Maumivu ya kuchapiwa tunayakuza sana

Dr criminal

JF-Expert Member
May 16, 2022
2,278
4,272
Out there wakuu,

Wakuu kwanza nikili kuchapiwa kunauma sana, tena sanaaa, naliongea hili nikiwa nna experience na kuchapiwa.

Nishawahi kuchapiwa dem bikra, yani dem nimeingia naye kwenye mahusiano ni bikra, kwahiyo nilikuwa na nafasi yakumbikiri lakini akaja muhun from nowhere akabikir mali ilihali bado ni dem wa mimi.

Wakati natengeneza mazingira mazuri, tuzoeane, asiniogope, ile nasubiri tunda liive wakaja wana kulila na chumvi, yani inshort mwana alikuja kunisaidia kufungua ile juisi ya ukwaju akapiga fundo moja then akaniachia niendelee, aisee yale maumuvi ya dem wangu kuchakatwa plus bikra aah nyie, iliniuma sana.

Huyu mwingine mtoto mmoja mkali sanaaa, sanaa mpaka sasa yeye ni dem mkali zaidi akilini mwangu kuwahi kumuona (japokuwa nakutana na wazuri kumzidi yeye uko duniani lakini akili imekataa kabisa she's number one) huyu alikuja kuchakatwa na jamaa jilani yangu, ndugu zangu zile week tatu baada ya kugundua ili swala ndio zilikuwa siku ngum zaidi maishani mwangu.

Lakini kwanini nasema maumuvi ya kuchapiwa tunayakuza sana ilihali mwenyew chamoto nilikiona?

Hili swala la kuliwa mwanamke ni lakisalojia zaidi kuliko uhalisia wenyewe, yani akili yako haikujiandaa na kilichotokea na baada ya kutokea akili iyo iyo inaanza kukutelea picha ya tukio Kwa namma ya kukuumiza sana, yani zinaanza kukujia picha kakunjwa, kawekwa dog style, kanajiliza pale, inachomoka anaichomeka

Nilichojifunza kwangu vile nnavyojiskia baada ya kuchapiwa, yani mwili na akili yangu inavyo-react baada ya kuchapiwa ni kutokana na vitu vitatu:

1. Matarajio (expectation)

2. Upofu, yani hutaki kuona mbele

3. Hujui una-deal na nani

*Gharama ulizotumia, muda, fedha na hisia

1.Matarijio

Hapo juu huyo dem nimemsema ni mkali ambaye alikuja kuchakatwa na jilani yangu nilitengeneza mazingira aniamini Kwa 100%, simu yangu password anaijua, simu ipo clean mda wote akiniomba sijiulizi mara mbili, sim ikipigwa kama ni mwanamke kapiga naweka laoud speaker na yeye asikie ili asinihisi vibaya.

sio tu sikumcheat nilihakikisha hakuna hata viashiria vya kuchaeat nikitarajia kwamba Kwa kufanya hivo na yeye atafanya hivyo hivyo,, nyokoooooooo ndo akaja kunipiga huo mtukio ambao sikuwahi kuuwaza, kwahiyo ni kama alinishtukiza ndio maana mwanaume week tatu akili haipo sawa, moyo unaumaa kama nimepigwa risasi ya moyo hivi.

Kwahiyo hata ukiwa mwanaminifu kiasi gani Kwa mpenzi wako suala la yeye kuwa mwaminifu lipo mikononi mwake, ni yeye aamue kutulia wewe hakuna kitu utafanya kumbadilisha mawazo yake, kwahiyo mpende lakini usitarajie yeye kutokuchepuka kisa unampenda.

2. Upofu (hutaki kuona mbele)

Kuna kitu wanaume hatutakagi kukubali "hata iweje watamchakata tu wauni" ili jambo ukilifumbia macho, ukajifanya kulivungia, uka-assume halipo, ali-exist, siku likija kulipuka utalia kilio cha kusaga meno, ndio mimi kwa yule dem bikra ni kama nilijihakikishia namba kikosi cha kwanza, ile ya kuku wangu manati ya nini.

Sikuona kabisa uwezekano wa yeye kuliwa hapa katikati lakini ndo walimkula hivo, wakanyofoa bikra, kwahiyo kilichoniuma ni ile saikolojia kwamba hii bikra yangu ila kama ningekuwa na wazo kwamba hapa kati anaweza kuibuka mtu akahack mchongo nisingeumia sana.

Kwahiyo tambua kwamba mda wowete huyu mwanamke anaweza kuchakatwa, ukiwa ni hii mentality hata ikitokea kwanza hutoumia sana pili utafanya maamuzi ya busara

3. Hujui una-deal na nan

Mi nilishawai kumpenda malaya, yani mtu ambaye hastahili upendo, hastahili kupendwa mimi nikamkabizi moyo. Kwenye hili ndio inakuja ile kwamba ukimtaka mwanamke ambae humfaham waambie kwanza wana wakupe faili lake, mi nikaingia kichwa kichwa.

Yule dem alikuwa ni upige tu mara moja upite hivi au upige kila ukijiskia lakini sio kuwa mpenzi, hawezi kutulia watamla tu tena waziwazi na wewe utaumia sana alafu wana wenyewe wanapasiana tu kama jagi la pombe kilabuni.

Kwahiyo wakati mi naumia kuchapiwa kumbe yeye ndio lifestyle yake hiyo, ndio maisha aliyoyachagua mjinga ni mimi tangu mwanzo sikujua na deal na mwanamke wa haina gani. Kwahiyo ni vyema ukajua unadate na nani isije ukapenda malaya alafu utegemee atulie na wewe, HAUTOSHINDA.

*Gharama

Hii nimeiweka nyota kwasababu mbili, kwanza mimi huwa situmii gharama kihivyo kwenye mahusiano kiasi cha kujutia, pili huwa natoa vitu ambavyo siwezi juta likitokea la kutokea.

Sasa Kuna watu hata humu jukwaaani utaskia, nimempa iki, nikampa kile, nilifanya hivi, nikamfanyia vile lakini bado akachepukaaa, oyaaaaaa bobu acha ujinga wewe, hata ukimpa meli watamchakata tu uyo mwanamke wako, hakuna uhusiano wa moja Kwa moja wa wewe kumpa vitu na yeye kuchakatwa, HAKUNA.

Kwahiyo kama unampa vitu wewe mpe kwasabab unampenda sio ndio liwe kama geti la yeye kumzuia kuchepuka, NO it doesn't work like that, vitu vyako atakula na kumchakata watamchakata

Hitimisho.

Kuchapiwa ni taarifa mbaya yakushtukiza, kwahiyo kivyovyote vile lazma utajiskia vibaya, utajiskia vibaya kiasi gani ndio itategemea ulimpenda kiasi gani na uliwekeza kiasi gani kwake (muda, fedha na hisia).

Sasa ebu assume una hii taarifa, kwamba Kuna siku itakuja watamchaka huyu mwanamke wangu!!!! yani hii habari tayari kichwani mwako ipo kwamba one day one time (dj afro) mwanamke wangu watamchakata, what will be your reaction when will this happen?? i bet you will be okay, haitokuuma sana na utafanya maamuzi ya busara.

Kuchapiwa is nothing, ni vile mwanamke wako anabadilisha ladha, nothing special. Akilini mwako ujue utakuja kuchapiwa siku moja, jiandae kisaikilojia.

Mi nalog out.
Dr Criminal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe una experience ya kuchapiwa madem! Kaoe uchapiwe mke alafu urudi hapa kuandika haya uliyoyaandika
 
Ukiona unaandika hadi uzi wa kuchapiwa nina Imani bado ni hofu imekutawala ya kuchapiwa ila unaamua kukaribu kutuaminisha kua huogopi kwa sababu ulizozoweka!

We ishi tu usiwaze hata kama utachapiwa aisee, ukianza kuwaza hayo mambo hakika hautafurahia ndoa ama uhusiano wako ulionao na ndio mwanzo wa kuanza kumuangalia kwa macho ya kumshuku na mwishowe utaanza kumuonyesha vile unahisi na ataamua kugawa kusudi ili unachohisi kitimie!!

Acha kuwaza kuchapiwa na ikitokea kuna mazingira unahisi epuka kupekenyua mpaka yawe dhahiri kabisa maana kwa kawaida sisi wanaume hatunaga imani na pisi zetu kwa 100%, kwahiyo ukiwa mtu wa kujistukia sana utaleza mzozo kila kukicha!

Mm naona jambo pekee la kuepuka maumivu ni unapojua demu ama mke ameliwa, ili usiume yani achana nae kabisa hapohapo wala usilipe muda kulitafakari sana na kuanza vikao vya misamaha hayo ndio mateso ya moyo maana utawaza nimsamehe mtu ambaye alifanya hv na ikawa vile sijui nini mwishowe ndio kuteseka kirefu!

Nikisema mateso namaanisha ni kuruhusu maumivu ya muda mrefu, maumivu yanakuwepo ila usikubali yakawa mateso....akizingua muachee maana toka dunia iumbwe hakuna bahati mbaya katika kulana sababu ni mchakato, hata ule uzi wetu wa kimasihara ukiangalia kunakua na na kujilenga kwa wazi kabisa kwa pisi ndio maana inaliwa!!

Toka dunia iumbwe hakujawahi tokea mahali mtu akawekeza moyo kwa mwanamke akabaki salama, angalia Adamu aliponzwa na Hawa wakala tunda, Samsoni kaponzwa na wanawake mara mbili, ya mwisho Delila ndio akammaliza kabisa! Hakikisha unalinda moyo wako kuliko yote ulindayo maana ndiko kutoka chemchem ya uzima!

Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako!!
 
Yaani nasema hivii wewe ulichapiwa mademu ungechapiwa mke Sasa hio ndo habari nyingn
 
Ili somo lifundishwe kuanzia shule ya msingi litasaidia kuondoa msemo penzi kitovu cha uzembe6, watu wasiathirike kwa ulevi wa mapenzi.
 
Kumbe una experience ya kuchapiwa madem! Kaoe uchapiwe mke alafu urudi hapa kuandika haya uliyoyaandika
Katoa ushauri hii uepusha mtu kuingia jela kisa mapenzi.
Kwann uue mwili wake yeye ndo kawashwa kitumbua chake we we unakunywa sumu ya nini kwa mwili wa mwenzio
 
Bora kuchapiwa demu kuliko kuchapiwa mke, kuchapiwa mke maumivu Yake usipime aisee.

Ukiwaza jinsi anavyokukatikiaga viuno mixer kutoa miguno ya hatari kitandani afu unamstukia anamkatikia na kumgunia mwanaume mwingine walahi utaanza kuyasikia majengo mawili ya serikali ( Muhimbili Motuary na Segerea) yakikuita😂
 
Ukiona unaandika hadi uzi wa kuchapiwa nina Imani bado ni hofu imekutawala ya kuchapiwa ila unaamua kukaribu kutuaminisha kua huogopi kwa sababu ulizozoweka!

We ishi tu usiwaze hata kama utachapiwa aisee, ukianza kuwaza hayo mambo hakika hautafurahia ndoa ama uhusiano wako ulionao na ndio mwanzo wa kuanza kumuangalia kwa macho ya kumshuku na mwishowe utaanza kumuonyesha vile unahisi na ataamua kugawa kusudi ili unachohisi kitimie!!

Acha kuwaza kuchapiwa na ikitokea kuna mazingira unahisi epuka kupekenyua mpaka yawe dhahiri kabisa maana kwa kawaida sisi wanaume hatunaga imani na pisi zetu kwa 100%, kwahiyo ukiwa mtu wa kujistukia sana utaleza mzozo kila kukicha!

Mm naona jambo pekee la kuepuka maumivu ni unapojua demu ama mke ameliwa, ili usiume yani achana nae kabisa hapohapo wala usilipe muda kulitafakari sana na kuanza vikao vya misamaha hayo ndio mateso ya moyo maana utawaza nimsamehe mtu ambaye alifanya hv na ikawa vile sijui nini mwishowe ndio kuteseka kirefu!

Nikisema mateso namaanisha ni kuruhusu maumivu ya muda mrefu, maumivu yanakuwepo ila usikubali yakawa mateso....akizingua muachee maana toka dunia iumbwe hakuna bahati mbaya katika kulana sababu ni mchakato, hata ule uzi wetu wa kimasihara ukiangalia kunakua na na kujilenga kwa wazi kabisa kwa pisi ndio maana inaliwa!!

Toka dunia iumbwe hakujawahi tokea mahali mtu akawekeza moyo kwa mwanamke akabaki salama, angalia Adamu aliponzwa na Hawa wakala tunda, Samsoni kaponzwa na wanawake mara mbili, ya mwisho Delila ndio akammaliza kabisa! Hakikisha unalinda moyo wako kuliko yote ulindayo maana ndiko kutoka chemchem ya uzima!

Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako!!
Kaza fuvu tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom