Nilimfumania lakini anataka nimuoe! Nipeni ushauri.

Mkuu, achana nae mabinti ni wajinga na hawana shukrani kabisa, same to me kuna demu namgharamia yupo Chuo nimemnunulia kitu ikiwemo laptop kali, simu na huwa namfanyia Shopping pamoja na Pocket Money huwa nampa lakini within two months amechange ile mbaya simu kaweka password kiburi kisicho na ugomvi usio na reason nilichofanya ni kunyamaza kimya kila analofanya namuangalia tu mpaka atachoka mwenyewe na kusepa na nimeshaanza kuterminate baadhi ya huduma......tupa kule chukua ngoma nyingine kama tayari ameshatembea na jamaa mwingine yeye ni wa nini?
Mkuu hata mie nilikuwa namlipia hadi ada ya hapo chuo percent fulani coz nilijua ni mke mtarajiwa. Huyu nimemmwaga mwaaaa!!
 
Hasira hasara!! Angali huko uendako usije kosa kabisa amani.
Umri nao unamatatizo sana, kama mtu ukiingia kwenye mahusiano na wasichana wadogo wadogo, tegemea kulia siku moja! wanabadilika anytime na hawana guarantee. Hivyo hivyo to boys.
Cha msingi ni kuwa na makini na mahusiano tunayoanzisha toka mwanzo. We must keep something for ourselves when we fall in love.
 
Mkuu, achana nae mabinti ni wajinga na hawana shukrani kabisa, same to me kuna demu namgharamia yupo Chuo nimemnunulia kitu ikiwemo laptop kali, simu na huwa namfanyia Shopping pamoja na Pocket Money huwa nampa lakini within two months amechange ile mbaya simu kaweka password kiburi kisicho na ugomvi usio na reason nilichofanya ni kunyamaza kimya kila analofanya namuangalia tu mpaka atachoka mwenyewe na kusepa na nimeshaanza kuterminate baadhi ya huduma......tupa kule chukua ngoma nyingine kama tayari ameshatembea na jamaa mwingine yeye ni wa nini?
dah!pole kwa kuhonga thn ukapigwa chini mkuu!
 
Kama una hela nyingi jenga ghorofa mpelekee mama mavitenge ya nguvu, mke atajileta mwenyewe tu. ILA MKE HASOMESHWI UTAJINYONGA
 
Huyo ujue hauko peke yako. Anaangalia wewe ukizingua basi mwingine atamuoa. Hapo hunachako wewe shika njia yako omba Mungu akupe mke sahihi na sio kuoa huku ukiwa na manunguniko ya kupigiwa huko mbeleni mwa safari.
 
Back
Top Bottom