Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Jamaa alikosea step kadhaa ndomana ndege akapeperuka, Ningekua mimi hapo ningepiga.

Not rough not forceful, just a gentle voice, calm and warm like holding a cup of cocoa in a cold winter night.

A wonan is like a bird so you should look like someone trying not to scare a little bird. don't rush just speak softly.

Mfano : "mama ndege, i know this is hard, i understand you're scared. I won't force anything today, lets just talk for a bit!"

Hapo utachomeka vistori vya uongo na ukweli, lengo ni kumtoa wasiwasi na kumfanya awe comfortable.

Sasa jamaa ghafla bin vuu anakukokota chumbani lazima mtoto aogope labda awe mwanamke malaya ndo utamla kwa style hiyo.
Je, kama ungetumia huo ustaarabu ungenyimwa bado ungefosi?
 
Hata ulichoandika ni upuuzi.
Kilichokupeleka gheto ni nini?
Hukuona mazingira mengine ya kuongelea mambo yenu?

Wanawake type yenu huwa nawaona kama wanafiki tu.

Kaka zako ulionao hawakutoshi hadi umlazimishe mtu baki kuwa kaka yako au rafiki.

Unabahati ungeliwa kotekote mpuuzi wewe
Dah! Asante mkuu
 
Wanawake bwana. Hapo unaongea tu kujichetua ila kuna sehemu ya nafsi yako inasema angekupa pesa na mtaji ungemuachia aichape.

Shida ninayoiona kwa wanawake wa kisasa ni umalaya. Hutoi mkiwekewa dau zuri mezani mnagawa mzigo bila mazungumzo na ndo maana mnaliwa sana nje ya ndoa ila hapa unajifanya story za misimamo kubabake.

Kuna series moja hivi ya mafia wa kiitalia mob boss, akamchana kijana wake m'moja aliyekuwa anataka kuzingua kwasababu ya mapenzi alikuwa anataka kutemana na kundi akaanze life lake mwenyewe,mzee akamwambia unamengi sana kujifunza kuhusu wanawake.

Akamwambia mwambie aje halafu nitakuonyesha unadeal na kiumbe gani. Jamaa akamualika demu wake dinner nyumbani kwa yule boss wake.

Wakiwa mezani mzee akamwambia demu una mpango gani na life lako,demu akasema nataka kuishi na mshikaji,mzee akamuuliza tena unampango gani na maisha yako,demu akasema tena ni kuishi na mshikaji, mzee akaweka begi la dollar laki tano, akamwambia demu hizi hela ni za kwako kama una maisha unataka kufanya mwenyewe ukajipange ila kama ni kweli unataka kuishi na mwamba poa komaa nae ila hizi hela sitakupa hata mia.

Demu akasema asante mzee,but mimi nataka kukaa na mshikaji,mzee akaongeza dollar 250,000 juu,demu akamtazama boyfriend wake kwa mashaka huku anatazama hela,mzee akaongeza zikawa one milion, demu akatoa macho kwenye hela huku anamtazama mshikaji wake,mzee akaongeza milioni 2 zikawa tatu kasema huyu kijana kwangu ana thamani sana hii pesa niliyokuwekea mezani ni sehemu ndogo ya thamani ninayoitafuta kwake so ukichukua mimi sioni hasara,ila hasara ni ukiondoka nae,ila sikuzuii.

Mzee akaweka jiwe lingine juu zikawa 4milion demu macho yamemtoka,mzee akasema sawa niwatakie maisha mema,demu akawahi kumkatisha akasema nitazichukua.

Jamaa macho yakamtoka akashangaa demu kabadili gear hewani 😂 halafu demu hakumtazama tena mwamba usoni kwa aibu. Video ikakatikia hapo. Naitafuta nijue ni movie gani ile ila ndio wapuuzi wale kwenye comment ukiuliza hawasemi wapo kimya, na aliyeipost hajatag jina la movie/series wala nini. Inaonekana movie moja kali sana ya kimafia.

Mzee akanyanyuka akasepa zake na glass yake ya wine. Akawaacha mezani demu kainama maana anajua kamzingua mwamba ila moyoni ameona opportunity ya pesa amebadili mawazo.
Kweli pesa sabuni ya roho😂😂
 
Sasa ulikuja geto kufanya nini??? Si mnasemaga tujiongezee mwamba alijiongoza bwn 😁
 
Back
Top Bottom