ytara junior
Member
- Mar 27, 2015
- 51
- 11
Maamuzi magumu.....sasa toa ushauri nasaha ili na vijana wengine wawe na ujasiri wa kupima vvu.
Tuanze na huyo RETROVIRUS ambaye umesema ndiye AIDS kwamba alikuwepo toka mwanzo wa ulimwengu na alikuwa hana madhara na hana madhara kama unavyodai ww!
Iweje leo huyo RETROVIRUS (AIDS) alete madhara makubwa kwa kuua watu?Mbona hapo mwanzo hakuua?
Kwamba RETROVIRUS is not new? So what's new here?
Hapo red: Hiyo RETROVIRUS ambayo haina madhara, ambayo hapo awali unasema haikudhuru watu, ni kitu gani kimetokea miaka hii inawadhuru watu???
retrovirus sio Aids, aids ni upungufu wa kinga mwilini(ukimwi) na retrovirus wanapatikana katika mwili wa binadamu, mbwa, paka, panya, n.k na kuingia kwao mwilin ni kwa njia ya asili other artificial ways(mfano ngono bila kinga/sex) it's a very rare case na pia hawa retrovirus hawana madhara yoyote ktk mwili ila dhana ya hawa kuwa na madhara kumeibuka baada ya madai ya R. Gallo kudai huyo retrovirus anasababisha upungufu wa kinga mwilini na kuanzisha dawa ya kumthibiti ambayo sasa ndio Arvs na ambazo zinashambulia kinga ya mwili na kukuacha waz kwa wagonjwa nyemelizi. Kwahiyo kipya ni Arvs na ndio chanzo cha vifo pia ujue mtu unaweza kuwa na ukimwi na hauna Hiv+ ukitaka kujua zaid google side effect za Arvs
Jibu lako hilo hapo chini.
Safi mkuu Mr. Mangikwa mchango wako,nitakusaidia link ambazo watu wanaweza kurejea ili kuthibitisha maelezo yako hasa hapo kwenye red.
1.10 scientific arguments why HIV can not cause AIDS(Dr.Peter Duesberg):
https://www.youtube.com/watch?v=pB8g0b-FkW0
2.ARVs fatal side effects:
(a) https://www.youtube.com/watch?v=GokUme9x07E
(b) Hii ni web ambayo CDC ya marekani(ambayo hao wenyewe huitumia,angalia huyo MWEWE hapo chini ya web page).Nenda kwenye WARNING halafu soma kwa makini hizo warnings.
Tenofovir Disoproxil Fumarate (Viread) | Patient Version | AIDSinfo
Karibuni.
Mkuu hujajibu swali langu.... kwanini hawa retrovirus walete madhara miaka hii wakati kipindi cha nyume umesema hawakuwa na madhara.....
Kweli NGOMA ipo ingawa imepungua kwa kiasi kikubwa kulinganisha na miaka ya nyuma iliyopita