Hili ni la kafara! But I can guarantee you one thing! The guy will never shine again! Halafu atakuwa na mwisho mbaya! MARK MY WORDS!Naomba umwambie naniriyuu afe profile lipamba basi ili chama chetu kiwe salama
Samsung SH 8 Mobile Traveller
Jamaaaniii jamanii...Hili ni la kafara! But I can guarantee you one thing! The guy will never shine again! Halafu atakuwa na mwisho mbaya! MARK MY WORDS!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebanaeee... Leo tunalo tusipokuwa makini...Jamaaaniii jamanii...
Cc Asprin
Ukipata dawa ya Hii nipe jamani maana ni km umeona nilivyo, inatesa wakati mwingine hii haliBTW trust me MIMI NINA MDOMO MBAYA!!! Sijivunii wala sijisifu na kwakweli kuna wakati huwa najiogopa binafsi kwakuwa hata mimi mwenyewe nikisita kufanya jambo kisha nikafosi huwa inakula kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa mpaka mida hii bado hujalewa?Naomba umwambie naniriyuu afe profile lipamba basi ili chama chetu kiwe salama
Samsung SH 8 Mobile Traveller
Kwa kweeeli... Akikuroga na mie aniroge.... Hebu tusali kwanza babu...
Hivi imekuwaje tukaja humu babu jamanii.... Kwa nini shetani ni mchochezi hiviiEbanaeee... Leo tunalo tusipokuwa makini...
Khaaaa...
[emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We jamaa mpaka mida hii bado hujalewa?
Haya fumba macho tuanze sala...Kwa kweeeli... Akikuroga na mie aniroge.... Hebu tusali kwanza babu...
Sasa sijui alikua anataka watu wamuoneje .....muuaji, mchawi sijui nabiiKonyagi tu ndo somo pekee nimejifunza hapa,[emoji87] [emoji87]
Inakufanya ujisikie vby mi nina hiyo ya kutamka vby km mtu kanikera lkn sio kufa, we Hii ni mby kuliko pole sana broHata Mimi imenitokea Sana mpaka sasa siwezi kusema neno baya kwa mtu kwan lazma litokee. Wakati nipo darasa la tatu kuna dada nilipigana nae akanipiga watu wakanicheka sana, roho iliniuma Sana nkamtafuta baadae tukajibizana kwa maneno nikamwambia atakufa na usiku wa siku ile ile akafa, mwingine alinipiga darasa la tano akafariki wk hyo hyo japo sikumwambia kitu, nikiwa form 1 kuna rafk yangu alikua tuliondoka shule anasema anaumwa ila alikua kawaida. Baadae nkakutana na pacha wake nikamwambie msalimie KULWA mwambie mwaka wake huu hawez kupona, nilisema kiutani ila usiku wa siku hyo akafariki kweli. Mwingine nilisema tukiwa chuo kwenye stori tu mada ilikua watu marafiki kufiwa na wazazi wao ndani ya mwaka huo huo kwan washkaj wengi walifiwa mwaka huo, kuna jamaa akasema sababu wazaz washazeeka ndo maana rate ya wao kufa ni kubwa, mimi nikasema kifo anapanga Mungu.wakat natetea hoja yangu nikasema Mungu anapanga nikamtolea mfano jamaa kwamba hata yeye anaweza kufa siku yeyote wala sio mpaka azeeke. Yule jamaa aligongwa na gari wiki ile ile akafariki. Toka hapo sitaki kumsemea mtu mabaya kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa....Haya fumba macho tuanze sala...