Nilipomuamsha shetani wa mme wangu


Inasikitisha sana... sikio la kufa halisiki dawa... na ... Mwisho wa ubaya ni aibu...


Chapter Closed...


Cc: mahondaw
 
Yaani hata pole sikupi, umevunja ndoa kwa upumbavu wako, kisirani ya mume kuchelewa kurudi nyumbani siku moja tu ndio kimesababisha haya yote, shoga yako aliyekuwa anakujaza ujinga kabaki kwenye ndoa yake, mchepuko wako umebaki kwenye ndoa yake, wewe usiyekuwa na akili uko sober house na ndoa huna
 
mtume siomimi πŸ€¨πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…