Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma tumekukosea nn.?Hili litoa mada nilisikuma Wala sio limtu la arachuga.... Ety ngarero ptuuuu Ni ngalelo weeehweeh
Mmmnh..Walioweza kusoma hii hadithi mpaka mwisho nawapa hongera..
Mwlm wa kusoma pamoj na wa mwandiko anahitajika sio?😃Mmmnh..Walioweza kusoma hii hadithi mpaka mwisho nawapa hongera..
Hahahahaha wasukuma nawapenda.... Hamna walichonikosea ndo maana hawakauki mdomoni mwanguWasukuma tumekukosea nn.?
Mimi sio msukuma actually ila sioendi kuona watu wakiwa wanashambuliwa Psychologically.Hahahahaha wasukuma nawapenda.... Hamna walichonikosea ndo maana hawakauki mdomoni mwangu