kwani uliweka rehani ya nyumba?Mimi ni A 15 bei yake kwa cash ni nne na nusu ila kwa mkopo malipa nane na nusu.
kwani uliweka rehani ya nyumba?Mimi ni A 15 bei yake kwa cash ni nne na nusu ila kwa mkopo malipa nane na nusu.
Unakuwa na wadhamini na unatoa namba zao.kwani uliweka rehani ya nyumba?
Kianzio sikinakuwa ndani ya bei mkuu. Kwa mfano simu bei 500000 ukitoa kianzio 80000 sikinajumuishwa kwenye bei ina maana hapo mkopo wako unakuwa 420,000Duka ni mim mkuu.. DM iko wazi
Huwa muda huwa ni kuanzia wiki au ni kila baada ya masaa 24?Ikifika mda fulani ambao mmekubaliana kupeleka rejesho na wewe ujapeleka, wanakutafuta na kama hupatikani wanatafutwa walio kudhamini.
Nadhani inawezekana kwasababu huichukui simuSikupata hilo wazo maana
Samsung inawezekana?
Hapo nilichemsha jamaa alivyoniambia bei ya mkopo nilidhani ndo bei yake halisi sikujua kuna riba kubwa kiasi hichoNadhani inawezekana kwasababu huichukui simu
Tatizo la riba ni mwaka tu ila unafuata unalipa riba tena ...🤣Na bado napambana na hiyo bajaj mpaka ifike miezi 30, ni sawa na miaka miwili na miezi 6.
Week ikiwa umefululiza na kama kidogokidogo unapewa onyo .Huwa muda huwa ni kuanzia wiki au ni kila baada ya masaa 24?
Na mwisho huwa ni kama simu tu au ikifika mwisho wa mkataba na hujamaliza wanachukua chuma yao kama wafanyavyo baadhi ya mabosi wa mtaani?Week ikiwa umefululiza na kama kidogokidogo unapewa onyo .
Wanachukua na wanapeleka kwenye yard yao ambayo ipo pale rafia mbezi beach.Na mwisho huwa ni kama simu tu au ikifika mwisho wa mkataba na hujamaliza wanachukua chuma yao kama wafanyavyo baadhi ya mabosi wa mtaani?
Asante mkuu nafikiria kuchukua pikipiki ngoja nione kama naweza kufanikiwa.Wanachukua na wanapeleka kwenye yard yao ambayo ipo pale rafia mbezi beach.
Hizi asilimia umetoa wapi?Binafsi ninakauli mbiu kwa mahitaji yangu asilimia 95.... if I can't buy it in cash I can't afford it.
Naheshimu mawazo ya wanaonunua hivi vitu kwa mkopo.
Simu siwezi nunua kwa mkopo.
Gari siwezi kununua kwa mkopo.
Furniture siwezi nunua kwa mkopo.
Kama nahitaji kununua gari nitasubiri mtu afulie aniuzie gari. Siwezi kwenda bank nikachukua mkopo wa kununua gari, simu, furniture, kujenga nyumba n.k
Zaidi ya asilimia 70 ya mamilionea duniani wanaendesha second hand cars.
Mkuu niidonload kwenye sim au kwenye PC kwanza?Tumieni hizi APK kwenye pc zenu mtoe hizo security plug
Cha kwanza download file la simu unalotaka kutoa security plug
Pitia hapa
FirmwareX.Net - Free downloads firmware for phones and tablets
Find any firmware, published by FirmwareX.Net. It's easy to find the firmware for your phone. Free downloads firmware for phones and tablets.firmwarex.net
Hatua ya pili ingia hapa chukua hii ikikushinda lipia unlock tool au tafuta iliyo cracked
![]()
Download Infinity Chinese Miracle-2 CM2MT2 v2.43 - New Update
www.softwarecrackguru.com
Mkuu niidonload kwanza kwenye sim au kwenye PC?Tumieni hizi APK kwenye pc zenu mtoe hizo security plug
Cha kwanza download file la simu unalotaka kutoa security plug
Pitia hapa
FirmwareX.Net - Free downloads firmware for phones and tablets
Find any firmware, published by FirmwareX.Net. It's easy to find the firmware for your phone. Free downloads firmware for phones and tablets.firmwarex.net
Hatua ya pili ingia hapa chukua hii ikikushinda lipia unlock tool au tafuta iliyo cracked
![]()
Download Infinity Chinese Miracle-2 CM2MT2 v2.43 - New Update
www.softwarecrackguru.com
Hapana mkuu. Kianzio sio sehem mkopo uliobaki.Kianzio sikinakuwa ndani ya bei mkuu. Kwa mfano simu bei 500000 ukitoa kianzio 80000 sikinajumuishwa kwenye bei ina maana hapo mkopo wako unakuwa 420,000
Kwanini mkuu kwamba kianzio ni sadaka auHapana mkuu. Kianzio sio sehem mkopo uliobaki.
NI kianzio cha mkopoKwanini mkuu kwamba kianzio ni sadaka au
Kianzio sikinakuwa ndani ya bei mkuu. Kwa mfano simu bei 500000 ukitoa kianzio 80000 sikinajumuishwa kwenye bei ina maana hapo mkopo wako unakuwa 420,000
Mkuu pengine hujamwelewa mkuu ama mimi ndiyo sijaelewa.Hapana mkuu. Kianzio sio sehem mkopo uliobaki.
🤣🤣🤣🤣🤣 eti kianzio ni sadaka.Kwanini mkuu kwamba kianzio ni sadaka au
Ina maana kama ni hivyo basi hzi tecno hawa jamaa wanauza.kwa mkopo490,000. Huoni kama ni uhuni mkuu na si biasharaNI kianzio cha mkopo
SawasawaNa nimekopa bajaji ya million kumi narudisha million 22 cash na hakuna kurudi nyuma.