Nilivyotumiwa laki 7.5 kimakosa

Nilivyotumiwa laki 7.5 kimakosa

Wengi humu wanachukulia rahis kwa sabab hawajawah kukutana na mazingira hayo,

Lkn kiuhalisia huwez tumiwa pesa kimakosa alaf mwenye pesa yake aamue kufatilia na ufanikiwe kuchomoka hiyo haiwezekan.

Iwe hupokei sim au umevunja lain utapatikana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajibu kwa kiburi na mihemko tu ila akiwa mbele ya desk anaulizwa wewe unafanya kazi gani? Hiyo pesa uliyoila ulilipwa kwa kazi gani? Huku akimuona mwingine anaambiwa vua mkanda vua viatu ingia kule, hicho kiburi hakitakuwepo.
 
Unaweza jifanya mwamba ukitaitiwa unampigia Bi Mkubwa akusaidie[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Onyo Kali.... Usijaribu kunitumia Hela kwa makosa.. huko ni kuingilia account yangu bila ridhaa yangu... Nitakufanya HAMNA[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
We jichanganye tu

Kuna mwenzako elfu 20 tu ilimtokea puani
 
Hivi Kwa mfano nimesongesha, au Tigo nivushe,
Halafu mtu amenitumia kimakosa, hapo nani alaumiwe?
Au itakuwaje?
 
Mimi nilitumiwa laki 9 kimakosa nilikuwa nadaiwa 18000 ya nipige tafu kwahyo nilikuwa mbali na simu

Baadaye nilikuta hio meseji ya muamala kupokea na kukatwa deni juu kwa juu pia kwa chini nikaona meseji ya muamala kurudishwa

Ela yao wamechukua na deni likabaki palepale

Hio ni kwa Vodacom
 
Sahih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mambo magumu sana sema imekaa sana iyo, mie nilikuta salio langu lina zidio la milioni tano jiioni nilivyoenda NMB ATM pale Mandela bank kama saa mbili usiku hivi. Sikulala nikawaza na nilivyo na shida niitoe nini japo kidogo nikasema ngoja nilale pakuche nitajua cha kufanya. Asubuhi nikabanwa ofisini nikapitia pale saa tatu ivi nitoe waaiiii nilikuta salio langu tuu
 
Dizain km jamaa walijua unataka kufanya nin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishawahi kufanya kaz call center miaka hiyo nilikuwa nazipiga pin balaa number za wahuni wanaopokea miamala kimakosa halafu wanalala nazo mbele nakufungia halafu unakuwa hujui ipo siku unapokea hela halafu sio yako lets say michango ya mgonjwa halafu huwezi kutoa ukipiga huduma kwa wateja unakumbushwa tu unakumbuka mwaka jana ulitumiwa laki tatu ukaenda kunywea chibuku? Ndo hii sasa tunaruka nayo.
Huu nao ni uhuni mwingine, we una uhakika gani kama aliyetuma pesa alikosea kweli
 
Mimi nilishakuta milioni 1 kwenye account ambayo niliifungua tu kwa wale vijana wa barabarani na sikuwahi kuweka hela yoyote. Nikasubiri sana kama miezi mitatu kila nikichungulia imo! Ah nikaona ujinga nikaamua kuipiga na ile akaunti nikaitelekeza.

Mpaka leo ni zaidi ya miaka minne wala sijawahi kutafutwa na mtu.
 
Ilikua km umecheza biko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom