Dume la Mende
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 423
- 64
duh! yetu macho
hahahahaahah mi mzima kabisa...japo hutaki pita mwananyamala!
heheheh...we dare si ndio...nauliza ivi... SALIMIA ako wapi manake kaja hapa katia tena avatar yake ile ila hatuioni
mambo shosti....leo nakuja......Babu anakusalimia apo juu
hommie shosti kanitishia apo juu umeona ?
Kwahiyo mmekonkludi kuwa tuliite daraja la kikwete sio hata kama hela tumekopa korea...au?
Shoga mbona kama wanpenda kupitiliza?!Wantisha sasa mtoto wa watu....
acha kujidanganya! akupende nani?
Wewe ulienijaza kwa akili...jina langu ni kama HITAJI kwako...bila kulitaja hupati raha....!
mi naona wewe unashangaa kidogo!!nashangaaa..nilikuwa napita tu...
mi naona wewe unashangaa kidogo!!
mi naona wewe unashangaa kidogo!!
hahahah, sweeties, we umeshangaa sana? LOL
Upi tena?!Refarii niko tayari kwa pambano........!
Si huo mpambano wenu?Upi tena?!
Wenu kina nani?!Mi SIMO!Si huo mpambano wenu?