Niliyojifunza kupitia mbio za Mwenge 2019

Niliyojifunza kupitia mbio za Mwenge 2019

Naomba nikuhakikishie kuwa kama ipo siku tutabahatika kuchagua Rais ambaye ni Malaika kutoka mbinguni, hilo tatizo la mapungufu tutakuwa tumelikomesha kabisa.
Kuhusu habri uliyoandika, ni kweli mtirirko wake namna ilivyo unaonyesha kuwa ni wewe ni professional, vingnevyo ulitakiwa uwe exceptionally gifted katika kuandika. Una uwezo wa kufikisha ujumbe vizuri sana. Mimi nimekuwa mpenzi sana wa kusoma novel na vitabu tangu nikiwa darasa la pili na hivyo nina uwezo mkubwa wa ku-predict nani ni professional writer/journalist na nani siyo. Ubarikiwe kwa makala nzuri na kuonyesha kutoka ndani ya roho yako namna ulivyoguswa na maisha ya ndugu zetu hawa. Nilivyosoma tu habari yako nilipata kitu kikubwa kwamba pamoja na uwezo wako mzuri wa kuelezea matukio uliyoyaona, bado pia yalikugusa kutoka ndani ya roho yako. Majaliwa, Samia na JPM,..., tuuombee huu utatu mbarikiwa, Mungu azidi kuwabariki. Anapowabariki hawa, anakuwa amebariki chain nzima ya uongozi mpaka wenyeviti wa Serikali za mtaa!
Nashukuru sana Mkuu! Tunaendelea kujifunza kupitia mambo mbali mbali tunayoyaona na kukutana nayo.
 
Umasikini mimi naona pote tu hapa Tanzania, nenda Mwanza,Shinyanga,Tabora,Singida na n.k unaweza toa machozi.
Tanzania bado tuna safari ndefu sana.!
 
Back
Top Bottom