Niliweka rekodi Iringa > Dar

Niliweka rekodi Iringa > Dar

Hii mihuninga ilikuwa inatembea sio mchezo. Nakumbuka Iringa kulikua na DCM ya kina Mike Mwakatundu (Mike T), ikiitwa jina COMPUTER, iliyokuwa inakwenda Dar na kugeuka siku hiyohiyo. Inatoka Iringa saa 11 alfajiri na Dar inaondoka saa 7 mchana. Nadhani Iliacha safari zake mwaka 2000 hivi.
Kabisa...nazikumbuka zilikuwa za njano hivi....
Coach & Truck....
Dar>Iringa kwa nyakati zile ilikuwa fasta tu....Pia kulikuwa na Bus la Comfort Iringa>>Dar>>Iringa
12 usubuhi inatoka Iringa>>Saa 7 Mchana Inatoka Mnazi mmoja...na ilikuwa gari ya kawaida kabisa Isuzu MV 118.
 
Kabisa...nazikumbuka zilikuwa za njano hivi....
Coach & Truck....
Dar>Iringa kwa nyakati zile ilikuwa fasta tu....Pia kulikuwa na Bus la Comfort Iringa>>Dar>>Iringa
12 usubuhi inatoka Iringa>>Saa 7 Mchana Inatoka Mnazi mmoja...na ilikuwa gari ya kawaida kabisa Isuzu MV 118.
Comfort Video Coach (CVC).

Aisee, kipindi kile Tahfif (Nissan Diesel UD) ilikuwa inatoka Nairobi mpaka Sumbawanga kwa siku 1 tu. Saa 10 jioni ipo Iringa, saa 4-5 usiku Sumbawanga
 
Ni mwaka 1986 na PEUGEOT 504

Safari ilianzia Iringa Railway Hotel saa 12 asubuhi

Dar es salaam saa 5 asubuhi.... ilipokuwa Embassy Hotel.

Kipindi hicho kulikuwa hakuna tochi barabarani.

Magari yalikuwa machache sana barabarani....Hivyo naweza kufuta kisahani 200 KM/H..baadhi ya maeneo.

Sehemu ya kuheshimu ilikuwa ni mikumi tu...... sababu ya wanyama......

Iyofi iyofi...nilikuwa nakamua manake 504 ina balance nzuri sana..... hasa ikiwa na kamzigo kidogo.

Ndani ya gari tulikuwa watu wanne(4) tu...wote tumefunga mikanda,

Zingatia Morogoro Road ilikuwa bado kupanuliwa...hivyo muda mwingi ulipotea baada ya kuingia maeneo ya Luguruni mpaka Town.

View attachment 3678799


YOU BETTER WATCH YOUR BACK.....HALI NI MBAAAAAYA.
Wewe na mkeo ni wazungu wa nchi gani?
 
Back
Top Bottom