GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,773
Dah! hebu mshaurini vizuri huenda hajui anachofanya.oaneni 2, na shetani ataendelea kuongoza nyumba yenu
Dah! hebu mshaurini vizuri huenda hajui anachofanya.oaneni 2, na shetani ataendelea kuongoza nyumba yenu
Angalau!Muowe tu, maana nyote wazinifu.
HIYO RED HAPOWana Jf,nilikuwa na demu ambaye nimedumu naye 4 2yrs hadi sasa na nimekuwa nikimjali na yeye akinijali. Huyu binti alivofika 2yr tu chuo nikaona mambo yanabadirika. Kuna muda nilikuwa nikimcall anapokea ile kavu na wakt mwingine mtoto anapokea kimahaba. WanaJF mtoto nikamshukia hapo Dar nikitoka KLM,Kama kawa nikamwita hotelin tukapiga mbonji. Wakati wa shughuli ndo nilipogutuka baada ya kuona kitu inapita bila ubishi kunako ikulu,wanaJF ilivotimu tisa ucku nikachukua simu yake,nikakuta demu anapanga mipango ya kuolewa na njemba. Duh! Niliduwaa nikaiacha ile sms hewan na alivoamka akaiona. Nikawa cul bila kumwambia chochote,akaondoka akaenda chuo. Jioni mtoto akaja tukalala sikumpiga mpini kesho yake nikarudi KLM.Ni miezi sita sasa lakini bado ananiomba nimsamehe ati shetani alimpitia. Naomba mwongozo kwenu wanaJF
Possibly shetani ameshakupitia na wewe.
king'asti,demu alikiri kuwa alipiga gemu naye.ni mtazomo tu, lakini ww umeshawaahidi wasichana wangapi kuwaoa ktk kipindi hichi cha miezi sita toka baada ya tukio? na hizo msg je alikuwa na uhusiano na hiyo njema ama jamaa alikuwa anatangaza tu sera zake?
Pamoja na kuwa kitendo cha kujamiiana nje ya ndoa si sahihi kwenu wote kuna shida zaidi kwa upande wa huyo dada walau kwa info zilizopo sasa (who knows labda nawe unapiga kona). Assuming kwamba wewe u mwema sana...huyo dada hakufai kabisa. 1. Si mkweli ktk mahusiano yenu yaani muongo kitu ambacho ni hatari ktk mahusiano kuliko maelezo. 2. She think yo are a are fool another bad thing in building a respectable relationship. 3. Kwa taarifa tu ni kwamba hajajutia kitendo cha cha kuanzisha mahusiano mengine hata ulipogundua siri hiyo. 4. Alitarijiwa kutubu hata kabla hujamgundua walau hapo ingeonekana amejutia kitendo chake5. Kinachoendelea ni kwamba huko alikodhani ndiko kumekuwa siko sasa anaona ni bora akung'ang'anie wewe kwa kigezo cha kuwa pamoja kwa muda mrefu na si upendo. 6. I suspect yuko despate tu...kuna issue za umri na status ndio zinamdrive kurudi kwako na si upendo tena wala kujutia tabia yake.Wana Jf,nilikuwa na demu ambaye nimedumu naye 4 2yrs hadi sasa na nimekuwa nikimjali na yeye akinijali. Huyu binti alivofika 2yr tu chuo nikaona mambo yanabadirika. Kuna muda nilikuwa nikimcall anapokea ile kavu na wakt mwingine mtoto anapokea kimahaba. WanaJF mtoto nikamshukia hapo Dar nikitoka KLM,Kama kawa nikamwita hotelin tukapiga mbonji. Wakati wa shughuli ndo nilipogutuka baada ya kuona kitu inapita bila ubishi kunako ikulu,wanaJF ilivotimu tisa ucku nikachukua simu yake,nikakuta demu anapanga mipango ya kuolewa na njemba. Duh! Niliduwaa nikaiacha ile sms hewan na alivoamka akaiona. Nikawa cul bila kumwambia chochote,akaondoka akaenda chuo. Jioni mtoto akaja tukalala sikumpiga mpini kesho yake nikarudi KLM.Ni miezi sita sasa lakini bado ananiomba nimsamehe ati shetani alimpitia. Naomba mwongozo kwenu wanaJF
mkuu nadhani wewe ndo umekuwa na ushauri wenye mashiko. I accept yr advice 100% na from now simu zake sitapokea wala kujibu sms na namba yake pia naifuta. WanaJF nimeamini kunguru hafugiki.Pamoja na kuwa kitendo cha kujamiiana nje ya ndoa si sahihi kwenu wote kuna shida zaidi kwa upande wa huyo dada walau kwa info zilizopo sasa (who knows labda nawe unapiga kona). Assuming kwamba wewe u mwema sana...huyo dada hakufai kabisa. 1. Si mkweli ktk mahusiano yenu yaani muongo kitu ambacho ni hatari ktk mahusiano kuliko maelezo. 2. She think yo are a are fool another bad thing in building a respectable relationship. 3. Kwa taarifa tu ni kwamba hajajutia kitendo cha cha kuanzisha mahusiano mengine hata ulipogundua siri hiyo. 4. Alitarijiwa kutubu hata kabla hujamgundua walau hapo ingeonekana amejutia kitendo chake5. Kinachoendelea ni kwamba huko alikodhani ndiko kumekuwa siko sasa anaona ni bora akung'ang'anie wewe kwa kigezo cha kuwa pamoja kwa muda mrefu na si upendo. 6. I suspect yuko despate tu...kuna issue za umri na status ndio zinamdrive kurudi kwako na si upendo tena wala kujutia tabia yake.