Nilivyonasa kwenye mtego wa simu za mkopo

Nilivyonasa kwenye mtego wa simu za mkopo

Binafsi ninakauli mbiu kwa mahitaji yangu asilimia 95.... if I can't buy it in cash I can't afford it.

Naheshimu mawazo ya wanaonunua hivi vitu kwa mkopo.

Simu siwezi nunua kwa mkopo.
Gari siwezi kununua kwa mkopo.
Furniture siwezi nunua kwa mkopo.

Kama nahitaji kununua gari nitasubiri mtu afulie aniuzie gari. Siwezi kwenda bank nikachukua mkopo wa kununua gari, simu, furniture, kujenga nyumba n.k

Zaidi ya asilimia 70 ya mamilionea duniani wanaendesha second hand cars.
Piga ua huwezi kuvaa viatu au nguo za mikopo ata mitumba
 
Piga ua huwezi kuvaa viatu au nguo za mikopo ata mitumba
Kuna watu wanavaa. Hii ndiyo Michezo ya Ulaya, South Africa sijajua Marekani.

Stores nyingi za simu, vifaa vya matumizi ya nyumbani, magari, nguo wanatoa vitu kwa mikopo. Unajikuta unanunua sofa set ya milioni 2 kwa mkopo unalipa milioni 4 au 5.
 
Kuna somo kubwa, Bora kununua used cash kuliko kupew kipya kw mkopo
 
Kuna somo kubwa, Bora kununua used cash kuliko kupew kipya kw mkopo
Ni kweli kabisa.
Muda mwingi unakuta hawana pesa za kulipa. Mfano kama Sofas ni Euro 1 000. Kulipa cash hii pesa si mchezo.

Labda kama unakazi nzuri au discipline ya kusave. Ila ukiambiwa Lipa 50 kila mwezi unachukua...desperation pia.
 
Mkuu unafanyia kampuni gan? Mimi nafanya na WATU CREDIT TZ. Nakopesha simu usiku na mchana.

Mpaka Samsung A56 tayar ipo kwenye mkopo.
Wewe utakua ni agent. Mimi siyo agent, nafikiri kampuni zote model inafanana kwamba lazima kiwepo kitengo cha malipo.

Mimi nilikua upande wa malipo kampuni inaitwa Easybuy. Ni ya kwanza kabla ya watu simu au Laina au hawa wa juzi juzi sasa hivi hawasajili tena
 
Haya mambo ya unachukua kitu unalipa kidogo kidogo kwa nchi za wenzetu yamekuepo muda mkubwa mno.

Ni bongo yamesambaa hivi karibuni ila naweza sema uelewa wa mkopo na vitu kama finance literacy vinafanya watu waone utapeli.
 
Back
Top Bottom