Nilivyoishi na UKIMWI kwa wiki mbili

Nilivyoishi na UKIMWI kwa wiki mbili

Uelewa mdogo tu! Ukimwi ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine, kwa takwimu za sasa maleria ndio inayoongoza kwa kuua. Ukiupata usihuzunike sana cha msingi fuata ushauri wa daktari.
Watu wanaishi na ukimwi mpaka miaka 90.!
 
Aishiii kwa matumaini! au siyo, ha ha ha ha khe, khe, khe!!
 
Jina la topic na the meat of it haviendani kimantic unaonaje ungeandika "nilivyoishi na hofu ya maambukizi ya Ukimwi week 2"

Kupima ni jambo la busara sana na hongera..but why uongozwe na ndoto? ukiota mara tatu umekufa utaenda kucheki makabulrini kama kuna kaburi lako?
 
UKIMWI upo na unauwa, usiombe hii hali ya sintofahamu ikutokee.

Huwa nasikitika sana napoona kwamba bado kuna watu wengi hawajui ukweli kuhusu ugonjwa huu feki HIV/AIDS.Uvivu wa kujisomea ni mbaya sana,wewe ulibakiwa na nafasi ndogo sana kupoteza maisha yako kwa kutumia ARVs.
Ndugu zangu mkiona mtu anasisitiza jambo hilo hilo kila siku basi mjitahidi kufuatilia ana maana gani sio kupuuzia tu na kuendelea kuamini kila kitu kinachotangazwa na vyombo rasmi vya habari na kupewa support na mataifa makubwa bila kujua ukweli na ajenda iliyo nyuma yake.
Kama mngejua ukweli ninaoujua mimi kuhusu ugonjwa huu feki nadhani kila mtu aliyechangia humu angeomba kufuta comment aliyotoa.Nahangaika karibu kila siku,silipwi,kutoa eliu bure kwamba HIV/AIDS tumedanganywa kuanzia kwenye;
1.Historia yake,
2.Hypothesis yake(kwamba HIV husababisha Ukimwi kitu ambacho si kweli,HIV hasababishi AIDS),
3.Vipimo vyake(Ni feki,havipimi uwepo wa HIV bali hupima antibodies against HIV,kama una antibodies maana yake uko salama,hii ndio sayansi ya chanjo ilivyo na ndio maana kuna chanjo,chanjo ni kama antibodies)
4.na Madawa yake ya ARVs(ambayo hayana faida yoyote zaidi ya kuingiza sumu kali mwilini na ndio hizi ARVs husababisha kifo halafu husingiziwa HIV kwamba ndiye amesababisha)

Watu wengi hamna elimu hii ambayo inafichwa,na hamna hata dalili ya kupenda kudadisi ukweli huu pamoja na kwamba watu kama sisi tunatoa elimu kila siku humu JF.Nilishawahi kutembelea clinic,niliwahi kuchunguza watu wanaotumia ARVs waliokuwa kwenye late stages,nimesikiliza wanasayansi mbalimbali hoja zao na kulinganisha na uhalisia.Ninachokiongea sijakurupuka,na ndio maana nina nia ya kweli kutaka kuwaokoa na wengine wasije kudondoka kwenye mtego huu wa kutumia ARVs.
Hivi mnafikiri Thabo Mbeki alichanganyikiwa kusema maneno kama haya ninayoongea mimi?Mmeshawahi kujiuliza hilo?Mbona kuna watu wengi wanaishi kwenye ndoa mmoja ana HIV mwingine hana?mmeshawahi kujiuliza utata huu?Watoto wanaozaliwa bila maambikizi nao?Watu wenye AIDS lakini hawana HIV nao?Watu wenye HIV lakini hawana AIDS nao?
Kwa nini mna-by-pass mkanganyiko kama huu,kwa nini hamjijengei tabia ya udadisi kwenye utata kama huu.Kwanini hamshituki kuwasikia madaktari,maprofesa maarufu na raisi mstaafu Thabo Mbeki wanapinga kwamba HIV hasababishi AIDS,kwa nini hamstuki?Mbona tunapelekwa kama ng'ombe malishoni?Ninajitahidi kueleza ili wengine wajue ukweli huu kwa kutoa evidence nyingi lakini maneno yangu yanakuwa kama kitu kilichodondoka kwenye kundi la watu wanaofanya vurugu,watu wanakikanyaga bila kujali na kundelea na safari.Kwa mwendo huu watatumaliza.
 
Ficus, Watu8, GreenCity, kimbisi mbisi
 
Last edited by a moderator:

Umetumia sehemu kubwa ya post yako kulalamika badala ya kueleza indetail kile ulichokusudia na watu wengi wanatamani kukisikia kulingana na maelezo yako anzia
 
Kweli waliokupa ushauri nasaha neakibali! Umeukubali ukimwi hasa haswa na wenyewe unakula tu kongosho Zako? Hongera Baba!

Sa mbona hujatuambia chochote....
 
Binafsi nashindwa kukubaliana na huyu jamaa moja kwa moja.
Nijuavyo mimi Ukimwi ni biological weapon waliyotengeneza Wamarekani kama ilivyo kwa ebola.
Lengo kubwa la hawa jamaa ni kupunguza watu hasa kwa nchi za Africa kwa kutumia magonjwa na middle east ni vita na mataifa ya uarabuni ni vita ya wao kwa wao na kulipuana.

Kuhusu hilo la ARV'S kuua watu si kweli. Utakumbuka kipindi cha nyuma kabla ya kuja kwa hiz dawa watu walikuwa wakiupata wanakonda haraka nakufa! Vifo vilikuwa vingi, baada ya kuja kwa haya madawa watu wanatumia afya inakuwepo na wanaishi maisha marefu.

Ingawa kuna baadhi ya mambo yanayotangazwa kuhusu ukimwi na media zetu zikichochewa na media za mataifa ya magharibi kuhusu nadharia za ukimwi si kweli kabisa.
 
Kuna sentensi huwa napenda sana kuitumia ambayo inasema."Wote mnaweza kusoma habari moja kutoka kwenye chanzo kimoja cha habari,lakini mkawa na uelewa tofauti kulingana na uelewa mlionao kuhusu habari hiyo hiyo kabla hamjaisikia kutoka kwenye chanzo hicho"People can read the same information but can understand it differently depending on pre-existing knowledge they have regarding that information.
Ndugu yangu lengo lao kubwa hawa jamaa sio depopulation.Hili ni suala pana sana na linahitaji mchanganuo mkubwa.Ila nitakwambia lengo moja kubwa ambalo ni profit/money ambayo huipata kwa kuuza madawa.
HIV hajatengenezwa maabara,unajua kama kwenye habari uliyosoma neno kutengenezwa humaanisha pia 'kubuni'.HIV ni neno HEWA,hamna kitu kicho kiuhalisia,ila kuna RETROVIRUS ambaye hana madhara kwa binadamu baada ya antibody immunity.Ila wamempachika retrovirus huyu ambaye hana madhara jina ambalo linaonekana kumfanya aonekane ana madhara na anasababisha AIDS.Hivyo inatakiwa ujue kwamba retrovirus walikuwepo toka mwanzo wa ulimwengu na hawana madhara hayo tunayoambiwa leo hii.Retrovirus is not new.Kuhusu ebola pia kuna uongo mtupu,jiulize kwa nini EBOLA iko west africa peke yake?Kwa nini marekani wapeleke wanajeshi kule badala ya madaktari?Kwa nini native people wa nchi zinazoonekana kuwa na ebola wenyewe wanasema ebola ni feki lakini sisi tunaosikia kwenye vyombo rasmi vya habari tunang'ang'ania kwamba ebola kweli ipo?
Sehemu yeyote katika maelezo yangu ambayo unaona kuna utata niulize,nami nitakupa evidence.Kwa sasa nashindwa kutoa evidence yoyote kwa kuwa mada hii ni pana sana na pia najua huwezi kupitia zote kwa haraka.Tutaenda kwenye specific question.Karibu.
 
Umetumia sehemu kubwa ya post yako kulalamika badala ya kueleza indetail kile ulichokusudia na watu wengi wanatamani kukisikia kulingana na maelezo yako anzia

Nina karibu mwaka mzima natoa maelezo kuhusu jambo hili,siwezi kuandika leo hii yote kwa pamoja.Kama unahitaji kujua ukweli kuhusu chochote kuhusiana na jambo hili unaweza kuniuliza swali lolote nami niko kwa ajili yako kukujibu.Aksante.

Sa mbona hujatuambia chochote....

Naomba uniulize swali lolote kuhusu utata wowote kwenye jambo hili,nitakujibu na pale ambapo nina evidence ya karibu nitakuwekea.Karibu.
 
Hongera sana kwa kuchukua uamuzi wa kujua afya yako
 
Mbona hzo wk 2 za majibu yasioeleweka hukutuletea humu tujadili
 
Kuna sentensi huwa napenda sana kuitumia ambayo inasema."Wote mnaweza kusoma habari moja kutoka kwenye chanzo kimoja cha habari,lakini mkawa na uelewa tofauti kulingana na uelewa mlionao kuhusu habari hiyo hiyo kabla hamjaisikia kutoka kwenye chanzo hicho"People can read the same information but can understand it differently depending on pre-existing knowledge they have regarding that information.
Ndugu yangu lengo lao kubwa hawa jamaa sio depopulation.Hili ni suala pana sana na linahitaji mchanganuo mkubwa.Ila nitakwambia lengo moja kubwa ambalo ni profit/money ambayo huipata kwa kuuza madawa.
HIV hajatengenezwa maabara,unajua kama kwenye habari uliyosoma neno kutengenezwa humaanisha pia 'kubuni'.HIV ni neno HEWA,hamna kitu kicho kiuhalisia,ila kuna RETROVIRUS ambaye hana madhara kwa binadamu baada ya antibody immunity.Ila wamempachika retrovirus huyu ambaye hana madhara jina ambalo linaonekana kumfanya aonekane ana madhara na anasababisha AIDS.Hivyo inatakiwa ujue kwamba retrovirus walikuwepo toka mwanzo wa ulimwengu na hawana madhara hayo tunayoambiwa leo hii.Retrovirus is not new.Kuhusu ebola pia kuna uongo mtupu,jiulize kwa nini EBOLA iko west africa peke yake?Kwa nini marekani wapeleke wanajeshi kule badala ya madaktari?Kwa nini native people wa nchi zinazoonekana kuwa na ebola wenyewe wanasema ebola ni feki lakini sisi tunaosikia kwenye vyombo rasmi vya habari tunang'ang'ania kwamba ebola kweli ipo?
Sehemu yeyote katika maelezo yangu ambayo unaona kuna utata niulize,nami nitakupa evidence.Kwa sasa nashindwa kutoa evidence yoyote kwa kuwa mada hii ni pana sana na pia najua huwezi kupitia zote kwa haraka.Tutaenda kwenye
Kwambaspecific question.Karibu.

Tuanze na huyo RETROVIRUS ambaye umesema ndiye AIDS kwamba alikuwepo toka mwanzo wa ulimwengu na alikuwa hana madhara na hana madhara kama unavyodai ww!
Iweje leo huyo RETROVIRUS (AIDS) alete madhara makubwa kwa kuua watu?Mbona hapo mwanzo hakuua?
Kwamba RETROVIRUS is not new? So what's new here?
 
Hongera achana na KUSUBIRI Majibu ya Ngoma .....hata Kama ulipima Jana uko Poa Baada ya wiki Ukirudia uoga ni pale pale
 
Kuna sentensi huwa napenda sana kuitumia ambayo inasema."Wote mnaweza kusoma habari moja kutoka kwenye chanzo kimoja cha habari,lakini mkawa na uelewa tofauti kulingana na uelewa mlionao kuhusu habari hiyo hiyo kabla hamjaisikia kutoka kwenye chanzo hicho"People can read the same information but can understand it differently depending on pre-existing knowledge they have regarding that information.
Ndugu yangu lengo lao kubwa hawa jamaa sio depopulation.Hili ni suala pana sana na linahitaji mchanganuo mkubwa.Ila nitakwambia lengo moja kubwa ambalo ni profit/money ambayo huipata kwa kuuza madawa.
HIV hajatengenezwa maabara,unajua kama kwenye habari uliyosoma neno kutengenezwa humaanisha pia 'kubuni'.HIV ni neno HEWA,hamna kitu kicho kiuhalisia,ila kuna RETROVIRUS ambaye hana madhara kwa binadamu baada ya antibody immunity.Ila wamempachika retrovirus huyu ambaye hana madhara jina ambalo linaonekana kumfanya aonekane ana madhara na anasababisha AIDS.Hivyo inatakiwa ujue kwamba retrovirus walikuwepo toka mwanzo wa ulimwengu na hawana madhara hayo tunayoambiwa leo hii.Retrovirus is not new.Kuhusu ebola pia kuna uongo mtupu,jiulize kwa nini EBOLA iko west africa peke yake?Kwa nini marekani wapeleke wanajeshi kule badala ya madaktari?Kwa nini native people wa nchi zinazoonekana kuwa na ebola wenyewe wanasema ebola ni feki lakini sisi tunaosikia kwenye vyombo rasmi vya habari tunang'ang'ania kwamba ebola kweli ipo?
Sehemu yeyote katika maelezo yangu ambayo unaona kuna utata niulize,nami nitakupa evidence.Kwa sasa nashindwa kutoa evidence yoyote kwa kuwa mada hii ni pana sana na pia najua huwezi kupitia zote kwa haraka.Tutaenda kwenye specific question.Karibu.

Hapo red: Hiyo RETROVIRUS ambayo haina madhara, ambayo hapo awali unasema haikudhuru watu, ni kitu gani kimetokea miaka hii inawadhuru watu???

Nini kifanyike hii kitu isiwadhuru watu??

Kwa ambao wameshadhurika wafanye nini ili kuyaondoa hayo madhara??
 
Back
Top Bottom