Nilimfumania lakini anataka nimuoe! Nipeni ushauri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilimfumania lakini anataka nimuoe! Nipeni ushauri.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kampini, Jul 16, 2011.

 1. K

  Kampini Senior Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jf,nilikuwa na demu ambaye nimedumu naye 4 2yrs hadi sasa na nimekuwa nikimjali na yeye akinijali. Huyu binti alivofika 2yr tu chuo nikaona mambo yanabadirika. Kuna muda nilikuwa nikimcall anapokea ile kavu na wakt mwingine mtoto anapokea kimahaba. WanaJF mtoto nikamshukia hapo Dar nikitoka KLM,Kama kawa nikamwita hotelin tukapiga mbonji. Wakati wa shughuli ndo nilipogutuka baada ya kuona kitu inapita bila ubishi kunako ikulu,wanaJF ilivotimu tisa ucku nikachukua simu yake,nikakuta demu anapanga mipango ya kuolewa na njemba. Duh! Niliduwaa nikaiacha ile sms hewan na alivoamka akaiona. Nikawa cul bila kumwambia chochote,akaondoka akaenda chuo. Jioni mtoto akaja tukalala sikumpiga mpini kesho yake nikarudi KLM.Ni miezi sita sasa lakini bado ananiomba nimsamehe ati shetani alimpitia. Naomba mwongozo kwenu wanaJF
   
 2. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Possibly shetani ameshakupitia na wewe.
   
 3. MCHONGANISHI

  MCHONGANISHI JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 363
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  kama yuko chuoni huko mambo ni mengi na vishawishi ni vingi na kuna mambo mengi inabidi ufanye utafiti ujue chanzo ni nini? hata kampani yake inaweza ikawa imemfluence si unajua chuo anapata elimu zote, au pia inawezekana kakutana na mtu ambaye amekuzidi kila idara. Ila kama yuko tayari kutubu na kuacha mambo hayo na wewe u radhi kumsamehe si vibaya kuendelea naye kwa sababu kwanza ile mashine ya dada zetu haina makombo wala haina speed meter useme eti imekanyaga kilometre za kutosha ka vp we rudi tu
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Muowe tu, maana nyote wazinifu.
   
 5. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkono wako ukishika kinyesi utaukata? Keshakuomba radhi bado unataka nini tena? Samehe mara sabini kiongozi!!!!
   
 6. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  oaneni 2, na shetani ataendelea kuongoza nyumba yenu
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  Umemaliza mkuu!
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kwanza,nyie wote ni vicheche,so chukuaneni 2,msamehe mwenzio keisha 2bu mabaya yake bana..
   
 9. K

  Kampini Senior Member

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchonganishi,huyu demu hakuna kitu alokuwa anakikosa,tatizo nikimuona tu nahìsi kama vile jamaa ndo linampiga mpini. Jaribu kukivaa hiki kiatu uone.
   
 10. K

  Kampini Senior Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nao pia ni ushauri X Pastor.
   
 11. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  kula kona ....halua haina kipolo mkuu........

  kwa nini upashe kipolo wakati vya kupikwa vipo?
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  unatumia miwani ya lenzi gani? hivi viandishi wewe unavionaje?
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  ni mtazomo tu, lakini ww umeshawaahidi wasichana wangapi kuwaoa ktk kipindi hichi cha miezi sita toka baada ya tukio? na hizo msg je alikuwa na uhusiano na hiyo njema ama jamaa alikuwa anatangaza tu sera zake?
   
 14. M

  Maega Senior Member

  #14
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hebu fafanua hapo kwenye red unamaanisha nn kabla cjatoa ushauri wangu
   
 15. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Shetani atakuwa amempitia kweli. Mwoe tu, kama mabo mengine yuko fresh. Wewe mbona unagonga wengine, si shetani huyo huyo anakupitia?
   
 16. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,314
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  unaibiwa bro, chukua maamuzi ya kuwa wewe kama wewe.
   
 17. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Huyo ni zaidi ya shetani, mwache aende kwa huyo shetani aliyemtuma. tafuta mwingine.
   
 18. charger

  charger JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mkuu hivo vipimo vya huko..........ulisomea wapi?
   
 19. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapo penye RED + jina lako = msela muhunihuni fulani hivi,asiyejiheshimu,mwenye maneno yaliyokosa nidhamu,mwenye mambo ya kishetanishetani hivi.......so huyo ni shetani mwenzio..............endeleeni na ushetani wenu!
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe ulimfumania na wakati hakuwa mkeo, kama aliweza kuvunja amri na wewe bila kufunga ndoa kwa nini isiwezekane na mwingine? sema ulikuta akiliwa uroda na mwingine. Anaefumaniwa ni mke/mume wa ndoa.
   
Loading...