Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 3,221
- 9,069
Mimi hata ningeitwa na RPC nisingeenda wangenifuata wao home kama watapajua... Hapo hamna kesi hata hivyo unampa nyingi sana kwa mwezi ungesema unampa 20k kila mwezi hakuna police wala mahakama ingekulazimisha ulipe zaidi.. Pesa imekaa kwako zaidi ya mwezi hangaiki kuichukua...