Nilisahau kujitambulisha kwa wenyeji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilisahau kujitambulisha kwa wenyeji

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Gudboy, Aug 20, 2009.

 1. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  jamani mimi ni mwanachama mpya ila nina kama wiki 2 hivi toka nimejiunga na jamii forum, niliingia hapa bila ya kujitambulisha ili wana jamii forum muweze kunifahamu kuwa nami ni mmoja wenu, nategemea ushirikiano wenu katika kuimarisha hii jamii yetu kwa kupeana habari mbali mbali zinazohusu jamii yetu.

  ahsanteni sana
   
  Last edited: Aug 20, 2009
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Kariiiiibu sana bwana Gudboy!

  Hapa ndo kwenyewe bana... umefika.

  Feel free kujiexpress!..(angalia hizo red juu!)
   
 3. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  ahsante sana, nimerekebisha kaka, si unajua tena asubuhi hii. nikutakie siku njema
   
Loading...