masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,827
- 16,911
Umeshindwa kusoma?
Kama hunielewi nipigie simu.
Namba yangu si unayo?
sina simu......
Umeshindwa kusoma?
Kama hunielewi nipigie simu.
Namba yangu si unayo?
Huna simu ila M-pesa unapokea!sina simu......
Huna simu ila M-pesa unapokea!
Haya bibie. :confused2:
Pole sana Mkuu tupo nawwe pamoja.... Aisayee huyo kjn. ni mtekaji nyara!! Lazima atiwe nguvuni.Inawezekana mkuu.
Namhitaji sana huyo kijana by hooks and crooks.
Imagine wewe umeoa, umezaa mtoto mmoja, halafu mimi from nowhere nakuja na kutoroka na mke na mtoto kwa kumlaghai!
Well, kwa upelelezi wangu nilioufanya nimeambiwa kuwa kijana ni mgogo, mwenyeji wa Dodoma, kijiji cha Muungano, Mvumi.
Nafuatilia bado ukoo wake kiundani unajulikanaje huko.
Ntamkamata tu pole pole.
Pole sana Mkuu tupo nawwe pamoja.... Aisayee huyo kjn. ni mtekaji nyara!! Lazima atiwe nguvuni.
natumia sim ya mama
nielezeee basi huo udaku
Aliliwa kiboga au ulikuwa unaisi .
Kama kaliwa nakuunga mkono kwa uamuzi wako utafugaje shoga alaaa.
wee galu!! umenichoshaa!! ipo dawa yako....... ntakuletea!Kitumbua sio andazi
watu wako radhi wabebwe kwenye mikokoteni kuvuka mito na mitaro ya maji kwa ajili ya kwenda makazini, lakini si makanisani.:confused2:
Jumapili njema wadau..
kanisa ni popote pale ulipo
vp Mollel za mgonjwaAchaa nijifariji na jf tu maana Galadudu umetishaa
Jamaa yangu Kijiji cha Muungano ni kikubwa sana kwani kimetapakaa kutoka Mgharibi kikiungana na UDOM Education hadi karibu na Mvumi Mission,Mkuu kama kuna namna unaweza nisaidia kupata primary data, nisaidie!
Familia ishatenganishwa tayari.
wanawake wengine hawajielewi kabisa.
Inawezekana mkuu.