Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
hahahaa.......huyo mke hajahusu uswahilini kweli huyo? Lol
Hata huyo mwanaume uswahilini kunamhusu! Mume anayesoma kanga niliyovaa,mh!
hahahaa.......huyo mke hajahusu uswahilini kweli huyo? Lol
hahahaha hii kali aiiiseeeJirani yangu alikula
mkong'oto baada ya mumewe aliyekuwa safarini kurudi na kumkuta kavaa
kanga hii 'kuliko kioze, heri nimpe jirani'
hahaaaaaaaa hi kali jamani lol! ila yanauma ujue hata kama maneno ya kanga lazima ujishtukie muhusika mkuu(ukiwa kama mume)Jirani yangu alikula mkong'oto baada ya mumewe aliyekuwa safarini kurudi na kumkuta kavaa kanga hii 'kuliko kioze, heri nimpe jirani'
Hata huyo mwanaume uswahilini kunamhusu! Mume anayesoma kanga niliyovaa,mh!