Niliupaka mkongo lakini sikuhisi chochote

Niliupaka mkongo lakini sikuhisi chochote

Paka then ukae kama 45+min ukisikia dushe linafinyafinya ndo inakua tayari ....ukweli ni kua haina raha yoyote... Dushe linakufa ganzi unaweza chakata papuchi hata 2hr na usikojoe!!
Unachosema ni kweli, hali raha zaidi ya mateso. Tena ndio ukute demu mwenyewe pumzi kisoda ndio shida kabisaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sikupata sensi yeyote

CC Zero IQ
Ulipewa fake mkuu lile OG ukipaka kidogo tuu linaanza kuchoma yani na kuwasha kwa mbali, wenyewe wanakwambia ukitaka usikie utamu usipake kwenye kichwa Pakaa pale kwenye duara uliposhonwa kipindi unatahiliwa zunguka ile round yote.
 
Ukitaka iwe na ladha usiwe Una iweka ndan kwa muda mrefu unatakiwa kila baada ya dakika tano uwe unafanya Kama Una iingiza yote alafu unaitoa yote usiiache ndan muda wote nenda kajaribu njia hii utaona Raha ya mkongo alafu ukipaka dudu inatakiwa iwe kwenye joto Kali Yan ukisha paka vaa boksa na surual au funga mfuko ukisikia inaanza kuchoma choma ujue mambo yameiva na ujiandae kwa bao la kwanza kwenda lisaa li moja Kama utajua kucheza nayo vizuri mkifanikiwa kwenda la pili jua huto pizi mtaamua mvae nguo tu Mana mwanamke atakua amesha kojoa Zaid ya Mara 3 yeye hatokua anainjoy Tena utabaki ni wewe tu unae jimaliza ukitumia bunga vizuri au mkongo unaweza usiachwe Mana hua Ina wakausha kila kitu wanawake Yan mpaka mate huisha

Sent using Jamii Forums mobile app
🙆 mzalendo iq 1
 
Ulipewa fake mkuu lile OG ukipaka kidogo tuu linaanza kuchoma yani na kuwasha kwa mbali, wenyewe wanakwambia ukitaka usikie utamu usipake kwenye kichwa Pakaa pale kwenye duara uliposhonwa kipindi unatahiliwa zunguka ile round yote.
Alafu kinatokea nini

CC Zero IQ
 
Mkui wati wanaweka viremba.. unaipaka kwenye dushe then unafunga na kamfuko ili ipate joto iingie ndani vizuri.. ukisikia inaanza kuchoma choma ujue vumbo limeingia na hio inatokea hata baada ya saa 1..
Sasa.hapo ukichakata papuchi unaweza kukaa masaa 3 bila kuona wazungu.. sema ubaya wake unakua husikii chochote yaani hupati ladha yyte .. sana unakua labda unamkomoa dem .
 
Nasikia inabidi uwe una uwezo wa kusimamisha pia, kama husimamishi haisaidii.. Je vipi haina madhara yoyote!!
 
Nasikia inabidi uwe una uwezo wa kusimamisha pia, kama husimamishi haisaidii.. Je vipi haina madhara yoyote!!
Yep.. mkongo hauongezi kusimamisha unapumguza zile hisia tu ili usipige bao..

Kuhusu madhana nahisi ni addiction tu ambacho ni kitu kibaya sana.. unajikuta bila mkongo huwezi kupiga show.
 
Baada ya story mingi mingi za kijiwe na jamaa zangu waliokuwa wanasimulia Nguvu ya mkongo jinsi inavyowafanya waonekane Vidume Zero nikasema nisipitwe,

Niliwabashia sana siku hiyo kwamba ukidume kwenye mapenzi ni wewe mwenyewe na wala sio kwa matumizi ya mkongo wakawa wagumu kunielewa ,

baada ya mabishano kadhaa nikaomba huo mkongo na mimi nikajaribishe nione Nguvu yake kama kweli,
Basi Mshikaji mmoja akanipatia huo mkongo wenyewe ilikuwa ni vumbi vumbi tu lililofungwa kwenye kiraironi kama wafungaji wa ugoro vile na kuniambia mzigo ndio huo Zero nenda utest alafu uje hapa kijiwe utupe mrejesho,

Nikawajibu tu ok sawa nikavuta simu mbele yao nikapiga Simu moja tu kwa manzi mmoja hivi kumwambia aje gheto nina shida nae akasema sawa anakuja ,

Nikawaomba matumizi yake wakaniambia eti nichanganye na mafuta mgando kidogo nipake kwenye kichwa cha ndonga yangu na kazi kubwa ni kwamba inaua sensi ya ya dushe na kukufanya uchelewe ,

Nikasema poa jioni nakuja na mrejesho ,huyo zero mpaka magetoni nikampigia tena mtoto akasema yuko njiani anakuja,
Nikaingia zangu bafuni nikaoga nikachukua hilo vumbi lao fanya kama walivyonielekeza ,

Baada ya dakika kadhaa mtoto huyo katimba sikumchelewesha nikajifanya nimemmisi kupita maelezo kumbe nina yangu ,
Baada ya michezo michezo kadhaa nikatia dushe sasa ili nione kama kweli ,

Aaah mwanzo nikataka niamini flani hivi kumbe hakuna kitu bwana,sensi yangu ilikuwa pale pale na muda nilioutumia ni ule ule tu niliokua nautumia siku zote,

Baada ya kumaliza tukaenda kuoga piga story mbili tatu mtoto akasepa ,
Baada ya mtoto kusepa Nikachukua lile vumbi tazama sana,na kucheka eti hii ndio wanaita putururu sijui mundende sijui mkongo OG hapa hamna kitu kabisa wahuni wamepigwaaaa.

Hakuna cha mkongo wala mundende mapenzi ni hisia zako tu na jinsi ya kuweza kuzikontol
Nilivyotoka hapo nikaelekea kijiweni nikawamwagia vumbi lao na kuwaambia mnadanganyana tu hapo Hamna kituuuuu kwa herufi kubwaaaaaa.

CC Zero IQ
Mkuu kuna ya kutafuna bigjii,,

Naskia lakini [emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom