Elia F Michael
Member
- Mar 3, 2018
- 75
- 800
soma tena mkuu!Pole sanaaa... japo stori yako ina maswali mengi?
Why mwaka huu upande gari ya uliokamata pamba yao mwaka jana? Ulikuwa unaenda nao wapi?
Hata ukisoma haijaeleweka vizuri nadhanisoma tena mkuu!
Sio Polisi huyu, alikua mgombea ubunge Jimbo la Buyungu kupitia Chadema,akajiunga CCM na akapewa cheo cha kiserikali kama sio hata/wilaya huko Simiyu nadhani. Kuna nyuzi zake humusory wewe police...
na pole sana Mungu akuponye
Ndo alipounga mkono juhudi alipewa cheo cha kuwa WEO nadhani sijui(sikumbuki vizuri) na huko ndo alianza kuhitilafiana na hao wahujumu uchumi na ndo hao wamemtenda hayaDuuh pole sana mkuu.
Story yako bado ina walakini mwingi.
By the way si uliunga mkono juhudi?nini kimetokea huko CCM