Nilivyoishi na UKIMWI kwa wiki mbili

Nilivyoishi na UKIMWI kwa wiki mbili

Mimi Mke Wangu Wakati Anaanza Kliniki Alipima Akaonekana HIV-.Kwahiyo Mimi Sikua Na Ulazima Tena Wa Kupima.
 
Ni muhimu pia kujua kuna maisha baada ya kukutwa HIV+.
Sio ticket ya kifo kwa sasa.
 
unafikiri ambao hatusuuzi rungu zetu ovyo ovyo ni wajinga!!! vuna ulichokipanda. vyoo.!
 
Mimi Mke Wangu Wakati Anaanza Kliniki Alipima Akaonekana HIV-.Kwahiyo Mimi Sikua Na Ulazima Tena Wa Kupima.


Nenda kapime kiongozi, mke wako kuwa hiv- haina maana kuwa 100% nawe utakuwa hiv-. Pima wewe kama wewe ujue status yako.
 
Mimi Mke Wangu Wakati Anaanza Kliniki Alipima Akaonekana HIV-.Kwahiyo Mimi Sikua Na Ulazima Tena Wa Kupima.

Aisee we kiepe yai kila tukio la hatari we humo....Duuuh!...Kaka kuwa maakini it seems izraeri anakumendea maana duuuh nikiona comment yako lazima niifuate aisee.
 
Tatizo jamani linachangiwa na wapimaji na vifaa, maana imetokea mara kadhaa kuna kesi za kukosea majibu!!, hii imekaaje, ndo inakatisha hari ya kupima.
 
Binadamu tumeumbiwa kusahau... Ngoja zipite wiki mbili afu kile kichwa kikishachagi huwa hakikumbuki kama kuna ukimwi...
 
LENDEYSON nakushauri uende Hospitali nyingine tofauti na hicho kituo, hayo maelezo ya kimstari sjui hutoa rangi gani yanatia mashaka kama wanaelewa wanachokifanya au wewe hukuelewa maelezo. Halafu walitumia kipimo kipi, maana isijekuwa vile vipimo vya zamani vilivyoletwa fake bado wanatumia. Hata hivyo ondoa shaka na kukonda juu ya UKIMWI (japo hauna), huo ni ugonjwa wa kawaida tu, mimi huwa naogopa cancer, kisukari, asthma, kifua kikuu, malaria kuliko UKIMWI, huwa najipima mara kwa mara, na kila napoumwa hata malaria napata nafasi ya kutembelea Hospitali, hivyo nafanya chekup ya mwili mzima....kila kitu, huwa niko calm tu na tayari kabisa kupokea majibu ya aina yoyote!
 
Last edited by a moderator:
"Sipimi ukimwi ng'o hadi dawa ipatikane " nimesoma kwenye lori fulani
 
we ni kilaza zaidi ya kilaza kwa nini hukwenda hospital nyingine hapo hapo mpaka ujipe presha wiki mbili,siku hizi vituo vya kupima kila kona kweli we kilaza
 
Mimi Mke Wangu Wakati Anaanza Kliniki Alipima Akaonekana HIV-.Kwahiyo Mimi Sikua Na Ulazima Tena Wa Kupima.

Mkuu vipimo vingi vya HIV vinapima antibodies hivyo usiwe na shaka kwani antibodies ni kawaida kwa mjamzito. Kapime tu usiogope
 
unafikiri ambao hatusuuzi rungu zetu ovyo ovyo ni wajinga!!! vuna ulichokipanda. vyoo.!
Kule kwenye ule uzi unaofanana na huu uliomba msamaha kwa maneno kama hayahaya!!huku tena umerudia kile kile,angalia sana kila anayejikweza atashushwa,na anayejishusha atakwezwa.
 
Weeee hakuna kitu kigumu kama kusubiria majibu hata kama ushapima mara 10


Achana na ngoma, achana na pressure ya kupima. Ukiwa unasubiri majibu unatamani ardhi ipasuke usishuhudie masikio yako...!

Lakini ukijua status yako utaishi na amani moyoni, iwe negative au positive!!!
 
Pole sana,ningum sana ila tunapaswa kua jasiri kwani hal halis yatupasa tuwe hivyo,unawez kua muaminif kumbe mwenzio sio
 
Weeee hakuna kitu kigumu kama kusubiria majibu hata kama ushapima mara 10


Tena ukiwa unasubiria majibu huku pembeni yupo "mchumba" ambaye nae anasubiri yake ili mkatangaze "nia" kanisani...weeeee! I'll never forget asee!!
 
Wabongo wanaogopa sana HIV wakati pia kuna maambukizi mengi mno yenye vimelea vya virusi yasababishwayo na ngono au vitendo viambatanavyo na ngono pia athari zake ni kubwa tu(mathalani kansa, homa ya ini, homa ya mapafu n.k...)
 
Back
Top Bottom