Niliyojifunza kupitia mbio za Mwenge 2019

Hyo nafasi ya kukimbiza mwenge umeipataje? Weka sifa maana Wazenj wengi wamehusika
Sikuwa katika lile kundi la wakimbiza mwenge sita kitaifa, nilikuwa na kazi nyingine iliyohusiana na mwenge so niliteuliwa na Ofisi kwahiyo sina uhakika sana sifa japo kuwa nilikuwa karibu na wale jamaa lkn sikuwa interested kuwauliza walipataje?
 
Ila wageni wanaoenda Njombe,Iringa na Mbeya ambako maambukiz yako juu hawatumii mipira? Sababu dhaifu sana hii.
Ama kuhusu mtoa mada,amezungumzia umaskini wa Mikoa ya kusini hasa vijijini kwamba ni wa kutupwa. Bahati nzuri Tanzania tunafahamiana vizuri tu. Ukiondoa mkoa wa Kilimanjaro,hali ya maisha vijijini kwa kila mkoa ni mbaya sana na inafanana.
Hivi,vijiji vya mkoa wa Dodoma,Singida,Tabora,Mara,Manyara,Arusha,Mwanza,Shinyanga,Geita,Simiyu kutaja michache vina nini hasa kuweza kusema vina unafuu kuliko vijiji vya Walima korosho wa Mtwara,Walima Chai wa Njombe,Iringa?
Mtoa mada anaandika kana kwamba vijiji vya mikoa mingine vina utajiri. Ukweli ni kwamba vijiji vya mikoa ya Kusini vina unafuu mkubwa kuliko kule kwenye matembe ya wafugaji.
Itoshe tu kusema mtoa mada kaamua kuiponda mikoa husika kwa sababu anazozijua yeye,lakini kama kwa umaskini wa vijijini,Mikoa ya kusini ina unafuu kuliko hata vijiji vya mikoa mingine,ila yote kwa yote,vijijini maeneo yote,hali ya maisha bado hairidhishi,na karibia viko sawa kwa sawa.
Mkuu kwanza nikuombe radhi kwa kuongea usichokitaka, lakini pia nikuhakikishie sina chuki na watu wa kusini na nimefanya nao kaz na kuishi nao hapa Dar ni rafiki zangu sana, kama ulisoma tangu mwanzo nilisema nilichojifunza na sikusema vijijini vya Mikoa mingine ni tajiri, nimezungumzia uzoefu Mdogo niliouona.
Na kwa taarifa yako mwenge hauruki kijiji so nimepita na nakulala sehemu zote zilizopitiwa na mwenge hizo sehemu hata huko Arusha na Kilimanjaro ni umasikini lkn nimefanya comparison, pole Mkuu

Nielewe tena sina chuki na watu wa kusini kwasababu yoyote ile lakini nimeshare nilichokiona.
 
Nikiwa Ruvuma,Lindi na Mtwara nilijaribu kutembelea mabanda ya kupima HIV na kujaribu kuwauliza wahudumu wa Yale mabanda kuhusiana na maambukizi, nilijibiwa maambukizi kwa vijana yako juu na hawajali kuambiwa ana maambukizi.
Dakika chache baadae:-
Lindi na Mtwara ilikuwa mpaka wanatangaziwa wakapime lakini bado mabanda yalikuwa wazi bila watu isipokuwa Masasi ndio upimaji ulikuwa juu mpaka usiku
Sasa hao Wahudumu walitumia vigezo gani kukuambia maambukizi yapo juu sana wakati hapo hapo unadai hata baada ya kuambiwa wakapimwe, bado mabanda yanakuwa wazi?

Btw, yaani huu mwenge unaopita sehemu kadhaa mbio mbio barabarani huku ukiweka vituo sehemu chache tu ndiyo tayari ukakupa uelewa wa kujua wapi na wapi ni watoa uchi kama karanga za kuonja na wapi si watoa uchi?!

Wewe Mkimbiza Mwenge ambae unatarajiwa hauwezi kuwa mbali na zinapofanyika shughuli za Mwenge, ulionaona vipi wakati hao wanawake wanavyogawa uchi kama pipi?!

Au unataka kutuambia kwenye viwanja hivyo hivyo kunakofanyika shughuli za Mwenge ndivyo hivyo ulikuwa unaona wanawake wanavyogawa uchi?!
 
Mchakato wa kuwapata wakimbiza mwenge huanzia wazira wa kazi na maendeleo ya vijana. Pili wakuu wa wilaya na wakarugezi wanahofia kwasababu kama kiongozi wa mbio za mwenge akiukataa mradi huyo kiongozi husika anakuwa kwenye wakati mgumu kupoteza nafasi yake na hasa kama kuna ufujaji wa pesa.

Tatu huyu mkimbiza mwenge wa mwaka huu anafanyakazi Taasisi flani ya kiserikali kwa upande wa Zanzibar na kama sijasahau ana taaluma ya Uhandisi na katika lile kundi watano nilifanikiwa kujua kazi zao na taaluma zao pia

Kwa miezi mitatu niliyokuwa na mwenge sijaona ukizimika na sidhani kama utazimika kwakuwa kukitokea upepo unazungukwa usizimike na mafunzo kwa ujumla yanasimamiwa na Idara usalama wa Taifa na kila Mkoa lazima wawepo watu wa usalama wa Taifa wanaoulinda usiku na mchana mpk wanapokabidhi Mkoa mwingine!
 
Unatakiwa ujue kukimbia na uwe na pumzi ya kutosha
Kabisa, kama huna pumzi na huwezi kufundisha kwata kwa kiasi ukaelewa usihangaike kuomba na pia mwisho ni Mikoa 35 kuomba na kupata
 
Salaam wote!

Katika hangaika zangu za hapa na pale nilipata fulsa ya kushiriki katika mbio za mwenge kwa baadhi ya mikoa ya Tanzania mwaka huu Na kama tunavyojua Mwenge hukimbizwa Wilayani mpk vijijini na unapokesha basi Mwenge hukesha sehem iliyochangamka na Mara nyingi inakuwa kwenye Kata.

Nilipata bahati ya kuwa kwenye mbio za Mwenge Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, D'salaam, Iringa, Njombe, Ruvuma, Mtwara na kisha Lindi hii ikiwa ni mkoa mzima mpk vijijini kunapokuwa na Miradi ya maendeleo inayozinduliwa au kukaguliwa.

Katika Mikoa yote niliyopita Mikoa ya kusini ina umasikini wa kupindukia mno, nikianza na Iringa na Njombe pamoja na kwamba ni wazalishaji wa chakula na mbao kwa wingi lakini huko vijijini ni tabu tupu, bado watoto kwenda shule bila viatu na nguo zilizochanika ni kawaida sana, watoto kukaa kwenye mawe dalasani ni kawaida pia, huko Ludewa na Makete maisha ni magumu sn, ukiwatizama wananchi unawahurumia wamekata tamaa na hawajui kesho yao japokuwa ni maisha ya kawaida kwao.

Maisha ya wananchi wa Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi yanafanana na ht tamaduni zao ni kama zinafanana kwa kiasi kikubwa, Ruvuma ni Mikoa Mkubwa na km tujuavyo ni wazalishaji wa chakula lakini huko Nyasa, Mbinga vijijini ni shida sn, kuna umasikini wa kutupwa, watu wa kusini wanapenda ngoma mno, ukifika mgeni ambae sio mwenyeji utashangaa kuazia wakubwa mpk watoto, wanaume kwa wanawake wanapenda ngoma na mdundiko, wasichana wa Mikoa ya Kusini kukupa papuchi sio kitu kwao.

Kiwango cha maambikizi ya Ukimwi kiko juu sana, japo kuwa kwasasa Iringa, Njombe na Mbeya inaongoza kwa maambukizi lakini nakwambia wanawake wa Mikoa ya Kusini hawatakunyima ukiwaomba kwa kulinganisha na Mikoa ya Kaskazini niliyopita. Ruvuma, Mtwara na Lindi kumkuta binti Mdogo ana mtoto ni kawaida kabisa, Wenyeji wa Mtwara na Lindi elimu kwa mtoto wa kike sio kipaumbele kabisa!

Nikiwa Ruvuma,Lindi na Mtwara nilijaribu kutembelea mabanda ya kupima HIV na kujaribu kuwauliza wahudumu wa Yale mabanda kuhusiana na maambukizi, nilijibiwa maambukizi kwa vijana yako juu na hawajali kuambiwa ana maambukizi.

Mtwara na Lindi wanampenda sana Ndugu yao harmonize, hata km wanacheza ngoma ikipigwa nyimbo yake wote wanaacha kucheza ngoma wanakimbilia inakopigwa nyimbo yake. Huko Tandahimba kuna shida ya Maji kupita kiasi, wamama asubuhi wanapishana wakiwa na baskeli na madumu ya Maji huku wamebeba watoto mgongoni. Masasi maisha yako juu sn km hapa Dar vyakula mpk nyumba ni km hapa Dar.

Mikoa ya Mtwara na Lindi wadada wanaojiuza wanakuwa ni wale wahudumu wa bar, hii nimeikuta Masasi, Newala, Nanyumbu, Tandahimba na sehem za Mijini za hiyo Mikoa so ukimtaka mda wowote unamchukua unaenda kupiga Ila utamlipa pesa yake na utamlipa meneja wa bar kwa mda ambao hayupo kazini.

Wakauu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wanaogopa sana mbio za Mwenge, Mwenge unapokuwa kwenye eneo lake wanakuwa wenye hofu wakiogopa miradi yao kukataliwa na wanamnyenyekea sn Kiongozi wa mbio za Mwenge ambae anapofika anakuwa na taarifa zote kupitia usalama wa taifa mkoa au wilaya.

Yako mengi nimejifunza kupitia mbio za Mwenge mwaka huu niishie hapa kwanza!
Ni kweeli kabisa mikoa ya kusini tuko nyuma kimaendeleo hasa Lindi na mtwara janga kubwa
 
Nilimaanisha kufundishwa kwata na sio kufundisha
 
Masasi kuna kitu gani cha pekee mpaka gharama za maisha ziwe juu?
 
Sijaelewa hasa kwa siku tatu nilizokaa pale na nilijaribu kuwauliza jamaa zng wa pale nilichoambiwa ni center ya biashara kwa kule na pamechangamka sana hata kwenye migahawa chakula bei yake iko huu pia
 
Salaam wote!

Katika hangaika zangu za hapa na pale nilipata fulsa ya kushiriki katika mbio za mwenge kwa baadhi ya mikoa ya Tanzania mwaka huu Na kama tunavyojua Mwenge hukimbizwa Wilayani mpk vijijini na unapokesha basi Mwenge hukesha sehem iliyochangamka na Mara nyingi inakuwa kwenye Kata.

Nilipata bahati ya kuwa kwenye mbio za Mwenge Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, D'salaam, Iringa, Njombe, Ruvuma, Mtwara na kisha Lindi hii ikiwa ni mkoa mzima mpk vijijini kunapokuwa na Miradi ya maendeleo inayozinduliwa au kukaguliwa.

Katika Mikoa yote niliyopita Mikoa ya kusini ina umasikini wa kupindukia mno, nikianza na Iringa na Njombe pamoja na kwamba ni wazalishaji wa chakula na mbao kwa wingi lakini huko vijijini ni tabu tupu, bado watoto kwenda shule bila viatu na nguo zilizochanika ni kawaida sana, watoto kukaa kwenye mawe dalasani ni kawaida pia, huko Ludewa na Makete maisha ni magumu sn, ukiwatizama wananchi unawahurumia wamekata tamaa na hawajui kesho yao japokuwa ni maisha ya kawaida kwao.

Maisha ya wananchi wa Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi yanafanana na ht tamaduni zao ni kama zinafanana kwa kiasi kikubwa, Ruvuma ni Mikoa Mkubwa na km tujuavyo ni wazalishaji wa chakula lakini huko Nyasa, Mbinga vijijini ni shida sn, kuna umasikini wa kutupwa, watu wa kusini wanapenda ngoma mno, ukifika mgeni ambae sio mwenyeji utashangaa kuazia wakubwa mpk watoto, wanaume kwa wanawake wanapenda ngoma na mdundiko, wasichana wa Mikoa ya Kusini kukupa papuchi sio kitu kwao.

Kiwango cha maambikizi ya Ukimwi kiko juu sana, japo kuwa kwasasa Iringa, Njombe na Mbeya inaongoza kwa maambukizi lakini nakwambia wanawake wa Mikoa ya Kusini hawatakunyima ukiwaomba kwa kulinganisha na Mikoa ya Kaskazini niliyopita. Ruvuma, Mtwara na Lindi kumkuta binti Mdogo ana mtoto ni kawaida kabisa, Wenyeji wa Mtwara na Lindi elimu kwa mtoto wa kike sio kipaumbele kabisa!

Nikiwa Ruvuma,Lindi na Mtwara nilijaribu kutembelea mabanda ya kupima HIV na kujaribu kuwauliza wahudumu wa Yale mabanda kuhusiana na maambukizi, nilijibiwa maambukizi kwa vijana yako juu na hawajali kuambiwa ana maambukizi.

Mtwara na Lindi wanampenda sana Ndugu yao harmonize, hata km wanacheza ngoma ikipigwa nyimbo yake wote wanaacha kucheza ngoma wanakimbilia inakopigwa nyimbo yake. Huko Tandahimba kuna shida ya Maji kupita kiasi, wamama asubuhi wanapishana wakiwa na baskeli na madumu ya Maji huku wamebeba watoto mgongoni. Masasi maisha yako juu sn km hapa Dar vyakula mpk nyumba ni km hapa Dar.

Mikoa ya Mtwara na Lindi wadada wanaojiuza wanakuwa ni wale wahudumu wa bar, hii nimeikuta Masasi, Newala, Nanyumbu, Tandahimba na sehem za Mijini za hiyo Mikoa so ukimtaka mda wowote unamchukua unaenda kupiga Ila utamlipa pesa yake na utamlipa meneja wa bar kwa mda ambao hayupo kazini.

Wakauu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wanaogopa sana mbio za Mwenge, Mwenge unapokuwa kwenye eneo lake wanakuwa wenye hofu wakiogopa miradi yao kukataliwa na wanamnyenyekea sn Kiongozi wa mbio za Mwenge ambae anapofika anakuwa na taarifa zote kupitia usalama wa taifa mkoa au wilaya.

Yako mengi nimejifunza kupitia mbio za Mwenge mwaka huu niishie hapa kwanza!
Ningekushauri uandike kitabu, tunufaike wengi
 
Unatakiwa ujue kukimbia na uwe na pumzi ya kutosha
Kwahyo huyu mkimbiza mwenge yupo fit zaid ya Simbu lakin mbona muda mwingi wanatembea na magari huko kukimbia sijui wanakimbiaga wapi
 
Ni kweeli kabisa mikoa ya kusini tuko nyuma kimaendeleo hasa Lindi na mtwara janga kubwa
Lakini pia swala la elimu Kusini halijapewa kipaumbele sn hasa kwa watoto wa kike, nilijaribu kuuliza nikawa naambiwa mtoto wa kike akifanikiwa kuendelea na secondary ni kumshukuru Mungu hasa kwa baadhi ya maeneo sio yote
 
Mtoa mada kuna mambo umeyaandika kwa unazi,pia kuna mambo yana ukweli katika ripoti yako. Miongoni mwa mambo uliyaandika kinazi ni kuhusiana wadada wanaojiuza ambao umesema ni wahudumu wa bar. Ukweli ni kwamba sio tu wahudumu wa bar ndio wanaojiuza bali kuna wengine wamepanga nyumba na kufanya biashara hiyo haramu. Na wengi wao ni machangudoa kutoka huko kanda ya kati na kaskazini. Hasa kwa kipindi hiki cha mavuno ya korosho kunakuwa na ongezeko kubwa la makahaba kutoka mikoa mbalimbali ya nchi hii. Na kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa mikoa ya lindi na mtwara nadhani rejea kwenye takwimu utaupata ukweli. Ama kuhusu suala la umasikini nadhani ungeeleza umasikini wa watu wa mikoa ya kusini umetokana na nini na pia ungetoa mapendekezo yako. Kuzungumzia tu umasikni jumlajumla wakati umasikini ni janga la taifa na hauna takwimu sahihi ni kutuonyesha uchovu wako wa fikra na kampeni ya chinichini inayolenga dharau,kebehi na kujiona.
 
Ningekushauri uandike kitabu, tunufaike wengi
Hapana ndugu yangu hata hapa nimeyaleta tu baadhi kwakuwa tunatumia hizi ID fake vinginevyo nisigejaribu! Ningeweza kuweka hapa picha na baadhi ya video fupi nilizorecord za baadhi ya matukio lakini vinaweza kunitambulisha na kuniingiza matatizoni kwakuwa baadhi ya maeneo hawaruhusiwi watu wengine kuingia ndani Mfano wanapojadili mradi gani wapitishe au wasipitishe unapokuwa a dosali, wanapopitia nyaraka za manunuzi na ujenzi au watu wamakumbusho wanapokuwa wakiwamegea taarifa husika so kuja vitu nikivieleza vitanitambulisha kwakuwa hata wakuu wa Mikoa, Wilaya na wakurugenzi utolewa nje.
 
Mtoa mada kuna mambo umeyaandika kwa unazi,pia kuna mambo yana ukweli katika ripoti yako. Miongoni mwa mambo uliyaandika kinazi ni kuhusiana wadada wanaojiuza ambao umesema ni wahudumu wa bar. Ukweli ni kwamba sio tu wahudumu wa bar ndio wanaojiuza bali kuna wengine wamepanga nyumba na kufanya biashara hiyo haramu. Na wengi wao ni machangudoa kutoka huko kanda ya kati na kaskazini. Hasa kwa kipindi hiki cha mavuno ya korosho kunakuwa na ongezeko kubwa la makahaba kutoka mikoa mbalimbali ya nchi hii. Na kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa mikoa ya lindi na mtwara nadhani rejea kwenye takwimu utaupata ukweli. Ama kuhusu suala la umasikini nadhani ungeeleza umasikini wa watu wa mikoa ya kusini umetokana na nini na pia ungetoa mapendekezo yako. Kuzungumzia tu umasikni jumlajumla wakati umasikini ni janga la taifa na hauna takwimu sahihi ni kutuonyesha uchovu wako wa fikra na kampeni ya chinichini inayolenga dharau,kebehi na kujiona.
Mkuu kipindi chote cha mwenge Lindi na Mtwara na mikoa niliyoitaja nilishuhudia mengi, sina lengo na kukebehi kama unavyosema, nakuhakikishia ukiwa Masasi, Newala, Tandahimba, Nanyumbu na maeneo mengine Dada poa wanahudumia bar, ukimchukua utamlipa pesa yake na utamlipa meneja wa bar kwa mda ambao umemchukua, sio kama nimehadithiwa nimeona kwa macho yng na jamaa zangu walikuwa wakiwachukua kwa style hiyo sehemuzote hizo, nitajie sehem ambayo Dada poa wanajiuza Lindi na Mtwara,
 
Mtoa mada kuna mambo umeyaandika kwa unazi,pia kuna mambo yana ukweli katika ripoti yako. Miongoni mwa mambo uliyaandika kinazi ni kuhusiana wadada wanaojiuza ambao umesema ni wahudumu wa bar. Ukweli ni kwamba sio tu wahudumu wa bar ndio wanaojiuza bali kuna wengine wamepanga nyumba na kufanya biashara hiyo haramu. Na wengi wao ni machangudoa kutoka huko kanda ya kati na kaskazini. Hasa kwa kipindi hiki cha mavuno ya korosho kunakuwa na ongezeko kubwa la makahaba kutoka mikoa mbalimbali ya nchi hii. Na kuhusu maambukizi ya ukimwi kwa mikoa ya lindi na mtwara nadhani rejea kwenye takwimu utaupata ukweli. Ama kuhusu suala la umasikini nadhani ungeeleza umasikini wa watu wa mikoa ya kusini umetokana na nini na pia ungetoa mapendekezo yako. Kuzungumzia tu umasikni jumlajumla wakati umasikini ni janga la taifa na hauna takwimu sahihi ni kutuonyesha uchovu wako wa fikra na kampeni ya chinichini inayolenga dharau,kebehi na kujiona.
Kuhusu maambukizi nilimjibu pia mchangiaj pale juu kwamba watu wa kusini sio wepesi kupima, na nikaeleza kwa mfano mikoa mingine mabanda ya kupima yalijaa mpk usiku bila ht kukumbushwa wakapime lkn Lindi na mtwara waliopima sikuona kama walikuwa wengi nikilinganisha na Iringa, Njombe, Ruvuma, Tanga, Arusha na Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom