Nilitoa....Nimerudisha

Salimia

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
665
Reaction score
104
Kwa maombi ya wengi nimeamua kuludisha. Na pia kero za Lizzy zmenifanya nirudishe!! Kwa nini nisifanye kitu moyo unapenda? Hilo ni moja.
La pili.......Sifurahishwi na hali ya pale ninapofanya tendo la ndoa, simalizi mpaka nimfikirie mpenzii wangu wa zamani. Inanisumbua hata sijui nifanyeje kwakweli.
 
kwa nini ulikubali kuachika?ungemshikilia kwa mbinu zozote zile
 
Helmet ya nini tena kwenye gari??
 
 

Mpige chini huyo hakukuni sawa sawa ukimpata mkunaji hutokumbuka ya kale
 

Kijana naona hilo shuzi linakutoa udenda sema nae lakini angalia lisije likawa dume hilo
 
Mhh si uachane tu na uliyekuwa nae ya nini kujitesa na wakati hakuridhishi?
 
hebu nipatie tuone kama utamkumbuka huyo jamaa yako...anyway...karibu tena
 
Hapa mazungumzia daraja la kikwete au?
 
Mhh si uachane tu na uliyekuwa nae ya nini kujitesa na wakati hakuridhishi?

Hawa ndo wale uswazi tunawaita sitaki na nataka vyote kwa pamoja anavitaka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…