Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
- Thread starter
- #21
We nilengee mi ntavifata kwako, au we muuza viatu wa soko gani lililoungua zaidi ya Karume?
Ni vigumu sana kuuchuna au kutupa laini unapopokea pesa kimakosa halafu usidakwe.Kuna mtu alinitumia laki kupitia crdb kuja mpesa.. akanipigia simu kisha nikamrudishia hapohapo hakuamini akabaki kushukuru maana aliniambia nimrudishie japo kiasi nikamtumia yote.
Halafu kuna jamaa nikamkopesha 5m akapotea.. ila siku inakuja atailipa tu.
Na vipi kama mkishindwa kukubaliana utaratibu wa kulipaHuwezi fungwa kwa kosa kama hilo, hiyo ni kesi ya madai na itaamuliwa kwa kuwekwa utaratibu wa namna ya kurejesha...
Namaanisha ukija hautokosaWe nilengee mi ntavifata kwako, au we muuza viatu wa soko gani lililoungua zaidi ya karume?
Hiyo ni jinai kwanini ule hela ambayo sio yako?Huwezi fungwa kwa kosa kama hilo, hiyo ni kesi ya madai na itaamuliwa kwa kuwekwa utaratibu wa namna ya kurejesha...
Barida ntakuja soon hapo.
Pesa sio yangu ila nishaila 😂😂😂Niliwahi kupokea muhamala kupitia voda laki mbili na nusu. sukuangaika nao hadi pale voda waliponipigia kuniuliza kama ile pesa sio yangu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna siku inaweza kukugharimu "utakatishaji"Kuna mtu alinitumia laki kupitia crdb kuja mpesa.. akanipigia simu kisha nikamrudishia hapohapo hakuamini akabaki kushukuru maana aliniambia nimrudishie japo kiasi nikamtumia yote.
Halafu kuna jamaa nikamkopesha 5m akapotea.. ila siku inakuja atailipa tu.

Utaitapika aiseePesa sio yangu ila nishaila 😂😂😂
Hahahah si mpaka mtu aniendee upaiUtaitapika aisee
Unawasiliana vipi na wakala?Kiutaratibu unapopokea muamala ambao hauna taarifa nao unalazimika kuwasiliana na aliyeutuma
Sent using Jamii Forums mobile app