Niliroga sana

Ila sasa rafiki yangu mshana najua umestaafu ila nisaidie mwenzio nimerogwa mimi
 
Hebu niambie kwa ufupi mkuu
Ishu ilianzia mimi kuoa rafiki nikakaa na demu km miaka 4 ivi,nikaja kugundua yule demu sio kwenye maeneo mengi sana,km kuchukia wanangu na kuwafanyia vitendo vyakukatili ila pia alikuwa malaya nk mengine mtakuambia km tukiwa wawili
Sasa ndio kuachana sasa weeee
Tangu apo jamaa yangu nilipita kwenye mateso makubwa mnoo mimi nakila aliyekuwa upande wangu ,kiafya,na uchumi kidogo nichanganyikiwe sasa huko kwingine nafuu zengwe limebaki uchumi aloo mambo hayaendi rafiki ,
 
Aliondoka na vitu vyako akaenda kuvifanyia fearturing

nywele zako,mchanga wa unyayo wako,kucha,Jina lako,manii,mkojo ,picha yako au kipande cha nguo yako, kinaweza kuchukuliwa na adui ili kukutawala, au kulipiza kisasi kwako kwa kuharibu furaha yako katika mambo ya mapenzi na pesa.
 
Nilivunja nazi makutano ya sam nujoma na coca road saa nane uziku
 
Yale yote niliyoyatafuta kwa waganga na ramli
Naomba unielezee kuhusu hii kitu inaitwa "ramli" ndio inakuaje kuaje mkuu?

Na kwanini waganga wakipiga ramli hua hawakwambii upande wa nuru ila wanakwambia upande wa giza tu?

Yaan mganga hakwambii wewe mafanikio yako inatakiwa ufanye moja mbili tatu ila yeye anaegemea upande wa kupata kuku na kukuuzia dawa zake za kiganga, kwanini inakua hivyo? Je! Ni biashara au tiba ya kijadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…