Nilivyonasa kwenye mtego wa simu za mkopo

Ina maana kama ni hivyo basi hzi tecno hawa jamaa wanauza.kwa mkopo490,000. Huoni kama ni uhuni mkuu na si biashara
Kwa mfano A05 kwa mkopo ni 411,359. Kianzio ni 80,000. Ukishalia kianzio tunakusajilia simu. Utalipa mkopo wako wa 411,359 kwa miezi 6.

Kwahiyo hapo utaona hiiyo elfu 80 iko njee ya total loan. Hapo kimsingi jumla ya mkopo ni 491,359.
 
Sio uhuni mkuu. Hatukulazimishi kukopa. Ukija tunakuelezea kwa kina kila kitu alafu maamuzi utafanya mwenyewe.

Wapo wateja wanakuja ukimwelezea gharama zilivyo anasitisha kukopa. Ila 95% huwa wanakopa.

Wabongo wanajilipua wanakopa A55 na total loan ni 2.2M hata hawaogopi. Wanakumbia maisha yenyewe mafupi
 
Simu ya 240,000 mnatoa kwa.mkopo miezi sita 491,359. Mko sirias au mnatania. Hiyo simu ni biashara gani mteja anaifanyia ya kuweza kumwingizia hiyo hela kwa mda huo
 
Mi nafkiri watu wengi wanakuja kuelewa baada ya kuchukua mkopo. Hiyo hela ni nyingi sana mkuu mnaumiza sana watu
 
Maana mdau kanishtua alivyosema kianzio siyo sehemu ya mkopo. Na kama siyo hicho kianzio ni cha nini? Ina maana hela ya kianzio wanapewa bure au
Mimi ninayo A05s niliambiwa ni laki 6 elf 30 na kadhaa.
Kianzio ni 120,000 nilipolipa kianzio kiliwekwa moja kwa moja kwenye miamala yangu katika App ya watu na sehemu ya deni ikasoma laki 5 elf 16 na shilingi kadhaa.
 
Simu ya 240,000 mnatoa kwa.mkopo miezi sita 491,359. Mko sirias au mnatania. Hiyo simu ni biashara gani mteja anaifanyia ya kuweza kumwingizia hiyo hela kwa mda huo
🤣🤣🤣Mkuu mbona kama umepata pa kutapikia nyongo!
 
Mimi ninayo A05s niliambiwa ni laki 6 elf 30 na kadhaa.
Kianzio ni 120,000 nilipolipa kianzio kiliwekwa moja kwa moja kwenye miamala yangu katika App ya watu na sehemu ya deni ikasoma laki 5 elf 16 na shilingi kadhaa.
Hata mimi iliwekwa mkuu ila mdau yeye ankataa kuwa kianzio hakiusiani na déni
 
Kwa mfano A05 kwa mkopo ni 411,359. Kianzio ni 80,000. Ukishalia kianzio tunakusajilia simu. Utalipa mkopo wako wa 411,359 kwa miezi 6.

Kwahiyo hapo utaona hiiyo elfu 80 iko njee ya total loan. Hapo kimsingi jumla ya mkopo ni 491,359.
Hata mimi iliwekwa mkuu ila mdau yeye ankataa kuwa kianzio hakiusiani na déni
Kwa maelezo yake hapo juu ni kwamba tunazungumza lugha moja ila tofauti ni matamshi tu.
 
Back
Top Bottom