Nilimpenda sana lakini nikaamua kumpa sumu

Nilimpenda sana lakini nikaamua kumpa sumu

Jamaa yangu Kijiji cha Muungano ni kikubwa sana kwani kimetapakaa kutoka Mgharibi kikiungana na UDOM Education hadi karibu na Mvumi Mission,
Hapo Pikipiki tu ndio inaweza kumpata maanda Mabasi ya Mvumi hayapiti hapo, yanazungukia Kikombo au Mvumi Makulu
Hawa vijana wa Muungano si wema inabidi uje kiakili sana ndio wanaweza kukusaidia kumtafuta huyo Bibie
Vujiji vya kwetu Serikali yao ni ngumu km wote ni wazaliwa wa hapahapa Muungano hawatakusaidia hata kukupatia wototo wa huyo rafikiyo, na hasa km walitoroka kimapenzi huko kwenu
POLE

shukrani sana mkuu kwa maelezo tambuzi.
Siku moja huyo kijana aligusia suala la ujenzi wa UDOM kwamba alifanya kazi kama kibarua. Hiyo hint ya ukubwa wa hicho kijiji umenisaidia.
Mkuu nitazingatia maelekezo yako kwa ukaribu, mpaka sasa simu yake haipatikani, ndugu zake wa karibu hapa DAR nao naona wamekimbia msala.
Thanks in advance.
 
Mkuu Galadudu with a very tragical comedy concerning a handsome dog of his own.And finally ended up poisoned for being "gay"!!!😀😀😀
 
Sasa imekuwaje wewe uwe responsible? Samahani lakini kwa kudandia treni kwa mbele
Mambo mengine ni ya ki-intelijensia sana madam K.
We were in the same boat with different issues.
 
Mimi kama mwanafasihi nakupongeza sana mtoa mada kwa mbinu ulizotumia kufikia hadhira na hata malengo yako binafsi. Hongera sana brooo

Mghosi
 
Duuuuuuhhh but kiukweli huwa mzazi especially Baba huwa anaona amedhalilishwa sana pale mtoto wake wakiume akiwa analiwa kiboga..! Sometimes huwa Baba mtoto anaona bora amtupilie mbali kuliko kuona udhalilishwaji mkubwa kiasi hiko...! Ebana eeehh mtaani kwenu hao mbwa wa street ni mabazazi sana alafu mlikuwa huyo dog wenu mnampaka carolite akawa anavutia madogi ya kiume..!
 
Duuuuuuhhh but kiukweli huwa mzazi especially Baba huwa anaona amedhalilishwa sana pale mtoto wake wakiume akiwa analiwa kiboga..! Sometimes huwa Baba mtoto anaona bora amtupilie mbali kuliko kuona udhalilishwaji mkubwa kiasi hiko...! Ebana eeehh mtaani kwenu hao mbwa wa street ni mabazazi sana alafu mlikuwa huyo dog wenu mnampaka carolite akawa anavutia madogi ya kiume..!

Niliweka uadui mkubwa sana na ile mijibwa ya mtaani kwetu
 
vp Mollel za mgonjwa
umeshamtembelea Hospital au bado msimamo ni uleule baada ya kuona Whatsapp

Huyu Galadudu achana naye hapo tu ana wivu kwa wanyama je amkute binadamu km mke au mtoto
Huyo mbwa mngese ndio mlinzi mzuri kwani asingekatiza mwizi, sema kelele za mabashambwa ndio zilimgasi
huyu inebidi akasaliwe na Maaskofu wa ile DINI ya London angeelewa kuwa wote ni viumbe wa MUNGU

Kaka Ukwaju msimamoo ndio ule ule kiukwelii siwezii badilishaa kamwee na mgonjwaa walaa CNAA habarii nayee na rafiki zakee nilishawaambiaa siitajii wanitafute kunielezea habari zakee aishee maishaa yakee namii nimeamua kuishii maishaa yangu .hvyo tu ndugu
 
Last edited by a moderator:
mh kwa kweli ni hatari
hata jana nilishangaa kuona matokeo waliyopata asernal eti the gunners
 
Back
Top Bottom