Nilirestore simu ndo ikafa moja kwa moja

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,771
Habari wakuu.
Nilirestore simu yangu wakati narestore cjui ni betr ilikaa vibaya ikazima toka siku hiyo nikiiwasha hiyo cm ikiaanza kuwaka tu inajizima inawaka tena inajizima tena huu ndo mchezo hii cm imeanza
Nashindwa kuelewa tatizo nnn?.
 
inaitwa bootloop, ukiflash tena software ya hio simu itarudi kama kawaida kama ni tatizo la kisoftware.

kama ni hardware ni hadi ubadili motherboard.
 
Hapo umeniacha kidogo mkuu hii yangu ikiwaka tu ile logo ya lg tu ikianza kuonyekana inakua km imejipiga shoti inawasha mwanga mweupe screen nzm baada ya hapo inajizima inaanza tena kufanya hvyo hivyo
 
anza na kuiflash, ni model gani?
 
Back
Top Bottom