Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,831
- 110,087
Jinai kivipi hapo?
Hilo ni kosa la madai
Extrovert mbona unataka kuniangusha ndugu yangu. Hata kama mtu amekupa fedha kimakosa, na huku ukijua kabisa yale malipo yamekuja kimakosa, ukizitumia, kisheria unakuwa una makosa. Waliotunga sheria waliona mbali na walijaribu kuziba mianya yote ya watu kujipatia vitu vya bure. Hivi unajua kuwa ukiwa kwenye eg daladala na ukaokota fedha zimedondoshwa kwa bahati mbaya, ukizichukuwa na kuzifanya zako, ni kosa kisheria?Ina maana sikuhizi mtu akituma hela kimakosa unakuwa sio uzembe wake tunapelekana polisi?
Mbona hujatoa credit kwa chanzo cha habari yako?
Na pesa ungetoa[emoji41][emoji41][emoji41]Mimi wangenifuata na virungu.
Unaenda polisi halafu kwenye mtandao husikaUnawasiliana vipi na wakala ?
Inategemea umeongea nao vipi.Umeongea uongo.
Hizi taarifa hutolewa kwa polisi sio kwako mteja
Utakatishaji wa hiyo laki moja?Kuna siku inaweza kukugharimu "utakatishaji"
Kwani utakatishaji ni nini mzee hio hio kilo moja...Utakatishaji wa hiyo laki moja?
Kimasikhara kesi ya dongo na dhamana unakosa[emoji41][emoji41][emoji41]Kwani utakatishaji ni nini mzee hio hio kilo moja...
Kizembe tuu nimepiga mlipa kodi sehemu nimemwambia nitumie kwenye namba hii### halafu jamaa nampigia namwambia nimekosea kwa wakala nitumie huku...😂😂😂 hadi uje kueleweka kwamba haukua na uhusiano nae ni tabu sana...Kimasikhara kesi ya dongo na dhamana unakosa[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Too small to make sense.Kwani utakatishaji ni nini mzee hio hio kilo moja...
Ndio
Labda tuandikishiane na sijui no lini ningeilipa.ningeenda nao mahakamani
Nguvu yote hiyo ilimrad usirudishe pesa ya watuLabda tuandikishiane na sijui no lini ningeilipa.ningeenda nao mahakamani
Samahani nje ya mada kidogo... utakatishaji wa fedha ukojekoje? Maana nasikia tu ila sijui lolote na ukubwa huuKwani utakatishaji ni nini mzee hio hio kilo moja...