenge kwa namna fulani ulikuwa unahamasisha maendeleo kote kule ulikokuwa unapita waliweza kuweka jiwe la msingi la Shule, Zahanati, Majosho ya kuoshea Ng'ombe, Nyumba za Serikali na kadhalika, baada ya hapo taratibu zikawa zinachanganyika na ufunguzi wa miradi hiyo niliyoitaja hapo juu lakini kibaya zaidi mwenge wetu huo ulianza kuweka mawe ya msingi na kufanya ufunguzi kwenye nyumba binafsi na kufungua miradi ya watu wasiokuwa wasafi kwenye jamii na mwisho leo hii tunaona Mwenge umekuwa chombo cha kukusanya na kubeba maneno ya mtaani na kuyapeleka juu kabisa bila kujali kuwa huko fitina ziilikoanzia kuna Police na Mahakama ambazo zingeweza malizana na hao watuhumiwa
 
Ulichokieleza kina ukweli ila japo uliposema unatumika kubeba maneno mtaani na kuyapeleka juu ndio sijakuelewa vizuri Mkuu.
 
Mkuu nenda tu, kule vigori havijui kukataa, wenyewe wanakwambia kumnyima mtu ulichopewa bure dhambi. pia angalia usizamie huko, kunaitwa gusa unasa kiuno feni!
Mtoa Mada unaonekana unavikubali Sana totoz zetu za kusini..
Vipi lakini ktk muda wote huo uliokuwa mbioni, ulikuwa unapata time ya kuingia JF..?
 
Kule lazima niende nikiwa mjinga natafuta nyumba napanga kabisa
 
kwa hiyo vijiji vya wamasai wapale wahazabe wadigo wabondei wachaga wakaguru wagogo wamang"ati ndio unakuja kuringanisha na makabila ya mbeya iringa ruvuma ambayo njaa ,nyumba za udongo kwao ni msamiati?
 
Mtoa Mada unaonekana unavikubali Sana totoz zetu za kusini..
Vipi lakini ktk muda wote huo uliokuwa mbioni, ulikuwa unapata time ya kuingia JF..?
Haaa haaa nawakabali watoto wa huko, aise sikuwa napata muda wa kutosha kuingia JF, ni kufukuzana barabarani asubuhi mpk jioni. Usiku mtaandaa report na ya kila mradi so muda unakuwa sio rafiki sana.
 
kwa hiyo vijiji vya wamasai wapale wahazabe wadigo wabondei wachaga wakaguru wagogo wamang"ati ndio unakuja kuringanisha na makabila ya mbeya iringa ruvuma ambayo njaa ,nyumba za udongo kwao ni msamiati?
Ndugu yng ukiachia hiyo mikoa niliyopita nikiwa na mwenge ipo Mikoa mingi tu nimepita mpk vijijini sijui km kuna Mkoa usio na nyumba ya udogo labda kama unazungumzia sehemu za mijini.
Huku Ruvuma kutokea Mbinga kwenda Nyasa nyumba za udongo zipo, hata Arusha, Kilimanjaro pia zipo na bado, Tabora vijijini nilizikuta pia
 
unajua mikoa inayo kuwa na baa la njaa mara kwa mara, ya kusini au kaskazini?
 
Nimesoma kwa umakini maelezo ya Uzi wako lakini pia michango yako katika replay zako Katika uzi wako vilevile.Nilichokigundua maelezo yako yanapishana baadhi ya sehemu na hii ni kutokana na haukuwa makini au kulikuwa na sababu nyuma wakati wa kuandika.

Mimi si mwenyeji wa mikoa ya kusini,Lakini Mimi ni mmoja ya wakazi wanaishi kusini ingawa ni kwa kipindi kipindi na hii ni kutokana na shughuli za kilimo cha korosho huko Lindi na Mtwara.Hata hapa ninapojibu/kuandika nipo Mtwara.

Kwanza napingana nawewe kuhusu uchunguzi na maoni yako uliyoyaleta hapa.Huu ni uongo ambao hauwezi kuvumilika hata kidogo.No research no rights to speak.
1)Umedai kuwa mikoa ya kusini umasikini umeshamiri sana kuliko hata mikoa mingine tajwa hapo juu.Hii si kweli nimeishi Mbeya,Mwanza,Arusha,Iringa na baadhi ya mikoa nimepita tu lakini mikoa ya kusini ina uhafadhari hasa mkoa wa Mtwara.
Vijiji vingi ni masikini hapa Tanzania na Kama tofauti uliyopo ni ndogo sana.Lakini umasikini wa vijiji vya Mikoa ya kusini hauwezi kulinganisha na mikoa ya Kanda ya ziwa.

2)Kuhusu maambukizi ya vvu.Ebu mkuu acha kudanganya sana mwisho wa siku watu watakuona una chuki binafsi dhidi ya mikoa hii ya kusini.
Kwanza umeanza kusema kuwa watu wa huku Kuna maambukizi makubwa sana ya ukimwi lakini badaye ukaja kujipinga kuwa watu hawajitokezi Katika vibanda vya kupima ukimwi(contradiction).
Ebu rudi Katika takwimu za kitaifa kuhusu maambukizi ya ukimwi Katika mikoa ya kusini alafu rudi hapa ili urekebishe ulichoandika.
Kwa taarifa yako tu,kasi ya maambukizi ya ukimwi kwa mikoa ya kusini ni ndogo sana.
Hivyo hapa umeshindwa kuficha chuki zako.

3)Kuhusu kujiuza katika maabar.
Hapa nataka nikurekebishe kidogo,Katika mikoa ambayo wanaogopa kufanya umalaya wazi wazi basi ni mikoa hiyo hapo juu.Si kama wanawake was huku ni maaminifu hapana ila wanafanya umalaya kwa kujificha sana na hii ni kutokana na kuwa kuna dini sana.Uliza utaambiwa.
Sasa wanaofanya Biashara ya maabar si wenyeji wa mikoa ya kusini,kwa kipindi hiki cha msimu wa korosho ambacho mwenge umepita huko kuna wageni wengi sana wanakuja hasa wanawake kwa ajili ya kutafuta pesa kupitia miili yao.
Wengi wa wanaofanya Biashara ya baar si wenyeji wa huko(Lindi na Mtwara)

4)Kuhusu elimu nakubaliana na wewe hapa sitii neno.
Mikoa hii hawana kipaumbele Cha elimu hasa kwa wasichana.

Mwisho:
Kupitia mbio za mwenge hauwezi kuja na matokeo ya jumla jumla kuhusu Hali halisi kuhusu maisha ya watu kwani Mara nyingi mwenge umekuwa unapita tu Kama vile mpita njia wakati wa safari.
 
Najua kwa swala la chakula kulimwa unazumgumzia Ruvuma, Iringa na Njombe na Mbeya, mtwara na Lindi mwaka Jana nasikia ndio wamelima kwa wingi zao la muhogo na ht ukipita kwenye mashamba ya korosho wamelima mihogo humo ndani kwahiyo kama utazungumzia njaa basi hiyo mikoa niyoitaja hutaikuta
 
Nimesoma kwa umakini maelezo ya Uzi wako lakini pia michango yako katika replay zako Katika uzi wako vilevile.Nilichokigundua maelezo yako yanapishana baadhi ya sehemu na hii ni kutokana na haukuwa makini au kulikuwa na sababu nyuma wakati wa kuandika.
Mimi si mwenyeji wa mikoa ya kusini,Lakini Mimi ni mmoja ya wakazi wanaishi kusini ingawa ni kwa kipindi kipindi na hii ni kutokana na shughuli za kilimo cha korosho huko Lindi na Mtwara.Hata hapa ninapojibu/kuandika nipo Mtwara.
Kwanza napingana nawewe kuhusu uchunguzi na maoni yako uliyoyaleta hapa.Huu ni uongo ambao hauwezi kuvumilika hata kidogo.No research no rights to speak.
1)Umedai kuwa mikoa ya kusini umasikini umeshamiri sana kuliko hata mikoa mingine tajwa hapo juu.Hii si kweli nimeishi Mbeya,Mwanza,Arusha,Iringa na baadhi ya mikoa nimepita tu lakini mikoa ya kusini ina uhafadhari hasa mkoa wa Mtwara.
Vijiji vingi ni masikini hapa Tanzania na Kama tofauti uliyopo ni ndogo sana.Lakini umasikini wa vijiji vya Mikoa ya kusini hauwezi kulinganisha na mikoa ya Kanda ya ziwa.
2)Kuhusu maambukizi ya vvu.Ebu mkuu acha kudanganya sana mwisho wa siku watu watakuona una chuki binafsi dhidi ya mikoa hii ya kusini.
Kwanza umeanza kusema kuwa watu wa huku Kuna maambukizi makubwa sana ya ukimwi lakini badaye ukaja kujipinga kuwa watu hawajitokezi Katika vibanda vya kupima ukimwi(contradiction).
Ebu rudi Katika takwimu za kitaifa kuhusu maambukizi ya ukimwi Katika mikoa ya kusini alafu rudi hapa ili urekebishe ulichoandika.
Kwa taarifa yako tu,kasi ya maambukizi ya ukimwi kwa mikoa ya kusini ni ndogo sana.
Hivyo hapa umeshindwa kuficha chuki zako.
3)Kuhusu kujiuza katika maabar.
Hapa nataka nikurekebishe kidogo,Katika mikoa ambayo wanaogopa kufanya umalaya wazi wazi basi ni mikoa hiyo hapo juu.Si kama wanawake was huku ni maaminifu hapana ila wanafanya umalaya kwa kujificha sana na hii ni kutokana na kuwa kuna dini sana.Uliza utaambiwa.
Sasa wanaofanya Biashara ya maabar si wenyeji wa mikoa ya kusini,kwa kipindi hiki cha msimu wa korosho ambacho mwenge umepita huko kuna wageni wengi sana wanakuja hasa wanawake kwa ajili ya kutafuta pesa kupitia miili yao.
Wengi wa wanaofanya Biashara ya baar si wenyeji wa huko(Lindi na Mtwara)
4)Kuhusu elimu nakubaliana na wewe hapa sitii neno.
Mikoa hii hawana kipaumbele Cha elimu hasa kwa wasichana.
Mwisho:
Kupitia mbio za mwenge hauwezi kuja na matokeo ya jumla jumla kuhusu Hali halisi kuhusu maisha ya watu kwani Mara nyingi mwenge umekuwa unapita tu Kama vile mpita njia wakati wa safari.
muulize makabila yanayoishi kijima mpaka sasa yapo kusini?
 
Mkuu soma uzi wangu vizuri tena, nilisema Mikoa inayoongoza kwa maambukizi ni Iringa, Njombe na Mbeya, na pia nimesema kwa kipindi hicho muitikio wa watu kupima nikilinganisha mikoa 9 niliyopita Mtwara na Lindi muitikio haukuwa Mkubwa kwa zile sehemu ambazo mwenge ulikuwa unakesha kwasababu kila sehemu mwenge unapokesha kunakuwa naabanda mbali mbali ikiwemo ya Damu salama na kupima HIV, kwa huko muitikio ulikuwa chini mpk ilikuwa inabidi watangaziwe kukumbushwa kwenda kupima tofauti na mikoa mingine hawakuwa wanakumbushwa kumbushwa isipokuwa Wilaya ya Kilindi huko Tanga walikuwa wakitangaziwa pia kupima.

Kuhusiana na swala la Dada poa hiyo mikoa nimeeleza hawapatikani isipokuwa bar ambapo ukimchukua lazima utamlipa meneja bar na huyo Dada, kama uko Mtwara, Masasi, Newala mpk huko kwingine Dada poa utamkuta anahudumia bar utaongea nae utaacha hela ya meneja unaenda unapiga utamlipa na ya kwake. Mwisho sina chuki na watu wa kusini Mkuu.
 
Back
Top Bottom