Kazi ya msalaba ni uongo mkubwa. Hakuna kitu kama hicho!Iko hv Mshana kwanza ulikosea sana kumtamkia mtu kifo kwani hakimu wa haki wa mambo yetu yote yawe mazuri au maovu ni Mungu tu. Ndo maana sisi wakristo tuliomwamini Mungu kupitia kazi ya msalaba Mungu anasema kisasi ni juu yake.
Lkn inakupasa ujue kuwa Mungu anasema hafurahii kufa kwake mtu mwovu heri atùbu na kuacha njia yake mbaya. Hvyo Mungu anavuta subira watu wamwamini si matamanio yake wanadamu wapotee japo watapotea kwa kutokuamini kwao.
Hvyo basi ukimtamkia mwenzako mabaya usijedhani eti kwavile ww Mkristo basi ni Mungu ametenda ila ni Adui ametake advantage ya mashambulizi yako kwa mwingine anatakeleza hasa pale ambapo amiyenenewa hana maarifa ya kucounter attack maneno hayo.
So pls tuwe makini tusitumie kauli zetu vby. Ww mwenyewe hapo umethibitisha. Sitarajii ulifurahia kufa kwake yule dada na kama ulifurahia aiseeèeeeee!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kwakuwa ww ni atheist. Tunajua hamuamini Mungu. Kwa sababu hyo siwezi kukupinga na una haki ya kutoamini nilichosema
Wakristo hawana Mungu mmoja. Wana Miungu watatu! Udanganyifu mkubwa!Uko sahihi kwakuwa ww ni atheist. Tunajua hamuamini Mungu. Kwa sababu hyo siwezi kukupinga na una haki ya kutoamini nilichosema
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba umwambie naniriyuu afe profile lipamba basi ili chama chetu kiwe salama
Samsung SH 8 Mobile Traveller
Anzisha mada yako. Hapa tunachangia uzi wa Mshana jifunza kutembea kwenye mstari basi. U andandia uzi wa mwenzako kutufunsisha imani potofu za kutiamini Mungu?Wakristo hawana Mungu mmoja. Wana Miungu watatu! Udanganyifu mkubwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kwanini unatumia picha zangu humu?Haya fumba macho tuanze sala...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mimi ni mpare ila mshana umenishinda hariiiiikaaa we mkhiee mma weumannje mma
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki tena kupimwa mkojomuombee na jamaa basi tuone
my game,my rules
Mshana hivi wewe huishi Kimara umalize maneno hapo? Au hata kama huishi huko jamaa yale wafanyayo hayajakukera uchukue maamuzi magumu? Fanya jambo kwa faida ya wengi bwana, tamka neno moja tuu na Watanzania wafurahi!
Mmojawapo hatamaliza........ [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji276]Mshana hivi wewe huishi Kimara umalize maneno hapo? Au hata kama huishi huko jamaa yale wafanyayo hayajakukera uchukue maamuzi magumu? Fanya jambo kwa faida ya wengi bwana, tamka neno moja tuu na Watanzania wafurahi!
Mbona ww ulicbomeka masuala ya msalaba hapa? Kwani usipeleke kule?Anzisha mada yako. Hapa tunachangia uzi wa Mshana jifunza kutembea kwenye mstari basi. U andandia uzi wa mwenzako kutufunsisha imani potofu za kutiamini Mungu?
Nenda hadharani kajipambanue tukujue wote kuwa ww huamini Mungu karushe mambo yako kule sio kuja kuharibu uzi wa mwenzako kwa kuleta mada nyingi e
Sent using Jamii Forums mobile app
.........2017, itakuwa habari ya kufurahisha kwa wakazi wa Kimara!Mmojawapo hatamaliza........ [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji276]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]mshana una imani ya ajabu sana...yani story zako zote ni za kushtua tu...mara umwambie mtu atakufa,mara unauza kiti cha ushirikina,mara unafanya kazi monchwari,mara mafunzo ya nguvu za giza.....dah!!!
[emoji15] [emoji15] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125].........2017, itakuwa habari ya kufurahisha kwa wakazi wa Kimara!
Hahahh Mkuu umekuwa nabii? Maandiko yanasema 'Utapata unachokihubiria'
Tumefundishwa kusamehe kabla jua halijachwaHahahh Mkuu umekuwa nabii? Maandiko yanasema 'Utapata unachokihubiria'
All in all huyu ndugu alikuwa ana msongo wa mawazo kukung'ang'ania alikuwa anatafuta wepesi wa yanayomsumbua. Hope ulimsamehe kwa kukusemea uongo!