Niliupaka mkongo lakini sikuhisi chochote

Niliupaka mkongo lakini sikuhisi chochote

Mi nilishawahi kupewa kahawa flan hiv dah nlipiga show muda mref sana had nikaacha mwnyewe lakn mashne bado imeenda mnara tu, nikaja kujaribu hiyo vumbi sikuona hata mabadiliko yoyote, yote kwa yote kwa sasa stak kuendekeza hivyo vitu kabisa ntatumia zilezile nguvu zangu nilizoumbwa nazo stak kuwa mlemavu

Sent using Gun Trigger
 
Ukitaka iwe na ladha usiwe Una iweka ndan kwa muda mrefu unatakiwa kila baada ya dakika tano uwe unafanya Kama Una iingiza yote alafu unaitoa yote usiiache ndan muda wote nenda kajaribu njia hii utaona Raha ya mkongo alafu ukipaka dudu inatakiwa iwe kwenye joto Kali Yan ukisha paka vaa boksa na surual au funga mfuko ukisikia inaanza kuchoma choma ujue mambo yameiva na ujiandae kwa bao la kwanza kwenda lisaa li moja Kama utajua kucheza nayo vizuri mkifanikiwa kwenda la pili jua huto pizi mtaamua mvae nguo tu Mana mwanamke atakua amesha kojoa Zaid ya Mara 3 yeye hatokua anainjoy Tena utabaki ni wewe tu unae jimaliza ukitumia bunga vizuri au mkongo unaweza usiachwe Mana hua Ina wakausha kila kitu wanawake Yan mpaka mate huisha
Ha ha ha dah eti hadi mate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya story mingi mingi za kijiwe na jamaa zangu waliokuwa wanasimulia Nguvu ya mkongo jinsi inavyowafanya waonekane Vidume Zero nikasema nisipitwe,

Niliwabashia sana siku hiyo kwamba ukidume kwenye mapenzi ni wewe mwenyewe na wala sio kwa matumizi ya mkongo wakawa wagumu kunielewa ,

baada ya mabishano kadhaa nikaomba huo mkongo na mimi nikajaribishe nione Nguvu yake kama kweli,
Basi Mshikaji mmoja akanipatia huo mkongo wenyewe ilikuwa ni vumbi vumbi tu lililofungwa kwenye kiraironi kama wafungaji wa ugoro vile na kuniambia mzigo ndio huo Zero nenda utest alafu uje hapa kijiwe utupe mrejesho,

Nikawajibu tu ok sawa nikavuta simu mbele yao nikapiga Simu moja tu kwa manzi mmoja hivi kumwambia aje gheto nina shida nae akasema sawa anakuja ,

Nikawaomba matumizi yake wakaniambia eti nichanganye na mafuta mgando kidogo nipake kwenye kichwa cha ndonga yangu na kazi kubwa ni kwamba inaua sensi ya ya dushe na kukufanya uchelewe ,

Nikasema poa jioni nakuja na mrejesho ,huyo zero mpaka magetoni nikampigia tena mtoto akasema yuko njiani anakuja,
Nikaingia zangu bafuni nikaoga nikachukua hilo vumbi lao fanya kama walivyonielekeza ,

Baada ya dakika kadhaa mtoto huyo katimba sikumchelewesha nikajifanya nimemmisi kupita maelezo kumbe nina yangu ,
Baada ya michezo michezo kadhaa nikatia dushe sasa ili nione kama kweli ,

Aaah mwanzo nikataka niamini flani hivi kumbe hakuna kitu bwana,sensi yangu ilikuwa pale pale na muda nilioutumia ni ule ule tu niliokua nautumia siku zote,

Baada ya kumaliza tukaenda kuoga piga story mbili tatu mtoto akasepa ,
Baada ya mtoto kusepa Nikachukua lile vumbi tazama sana,na kucheka eti hii ndio wanaita putururu sijui mundende sijui mkongo OG hapa hamna kitu kabisa wahuni wamepigwaaaa.

Hakuna cha mkongo wala mundende mapenzi ni hisia zako tu na jinsi ya kuweza kuzikontol
Nilivyotoka hapo nikaelekea kijiweni nikawamwagia vumbi lao na kuwaambia mnadanganyana tu hapo Hamna kituuuuu kwa herufi kubwaaaaaa.




CC Zero IQ
Basi wengine tumezaliwa na mkongo ndani yetu. Nothing much to talk about.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa siamini kama wanaume kweli wanatumia vumbi la mkongo.

Juzi kati ya vijana wetu kazini mmoja alitoka kazini hakunambia kama ana emergence, nikaka ofisin nasubiri funguo mwisho nikampigia hapatikani ikabidi niende mwenyewe maana funguo lazima waache kwangu.nikakuta kafunga kaondoka.
Asubuhi nikamuuliza vip mbona hukuleta funguo akasema sister samahani nilisahau Ni kasema poa. Wenzake wakaanza kucheka,mwingine akadakia sister mwongo huyo chezea vumbi la mkongo, wote wakacheka.tukaendelea na kazi baada ya boss kuingia.

Jion wakati tunaondoka story ikaanza kuwa alipaka vumbi la mkongo. Secretary akadakia " wanapakaga vumbi wanafunga kamfuko kale ka sukari, kwa muda wa masaa mengi tu"
Story ilivyonoga wakajiachia, eti unapaka afu unaifunga mfuko ipate joto afu inakuwa inawasha kadri muda unavyoenda, so kule kuwasha washa kwa muda mrefu mtu lazima akose amani, ndo maana yule aliondoka kabla ya muda.

Wanaume mbona ni mateso jamani? Je kiafya hilo vumbi halina side effect?
 
Back
Top Bottom