dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,347
Miaka miwili na miezi sita 🙌Miezi 30 na kila siku ni elfu 25,000/=
Miaka miwili na miezi sita 🙌Miezi 30 na kila siku ni elfu 25,000/=
Na bado napambana na hiyo bajaj mpaka ifike miezi 30, ni sawa na miaka miwili na miezi 6.Kwa muda gani? Kumbe bora ile mikopo ya watumishi, 17% yaani riba inakutesa hapa kabla hujafa🤣
Sio poa kufanya fraud kwenye mikopo , hii ndio inasababisha riba zinakuwa kubwa sababu watu wanakuwa hawalipi . Lakini kingine siku hizi kuna credit reference bureau , rekodi yako ya mkopo ikiwa mbaya utakuwa hukopesheki . Ni swala la muda tu kabla financial institution zote kuanza kuapply hii kitu strictlyTumieni hizi APK kwenye pc zenu mtoe hizo security plug
Cha kwanza download file la simu unalotaka kutoa security plug
Pitia hapa
FirmwareX.Net - Free downloads firmware for phones and tablets
Find any firmware, published by FirmwareX.Net. It's easy to find the firmware for your phone. Free downloads firmware for phones and tablets.firmwarex.net
Hatua ya pili ingia hapa chukua hii ikikushinda lipia unlock tool au tafuta iliyo cracked
![]()
Download Infinity Chinese Miracle-2 CM2MT2 v2.43 - New Update
www.softwarecrackguru.com
Hii simu ya tano nafanya ivyo sijawahi lipa zaidi ya 80 yao tuSecurity plug yake ni easybuy au nuovo? Kama unaweza mambo yasiwe mengi toa izo security plug uendelee kutumia simu bila malipo
Si kweli mdau jamaa yangu aliiunlock wao wakawa wanamcall alipe deni nayeye anawajibu hana ela mpaka wakachoka wenyew kumcallUki unlock simu labda unadili line ndio hawakupati,ukiendelea nayo utadakwa tu.
150 X kama zipo kianzio ni bei gani na malipo kamili ni bei gani?Boxer
Kampuni niliyokuepo ilikua inakopesha simu za Tecno, Infinix na Itel.kampuni gani nzuri nataka samsung s24 ultra
Ila uwaambie tu sio simu zote utaweza ku unlockTumieni hizi APK kwenye pc zenu mtoe hizo security plug
Cha kwanza download file la simu unalotaka kutoa security plug
Pitia hapa
FirmwareX.Net - Free downloads firmware for phones and tablets
Find any firmware, published by FirmwareX.Net. It's easy to find the firmware for your phone. Free downloads firmware for phones and tablets.firmwarex.net
Hatua ya pili ingia hapa chukua hii ikikushinda lipia unlock tool au tafuta iliyo cracked
![]()
Download Infinity Chinese Miracle-2 CM2MT2 v2.43 - New Update
www.softwarecrackguru.com
Kama kudakwa unamaanisha kupigiwa simu upo sahihi. Ila siyo kwamba utakamatwa na kupelekwa jela.Uki unlock simu labda unadili line ndio hawakupati,ukiendelea nayo utadakwa tu.
Mkuu hiyo bajaji wanaifanyaje sasa ili uilipie kila siku? maana simu najua inafungwa.Na bado napambana na hiyo bajaj mpaka ifike miezi 30, ni sawa na miaka miwili na miezi 6.
400k ndio kiannzio. Malipo kila week ni 64,500/=150 X kama zipo kianzio ni bei gani na malipo kamili ni bei gani?
Sikupata hilo wazo maanaUngeli lipa hiyo 220,000 halafu ndani ya wiki ungelienda kuchukua simu ama laki 2 kama advance payment
Samsung inawezekana?Ila uwaambie tu sio simu zote utaweza ku unlock
Kwa muda gani hayo malipo?400k ndio kiannzio. Malipo kila week ni 64,500/=
Duka ni mim mkuu.. DM iko waziKampuni niliyokuepo ilikua inakopesha simu za Tecno, Infinix na Itel.
Watu Simu wanakopesha Samsung pekee.
Ila hata kama wanakopesha Samsung haimaanishi Samsung zote zitakua zinakopeshwa hua wanachagua chache. So fika duka lolote la Watu Simu ulizia kama wanakopesha Samsung unayotaka.
ni msukumer huyu..Ng'ombe hamuishagi
Gps huwa mnafunga wapi mkuuMkuu unafanyia kampuni gan? Mimi nafanya na WATU CREDIT TZ. Nakopesha simu usiku na mchana.
Mpaka Samsung A56 tayar ipo kwenye mkopo.
Haina ukabila wala ushamba mkuu mtu yoyote anakopeshwani msukumer huyu..
Miaka miwili na miezi sita asee🙌
Ikifika mda fulani ambao mmekubaliana kupeleka rejesho na wewe ujapeleka, wanakutafuta na kama hupatikani wanatafutwa walio kudhamini.Mkuu hiyo bajaji wanaifanyaje sasa ili uilipie kila siku? maana simu najua inafungwa.