Nilimkaribisha rafiki kwangu kanipandia kichwani

Watu wengine bwana ovyo!! Huyo jamaa ni mjinga kweli! Kwanza inakuweje mtu mzima mwenye familia na kazi ameshindwa kuchukua hata room moja?? Kibaya zaidi ni mzinzi, hajui hata privacy zake? Huyo fukuza tuu aende zake huko na kama anataka uzinzi wake akapange chumba. Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Kwanza na mke wake anaweza akawa anafikiria kuwa ni vizuri anavyokaa kwako akiamini hawezi akawa anafanya ujinga huo kumbe maskini, sipatii picha akipanga itakuwaje?
 
sina hakika kama huyu alikuwa best yako kiviiiile hata ukamkaribisha kwako, maana ingekua hivyo na tabia zake ungezijua. Huyu naona alikua rafiki tu wa juu juu lakini ukaamua kua muungwana na kumkaribisha bila kujua adhari za wema. Hili liwe funzo kwako na kwa wengine "rafiki au ndugu, ili mdumishe undugu, msikae nyumba moja".
Umempa chumba kwa nia njema vile hukujua tabia zake, kwa sababu ya urafiki wenu ni wa kubabaisha. sasa next time "dont do that" hawana maana.
huyu rafiki yako wa bandia hana adabu wala heshima hata moja, na itakua anaokota vicheche wasio na kazi, maana mwanamke wa maana utamtoa kazini umpande, kisha umfulishe nguo? mbona anajidhalilisha huyu nae jamani. Hebu fukuza huko, huna haja ya kumfumbia au kumdanganya, mpe black and while kwamba tabia zake za uzinzi zimekushinda.
 
Kuna watu wapole sana. Yaani utumbafu wa namna hii kwangu? Aisee ningempa 24 hrs na asipoondoka kesho yake namtolea vinguo vyake kwenye malboro....
 
Bwana ee huyo ameishakua mjanja cha kufanya wewe mweleze ukweli mwambie hatari na hasara ya tabia hiyo hasa akiifanya nyumbani kwako, mpe msimamo wako na akishindwa kufuata muonyeshe madali wanapopatikana ili nae apate chumba maana nae anataka kua huru.
 
Report him to his wife...and kick him out of your home! otherwise siku moja jifanye unaenda kanisani na kwamba utashinda huko hadi jioni kumbe umetengeneza deal na mkewe. then unamfanyia suprise ya kumfumania. unapiga picha kisha uje uzimwage hapa JF ili tutoe funzo kwa wengine! kama noma na iwe noma! kwa nini uumize moyo wakati wewe ni man?
 
Au unamlipisha?
tusije anza toa maushauri kibao kumbe ni mpangaji.
Kama si mpangaji mwambie akupishe, si rafiki mwema huyo na kwa tabia zake hizo atakuacha tu hata usipomfukuza atalikwaa la kumuondoa duniani so get rid of him mapema.
 
Jamani kuna watu hawana heshima kabisa,

Mimi ni mwanaume, nina mke na watoto wawili. Pia nafanya kazi sehemu moja na rafiki yangu (pia mwanaume, naye ana familia). Hajahamisha familia yake, kwa hiyo anakaa kwangu. Kwa sasa mke wangu yuko masomoni na watoto ameenda nao. Nimebaki na huyu jamaa, ambaye wakati mwingine mke wake huja kumsalimia na nimewatengea chumba chao.

Nimekerwa na tabia ya huyu jamaa. Analeta wanawake nyumbani kwangu anasema ni marafiki zake tuu. Kuna siku nilienda church yeye akabaki home akamwita msichana amfulie na wakafanya mapenzi nyumbani kwangu na kwenye kitanda changu. Mwanzoni aligoma, lakini baadaye nikamtega kwenye kupiga stori akakiri.

Leo asubuhi tumekuja kazini, mimi nikiwa nimepewa majukumu fulani hapa kazini, jamaa akijua kuwa siwezi kutoka, akaniomba funguo na kusema kasahau kitu fulani. Kumbe mwenzangu ameenda na msichana na baada ya muda akarudi kazini. nikamwomba anirudishie key akasema ameacha home kuna mtu anamfulia nguo. Nimemwuliza ni nani kagoma kuniambia ni nani.

Namweleza uhalisia wa athari zake ananibishia

Moja, huyo mtu ameachiwa funguo, je akienda kuchonga na tukiibiwa in the future itakuwaje?
Pili, amemwambia amfanyie na usafi kwa maana ya kudeki nyumba, je usalama uko wapi?
Privacy ya nyumbani kwangu iko wapi?
Mimi ni kiongozi wa kanisa na wakati mwingine ninakaa na fedha za kanisa. Kwa sababu kanisa lenyewe ni dogo, huwa siendi BENKI kila wiki, at least ikifika kuanzia millioni moja na kuendelea ndo nazipeleka benki. Sasa je, nikiibiwa atakuwa tayari kuwajibuka?

Amebaki tuu kuuchuna hata kuomba msamaha hataki, anaona alilofanya ni sawa.

Nishaurini wazoefu nimfanyeje huyu mtu? Nafikiria kumwambia atafute chumba apange ili awe huru
Samaki mkunje angali mbichi..!
 
Mzee w kanisa pole sn....ni moja ya majaribu ...lakini timua huyo jamaa hawezi kukinajisi kitnda chko hlfu ukaendelea kumchekea.........
 
Stabilizer bana... naona sasa you need to be stabilized.... wewe mwambie jamaa aanze!
 
Jamani kuna watu hawana heshima kabisa,

Mimi ni mwanaume, nina mke na watoto wawili. Pia nafanya kazi sehemu moja na rafiki yangu (pia mwanaume, naye ana familia). Hajahamisha familia yake, kwa hiyo anakaa kwangu. Kwa sasa mke wangu yuko masomoni na watoto ameenda nao. Nimebaki na huyu jamaa, ambaye wakati mwingine mke wake huja kumsalimia na nimewatengea chumba chao.

Nimekerwa na tabia ya huyu jamaa. Analeta wanawake nyumbani kwangu anasema ni marafiki zake tuu. Kuna siku nilienda church yeye akabaki home akamwita msichana amfulie na wakafanya mapenzi nyumbani kwangu na kwenye kitanda changu. Mwanzoni aligoma, lakini baadaye nikamtega kwenye kupiga stori akakiri.

Leo asubuhi tumekuja kazini, mimi nikiwa nimepewa majukumu fulani hapa kazini, jamaa akijua kuwa siwezi kutoka, akaniomba funguo na kusema kasahau kitu fulani. Kumbe mwenzangu ameenda na msichana na baada ya muda akarudi kazini. nikamwomba anirudishie key akasema ameacha home kuna mtu anamfulia nguo. Nimemwuliza ni nani kagoma kuniambia ni nani.

Namweleza uhalisia wa athari zake ananibishia

Moja, huyo mtu ameachiwa funguo, je akienda kuchonga na tukiibiwa in the future itakuwaje?
Pili, amemwambia amfanyie na usafi kwa maana ya kudeki nyumba, je usalama uko wapi?
Privacy ya nyumbani kwangu iko wapi?
Mimi ni kiongozi wa kanisa na wakati mwingine ninakaa na fedha za kanisa. Kwa sababu kanisa lenyewe ni dogo, huwa siendi BENKI kila wiki, at least ikifika kuanzia millioni moja na kuendelea ndo nazipeleka benki. Sasa je, nikiibiwa atakuwa tayari kuwajibuka?

Amebaki tuu kuuchuna hata kuomba msamaha hataki, anaona alilofanya ni sawa.

Nishaurini wazoefu nimfanyeje huyu mtu? Nafikiria kumwambia atafute chumba apange ili awe huru

Yaani nyumbani umemkaribisha na mke wake anakuja anafikia kwako, huyo rafiki yako kwanza naona hana akili, akili alizonazo ni darasani tu ambazo zimemwezesha kupata kazi, yaani mtu mzima una mke una kazi unaenda kukaa kwa mtu ilihali unajua na yeye ana familia japo haipo hapo,. hiyo haitoshi analeta na mahara zake pia. kaa ukijua hao wanawake anawaambia hapo ni kwake wewe ndo amekukaribisha ndo maana analala nao kitandani kwako. Hata wewe pia una matatizo yaani nyumba yako imegezwa Gest unaangalia tu.!
 
"..... usinione ----- baaba.....,kumbe bwana yule hana kitanda wala shukaa.."

Kwanza kabisa, hao wasichana wahuni anaokuja nao hapo anawaambia hapo ni kwake. Ndoa yake iko mashakani, ila naona unahatarisha na yakwako pia. Kujaribu kumfurahisha kila mtu huishia kuishi bila furaha.
 
Jamani kuna watu hawana heshima kabisa,

Mimi ni mwanaume, nina mke na watoto wawili. Pia nafanya kazi sehemu moja na rafiki yangu (pia mwanaume, naye ana familia). Hajahamisha familia yake, kwa hiyo anakaa kwangu. Kwa sasa mke wangu yuko masomoni na watoto ameenda nao. Nimebaki na huyu jamaa, ambaye wakati mwingine mke wake huja kumsalimia na nimewatengea chumba chao.

Nimekerwa na tabia ya huyu jamaa. Analeta wanawake nyumbani kwangu anasema ni marafiki zake tuu. Kuna siku nilienda church yeye akabaki home akamwita msichana amfulie na wakafanya mapenzi nyumbani kwangu na kwenye kitanda changu. Mwanzoni aligoma, lakini baadaye nikamtega kwenye kupiga stori akakiri.

Leo asubuhi tumekuja kazini, mimi nikiwa nimepewa majukumu fulani hapa kazini, jamaa akijua kuwa siwezi kutoka, akaniomba funguo na kusema kasahau kitu fulani. Kumbe mwenzangu ameenda na msichana na baada ya muda akarudi kazini. nikamwomba anirudishie key akasema ameacha home kuna mtu anamfulia nguo. Nimemwuliza ni nani kagoma kuniambia ni nani.

Namweleza uhalisia wa athari zake ananibishia

Moja, huyo mtu ameachiwa funguo, je akienda kuchonga na tukiibiwa in the future itakuwaje?
Pili, amemwambia amfanyie na usafi kwa maana ya kudeki nyumba, je usalama uko wapi?
Privacy ya nyumbani kwangu iko wapi?
Mimi ni kiongozi wa kanisa na wakati mwingine ninakaa na fedha za kanisa. Kwa sababu kanisa lenyewe ni dogo, huwa siendi BENKI kila wiki, at least ikifika kuanzia millioni moja na kuendelea ndo nazipeleka benki. Sasa je, nikiibiwa atakuwa tayari kuwajibuka?

Amebaki tuu kuuchuna hata kuomba msamaha hataki, anaona alilofanya ni sawa.

Nishaurini wazoefu nimfanyeje huyu mtu? Nafikiria kumwambia atafute chumba apange ili awe huru

Ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni, mtimue huyo tena haraka iwezekanavyo!
 
mwambie mgeni mwisho siku 3 akuache upumue. Next time usibebe misalaba isiyokuhusu
 
Umemkaribisha we vumilia tu. muombe mwenyezi Mungu ili aweze kuacha hii tabia. we kuwa wa huruma hata ukiibiwa au ukipata matatizo yoyote we muombe Mungu tu. tena sa hivi muongeze na chumba kingine.
 
jamani kuna watu hawana heshima kabisa,

mimi ni mwanaume, nina mke na watoto wawili. Pia nafanya kazi sehemu moja na rafiki yangu (pia mwanaume, naye ana familia). Hajahamisha familia yake, kwa hiyo anakaa kwangu. Kwa sasa mke wangu yuko masomoni na watoto ameenda nao. Nimebaki na huyu jamaa, ambaye wakati mwingine mke wake huja kumsalimia na nimewatengea chumba chao.

Nimekerwa na tabia ya huyu jamaa. Analeta wanawake nyumbani kwangu anasema ni marafiki zake tuu. Kuna siku nilienda church yeye akabaki home akamwita msichana amfulie na wakafanya mapenzi nyumbani kwangu na kwenye kitanda changu. Mwanzoni aligoma, lakini baadaye nikamtega kwenye kupiga stori akakiri.

Leo asubuhi tumekuja kazini, mimi nikiwa nimepewa majukumu fulani hapa kazini, jamaa akijua kuwa siwezi kutoka, akaniomba funguo na kusema kasahau kitu fulani. Kumbe mwenzangu ameenda na msichana na baada ya muda akarudi kazini. Nikamwomba anirudishie key akasema ameacha home kuna mtu anamfulia nguo. Nimemwuliza ni nani kagoma kuniambia ni nani.

Namweleza uhalisia wa athari zake ananibishia

moja, huyo mtu ameachiwa funguo, je akienda kuchonga na tukiibiwa in the future itakuwaje?
Pili, amemwambia amfanyie na usafi kwa maana ya kudeki nyumba, je usalama uko wapi?
Privacy ya nyumbani kwangu iko wapi?
Mimi ni kiongozi wa kanisa na wakati mwingine ninakaa na fedha za kanisa. Kwa sababu kanisa lenyewe ni dogo, huwa siendi benki kila wiki, at least ikifika kuanzia millioni moja na kuendelea ndo nazipeleka benki. Sasa je, nikiibiwa atakuwa tayari kuwajibuka?

Amebaki tuu kuuchuna hata kuomba msamaha hataki, anaona alilofanya ni sawa.

Nishaurini wazoefu nimfanyeje huyu mtu? Nafikiria kumwambia atafute chumba apange ili awe huru
kila ukifikiria haya maandiko "njooni kwangu enyi msumbukao na mzigo nami nitawapumzisha" unakwazika mzee wa kanisa chukua hatua mana utapata dhambi na kuikosa pepo hivi hivi.

1.anafanya uzinzi nyumbani kwako
 
Ndg yangu, ndio umeamua kwa dhati kbs kuja kunidharirisha huku? Mbona wewe kipindi hujapata kazi uliishi kwetu na ulikuwa unavusha madem kama upo kwenu? Haya nashkr, ila hata hivyo nilikuwa nimepanga mwisho wa mwezi huu nikajitegemee. Asante sana!

Kwahiyo na wewe umekuja nyumbani kwake kulipiza siyo? Kama alifanya hayo imeisha kuwa ni zamani pengine sasa hivi amebadilika na kuachana na ujinga wa zamani. Una mke lakini bado una akili za kushikiwa, please grow and be responsible.
 
Back
Top Bottom