Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,891
- 5,063
Umeuliza maswali mazuri maana nimekuja fasta matokeo yake nimesoma uzi mpaka mwisho sijaambulia kituTuambie unafanya nini??
mwanzo ulifanya nini?? kwa biashara uliyokosea??
Ulifanyaje mpaka ukasimama??
Sasa kada mwenzangu kwa hii thread unaona umetusaidia chochote kweli
mkuu hapo mwenzako kamaliza wewe tena unamshangaa! Eti tutafute hela siyo kazi yeye alithubutu na akaweza kwa kufanya nini hilo ndio alikuwa afafanue cyo kutoa jibu la swali bila njia ya namna umelipata hilo jibu je, Kama umekaririshwa jibu! Sisi utakuwa umetusaidiaje!ni kawaida ya makada wa hiki chamaHuyu ni hakuna kitu hapo