Nilivyokutana na jimama (Shugamamy) langu

"Njoo tu usukume mlango Sweet usihofu"nikadekerea kushoto then kulia nikanyanyua mguu huyoo nikavuta mlango coz palikua kimyaa alaf pameandikwa 'Pull’....

Kama bahati tu nimescroll uzi nikatua hapo tu, mlango umeandikwa PULL ila jimama limesema USUKUME.... mamong’oo machalii ya ARA.
 
Nadhani Sasa ivi wamezidi kutaniwa kwasababu ya mkulu
Ni kweli ila watu wengi wakiwa wanafanya ubaya fulani isikufanye na wewe ukaona kutenda ile dhambi ni halali.. Wingi wa watenda mabaya hauhalalishi ubaya huo.
Watu ni watu na wao ni wao...kila mtu roho yake ndio itahukumiwa sio kikundi fulani.
Jaribu kutokufanya vitu kutokana na msukumo wa makundi ya watu
 
Form four mkumbuke bado practical
IMG-20191114-WA0052.jpg
 
Hey wassup Ladies&Gentlemen,Hopefully mko full yaani mambo ni yeng'eng'ee.
Bas bila kudevela acha chapcheree nisororoe kwenye topic..To be honest nna jimama ambalo hunilipia hadi ada ili niki'happenishe fas ya hapa Univee!!

Hili jimama at first nilikutana nalo pande za Sakinade sakina,Nikaamua kulipiga stop halikua na kwerekweche likaitikia wito so likazuia. So nikalisalimia "Apo juu"likacheka ila likaitikia"Apo chini"yaani Mambo niaje mambo ni full.

Sikuleta ngendembwee mingi so Mjuba nikaenda direct kwenye dhumuni kuwa japo kanizidi umri ila me nimemwelewa ivoivo!!Khaa likacheka kwanza then likanitoa izo 07 halikuongea chochote likasepa.

Nilivyorudi Ghetto nikazi'save zile contacts kwenye Ting'ling'ili yangu then nikalivutia ng'ora,halikuruka ata vocal moko so likasema nisiwaze but niwe muaminifu tu kwake.

Basi bhana likasema linataka lije ghetto kwangu lipamanye nikasema haikatai haikatox kwa waenduru wa Ngareroo Bablai issue ni kujipanga tu niji'brand.

Basi kesho yake mornie nikasafisha ghetto fasta kinyama,mfukoni nilikua na buku ten tu daah!!ile nawaza ninunue nini na nini lije lipike nashangaa mlango unagongwa kwa kasi ya Abood!!

Nikajua tu ni lenyewe coz nililielekeza yechu,but lilisema litatimba saa 6. iweje hii saa 3 mornie lishatimba mageiyo (maghetto)? Okay bas nikalitoa li'ten langu mfukoni nikaliweka juu ya meza afu nikafungua mlango..

Ile limezama ndichi cha kwanza kukidekerea ni ten langu ila halikuhangaika ata kuitumbulia mboni sana, likatoa elfu 50 kwenye pochi likanipa nikahemee vitu coz lenyewe halimanyi mashora(maduka)ya pale.
Basi nikafukuzia madiko likapika tukala then nikalila na lenyewe likaamsha job,sikujua linafanya mbishe gani ila liko vizuri kisoro!!

Kesho yake Mornie text inalia kwenye kitiriri yangu khaa kuisoma"Imethibitishwa umepokea 45,000 kutoka...!! Alafu ikafata text ingine hii"Baby tafuta guest nzuri saa 8 nakuja".

Manina nikasema hapa nakata buku 25 then 20 ndo nasarandia Guestiiwise, nikapata guest ya buku 20 lilipokuja likakicheekiii chumba then likasema halijakipenda so twende pengine bila ata kudai chede(hela)yetu daaah sio siri chaliangu ile jax ilini'pain ni kinoma yaani.

Tukaingia kwenye ndiga haoo hadi Shivaz Baba angu,doooh nili'enjoy mbaya... Kesho ake tena text"Imethibitishwa 100000 kutoka kwa....."then ikafata ingine"Dear soulmate iyo nunua nguo nzuri za heshima sio izo minyonyo yako ya kuchanika,ukishanunua uje hapa benki ya Exim apa Town"Doooh nilifurahi kinyama daah.!!

Nikanunua troo moko nyeusi iyo ya kitambaa dont touch ma shoes U motherfcuker pamoja na shati la maua ivi niaje nivipi afu apo chini nikaweka kiatu flani ivi black,mdomdo nikadana hadi Fas Duas ya pale Exim bank.

Chap text ikaingia kunae phonenga yangu"Njoo tu usukume mlango Sweet usihofu"nikadekerea kushoto then kulia nikanyanyua mguu huyoo nikavuta mlango coz palikua kimyaa alaf pameandikwa 'Pull'

Lahaullah Lakwata ile nafungua mlango wa bank nakuta Mamanzi wazuri ile laana wote wamevaa sare zimeandikwa Exim bank pamoja na jimama langu,wakasema kwa pamoja"Whaoooo shemelaa karibu sanaaa"

@NgarenaroBoy.
ITAENDELEA....
Nimeishia nusu ata sielew
 
Hii itakuwa rahaja mpya ya kiswahili
 
Lakini wanawake Mungu awabariki tuuu..... maana kuna wakati wanafanywa na viumbe wa ajabu mfanao hakuna! sasa kama huyu chaliii inawezekana hata kuoga lazima asimamiwi vinginevyo na baridi la Arusha anaweza kata hata mwezi bila kuoga.
 
Anaemwelewa aseme
 
Back
Top Bottom