Hawajanidai mpaka leo toka mwaka 2022 januari.Hawakukutafuta kukudai?
Ukichukua simu ya mkopo halafu upige mahesabu vizuri utajipiga piga kifuani halafu unasema taratibu mimi mjinga.So kumbe hata Mimi mwenye simu ya mkopo naweza itupa kisha nikawaambia imeibiwa? Nataka niachane na simu hii ya mkopo ninunue simu yangu hata ya laki na 20 maana hii naona niliingia chaka
Cheap is expensive...Baada ya simu yangu ya tecno kuharibika sikuona haja ya kupoteza hela kuipeleka kwa fundi kwa sababu nilikuwa nimeitumia kwa miaka mitatu hivyo nikaona ni bora tu nikatafute simu nyingine mpya ya kutumia. Tarehe 2/2 nikaamua kwenda town kununua simu ila niliplan safari hii ninunue Samsung maana sikuwahi kuitumia kabla. Nilipofika town nikaenda kwenye duka moja la simu nikaulizia bei ya Samsung nikaambiwa 680,000 ila hela yangu ikawa haitoshi ndipo jamaa ambaye ni muuzaji akanishawishi kama vp kuna Samsung pia za mkopo hivyo kama sitojali naweza tu kuchukua halafu niwe nalipa kidogokidogo. Basi mi sikujali kwa sababu aliniambia kianzio cha mkopo ni 80,000 halafu hiyo iliyobakia nitakuwa nailipa mdogo mdogo hadi mda wa mkopo wangu utakapoisha. Akanipa Samsung Ao5 nikalipa kianzio halafu akanipa namba ya kampuni ambayo nitakuwa nalipia hela iliyobakia, kama ni kwa wiki, siku au mwezi. Kwa siku2260 au kwa wiki 15821. Sasa kitu ambacho mimi sikukigundua wala kuuliza ni kiasi cha riba kwenye hizi simu za mkopo kwa sababu wiki mbili baadae jamaangu mmoja nae alienda kununua simu kama hii ya kwangu lakini yeye haikuwa ya mkopo alilipa cash. Sasa kitu kilichonishtua ni bei jamaangu aliyonunulia, yeye aliuziwa 240’000 na mimi niliambiwa ni 411’000 nilipe kidogokidogo kwa miezi 6. Kilichonishtua ni bei halisi ya simu kwa cash na mkopo. Yaani 240’000 cash na mkopo 411’000 ikiwa ni ongezeko la 170’000 yaani riba ya mkopo ni robo tatu ya bei ya simu. Duh kweli vitu vya mkopo kwangu basi nilinasa kwenye mtego na sitorudia tena hakika huu ni wizi na utapeli wa waziwazi.
Mimi nilichukua Samsung Galaxy A14 5G tatu nimetoa kianzio tu nikazi unlock Moja nimeuza nyingine wife anatumiaHii simu ya tano nafanya ivyo sijawahi lipa zaidi ya 80 yao tu
Wanasema deni ni himilivu. Nadhani kuna namna wananufaika na mikopo.Hyo ndio maana halisi ya MKOPO mkuu,,hata serikali Yako ya CCM nayo inakopeshwa pesa kdg ribaa mlimaa na wazunguuu ety na walaa hawalalamikiii...
Inbox nakuchekiMimi nilichukua Samsung Galaxy A14 5G tatu nimetoa kianzio tu nikazi unlock Moja nimeuza nyingine wife anatumia
VODACOM or TIGO au mkopo umechukulia wapiMimi ni A 15 bei yake kwa cash ni nne na nusu ila kwa mkopo malipa nane na nusu.
Watu credits.VODACOM or TIGO au mkopo umechukulia wapi
i think hao voda na tigo wapo fairly kidogoWatu credits.
Soma uzi mzima kuna mwenzio nilimjibu kwa research.Asilimia 70 ya mamilionea, hii umeifanyia research mwenyewe
Kwenye research iliyofanywa na waandika vitabu. Soma uzi woteHizi asilimia umetoa wapi?
Uko wapi mkuu. Mi niko chugaMimi nilichukua Samsung Galaxy A14 5G tatu nimetoa kianzio tu nikazi unlock Moja nimeuza nyingine wife anatumia
Nipo dar es salaam kigamboniUko wapi mkuu. Mi niko chuga
Dah ungekuwa chuga mkuu ningekutafuta maana haka kaniaje kananipa stressNipo dar es salaam kigamboni
Pole ndugu yanguDah ungekuwa chuga mkuu ningekutafuta maana haka kaniaje kananipa stress
Shukrani bossPole ndugu yangu
namjua ni mtu wa bariadi mwanzaKwani umetokea kijiji gani mkuu...🤔