Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Hili ni tukio ambalo likitokea miaka mingi sana iliyopita lakini hadi leo hii huwa nikilifikiria najikuta nimepatwa na haruma halafu hapo hapo napatwa na hasira kali.
Hili tukio baada ya majuzi tu hapa mtaani kwetu mzee mmoja kumpa sumu mwanae wa kiume aliyempenda sana, nae alimkuta analiwa kiboga na wanafunzi wenzie.
Waliokuwa na utaratibu wa kwenda pale kwake usiku kwa lengo la kujisomea, lakini yule kijana hakufa aliwahishwa tu hospital na huko ilitembea hela mambo hayakufika mbali.
NB:- Muhimu ni kuchunguza sana mienendo ya vijana wetu wanaosema wanajisomea kwa ma group.
Jumapili njema