Nilivyofyeka shamba la jamaa aliyeniibia mpenzi wangu

Nilivyofyeka shamba la jamaa aliyeniibia mpenzi wangu

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,312
Reaction score
55,973
Katika harakati za maisha niliwahi kwenda kujaribu kilimo mkoa fulani kule nikapata binti mmoja mzuri sana, kumbe kuna mkulima mmoja wa zao fulani alikuwa ameanza kuvuna, hilo zao kwa wiki kuingiza milioni tatu ilikuwa kawaida na angeweza kuvuna kila wiki kwa miezi mitatu.

Mimi zao langu lilikuwa bado nikasikia jamaa anatoka na mpenzi wangu Nikamuonya kistaarabu akanijibu shit. Nikasafiri kwenda mkoa mwingine huku nyuma nikaacha vijana usiku wa manane wakafyeka lile zao lililokuwa linampa kiburi na ndio ukawa mwisho wa penzi lao jamaa akahama na mkoa.

Sipendagi ujinga
 
Back
Top Bottom