Yeah niliachana nao. Mmeipiga sana ile kampuni nyinyi maagent 😅Sasa hivi umeachana na Easybuy?
Pamoja na hayo lakin hata security ya simu ilikuwa dhaifu sana. Wahuni walizivunja sana ulinzi.Yeah niliachana nao. Mmeipiga sana ile kampuni nyinyi maagent 😅
Hata angekuwa anatoka Kijiji chako wote ni walewaleKwani umetokea kijiji gani mkuu...🤔
Yeah, security ilikua lag sanaPamoja na hayo lakin hata security ya simu ilikuwa dhaifu sana. Wahuni walizivunja sana ulinzi.
Mbona mnalimit aina ya simuMkuu mbona mkopo wa simu ni soft loan tuu ya kawaida.. Hatunyongi sana, sahivi ukiwa na 50k tuu unajipatia Samsung Galaxy A05 safii kabisa unakula maisha.
Simu nyingine zinavunjika ulinzi kirahisi mkuu ndio maana haziwekwi kwenye mfumo wa mkopo.Mbona mnalimit aina ya simu
Mda wa mkopo ukiisha kama mteja hajamaliza kulipa mkopo wake hapo inakuwaje mkuuSimu nyingine zinavunjika ulinzi kirahisi mkuu ndio maana haziwekwi kwenye mfumo wa mkopo.
Hakuna limit.. Simu inakuwa tuu imejifunga. Hata ukikaa miezi baada muda kuisha. Ukilipia inafunguka hapo hapo.M
Mda wa mkopo ukiisha kama mteja hajamaliza kulipa mkopo wake hapo inakuwaje mkuu
walalamike wanalipa wao?Hyo ndio maana halisi ya MKOPO mkuu,,hata serikali Yako ya CCM nayo inakopeshwa pesa kdg ribaa mlimaa na wazunguuu ety na walaa hawalalamikiii...
kampuni gani nzuri nataka samsung s24 ultraNimefanya kazi kampuni anzilishi ya hii mikopo Tz. Kwa Samsung najua hapo utakua umekopa watu simu.
Mfano ungenunua simu kwenye kampuni niliyofanyia kazi riba ingekua ndogo kulinganisha na watu simu, riba ya watu simu ni kubwa kwakua ukipoteza simu ukaripoti unagewa nyingine.
Ushauri wangu kwa mtu anayetaka kuchukua simu ya mkopo. Jua muda wa malipo, jua bei halisi ya kifaa, jua riba, jua kama kuna benefits zozote kwa upande wako
Bado elfu 30 nimalize mkopo wangu ila hii sim nitaiweka kama kumbukumbu maana kweli nilipigwa na kitu kizitoAs long as ulikubali kuchukua, jitahidi ulipe simu ya watu
Kwahiyo ni preference yenu sio ya mtejaSimu nyingine zinavunjika ulinzi kirahisi mkuu ndio maana haziwekwi kwenye mfumo wa mkopo.
Mkuu watu wanakopesha pikipiki za aina gani?Mkuu unafanyia kampuni gan? Mimi nafanya na WATU CREDIT TZ. Nakopesha simu usiku na mchana.
Mpaka Samsung A56 tayar ipo kwenye mkopo.
Ungeli lipa hiyo 220,000 halafu ndani ya wiki ungelienda kuchukua simu ama laki 2 kama advance paymentNilikuwa na 220’000
Miezi 30 na kila siku ni elfu 25,000/=Duuh
Kwa muda wa miaka mingapi?
BoxerMkuu watu wanakopesha pikipiki za aina gani?