Niliroga sana

ila bado naona kama unapenda sana porojo, uongo, umbea, uzushi, ghasia na mwanadamu mwenzio akifa unashangilia jukwaani,

hivyo navyo unapanga kuviacha lini maana ni sawa na ushirikina tu unaodai umeacha?πŸ’
 
ushirikina ni drama nyepesi na ya kichekesho sana aise,
lakini hua inawaingiza wasomi na wanazuoni kwenye utumwa wa kijinga na wa fedheha sana,

yaani vitunguli na vikorokoro vya kawaida tu vinapewa thamani wakati mwingine mpaka kupelekea mtu ana muua mtu mwenzake dah πŸ’
 
Kuna jamaa mmoja alikuwaga anaroga hatari ilifikia kipindi akawa harogi mtu mmoja mmoja tena akawa anaroga kundi ka watu kwa mfano anaroga disco zima
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nairobi "kuroga" maana yake kupendeza
Hapana, katika sheng ya Nairobi, neno "kuroga" halimaanishi kupendeza.Maana ya "Kuroga" Kwenye Sheng

Katika muktadha wa sheng ya Nairobi, "kuroga" (au "kuloga") hutumika kumaanisha kuchomeka au kuharibu kitu.
 
You being too philosophical now 😁,weka story za kichawi mengine tuachie
Hahahaha I was coming to a very crucial point lakini umenikata kalima...!

Hata hivyo Simulizi za uchawi, mikasa ya kusisimua na hadithi za kutisha ni aina ya mambo yana husisha visa vya kusisimua kuhusu nguvu za giza, misukule, na mambo ya usiku.

Ziraili wa gizani | JamiiForums Tanzania Ziraili wa gizani


Kiza hutengeneza maumbo? | JamiiForums Tanzania Kiza hutengeneza maumbo?
 
Mimi nilijua wanakutaniaga, kumbe kweli? Lakini siku za hivi karibuni umethibitika hujihusishi kabisa na mada za kichawi
 
Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa | JamiiForums Tanzania Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa
 
Ulikua ni mchawi kabisa au mganga tu au Shirki tu. Au full package?
Kwanini pamoja na hayo moyo haukutulia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…