Niliweka rekodi Iringa > Dar

Niliweka rekodi Iringa > Dar

Ni mwaka 1986 na PEUGEOT 504

Safari ilianzia Iringa Railway Hotel saa 12 asubuhi

Dar es salaam saa 5 asubuhi.... ilipokuwa Embassy Hotel.

Kipindi hicho kulikuwa hakuna tochi barabarani.

Magari yalikuwa machache sana barabarani....Hivyo naweza kufuta kisahani 200 KM/H..baadhi ya maeneo.

Sehemu ya kuheshimu ilikuwa ni mikumi tu...... sababu ya wanyama......

Iyofi iyofi...nilikuwa nakamua manake 504 ina balance nzuri sana..... hasa ikiwa na kamzigo kidogo.

Ndani ya gari tulikuwa watu wanne(4) tu...wote tumefunga mikanda,

Zingatia Morogoro Road ilikuwa bado kupanuliwa...hivyo muda mwingi ulipotea baada ya kuingia maeneo ya Luguruni mpaka Town.

View attachment 3678799

YOU BETTER WATCH YOUR BACK.....HALI NI MBAAAAAYA.
Genz wa humu kweli wanapochangia mabandiko yako wawe na heshima aisee....Wengi 1986 hata mimba zao bado kutungwa
 
Ni mwaka 1986 na PEUGEOT 504

Safari ilianzia Iringa Railway Hotel saa 12 asubuhi

Dar es salaam saa 5 asubuhi.... ilipokuwa Embassy Hotel.

Kipindi hicho kulikuwa hakuna tochi barabarani.

Magari yalikuwa machache sana barabarani....Hivyo naweza kufuta kisahani 200 KM/H..baadhi ya maeneo.

Sehemu ya kuheshimu ilikuwa ni mikumi tu...... sababu ya wanyama......

Iyofi iyofi...nilikuwa nakamua manake 504 ina balance nzuri sana..... hasa ikiwa na kamzigo kidogo.

Ndani ya gari tulikuwa watu wanne(4) tu...wote tumefunga mikanda,

Zingatia Morogoro Road ilikuwa bado kupanuliwa...hivyo muda mwingi ulipotea baada ya kuingia maeneo ya Luguruni mpaka Town.

View attachment 3678799

YOU BETTER WATCH YOUR BACK.....HALI NI MBAAAAAYA.
Guluwe..
 
Chai.jpg
 
Ulikua Tajiri kitambo unamiliki gari ambayo walikua wanatumia viongozi bwashee mwaka 1986 mimi huyo nguruwe nilinunua mwaka 2003,4 SA kwa rand 2000 tu kwa muhindi la kwenda nalo job manual lilikua linatumia carburetor lina bodi zito balaa baadae nikakimbia nalo kuliuza Mbeya ndio gari yangu ya kwanza kuileta Tanzania..
 
Usikute huo mwaka 1986 wenyewe mtoa mada bado hajazaliwa! Hii dunia hii, iache tu.
 
Back
Top Bottom