Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

Hhahahha mkuu bado ana uchungu na dog style aliopigwa mkewe

Ndio maana nawaambiaga mtu unapopata mpnz au mke,,,,piga sana Mzigo sababu ili akizingua mbele ya Safari hutakuja kuomba ushauri kwa mambo km haya
 
Inaitwa POPOMA Na Kwa Kuielezea Ni Kuwa Unataka Kututambia Kuwa Umemfumania Aliyekuwa ANAKUKANYAGIA Demu Wako Na Nijuavyo Kama Ungekuwa NGANGARI Kamwe Usingechapiwa ILA Mimi Nimefurahi Tu Ulivyochapiwa. Je Una Jingine?

Sasa unaniambia Mimi au mleta mada teh teh teh
 
Shoga mtu ndio alichokuwa anakitaka, akuharibie ndoa yako aingie yeye na kafanikiwa.. Hamna ht mmoja wa maana hapo, mara mbili umrudie mkeo. Hiv ingekuwa unamfumania mtu mara moja na kuachwa hv kungekuwa na ndoa zinazodumu miaka na miaka, ni kwasbbu hayo mambo yapo lakn watu husameheana na maisha huendelea.. Kosa moja halimfukuz mke.! Je wew mwenyew ulipokuwa masomon huko hukuwah kuchepuka ht mara moja? hamna aliekamili hvyo kusameheana ni jambo la heri, achana na shankupe huyo, aliemuachisha mwenzie. we unajuaje km huyo ulienae ndio sahihi! hatakaa akusaliti? Piga moyo konde mrudie mkeo km kujuta atakuwa kajuta sn na hatakaa arudie maisha yake yote kwa show uliomuonyesha ulipomfumania.. Mrudie!!
Aisee ushauri huu ni mzuri sana,fuata ushauri huu kaka,Mungu akusaidie katika hili.Pole.
 
Mkuu maandiko matakatifu yanakuruhusu kufanya chochote!

Kusamehe! - imeandikwa Mathayo 18:21-22 "Kisha petero akamwendea akamwambia Bwana ndugu yangu anikosee mara ngapi nami ni msamehe? hata mara saba? Yesu akamwambia sikwambii mara saba bali hata saba mara sabini.

Kumuacha! - Mathayo 19.8 -
[SUP]8[/SUP]Yesu akawajibu, "Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. [SUP]9[/SUP]
Lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Basi nawaambieni, yeyote atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, akaoa mke mwingine, anazini."
 
Dah,we ni mtu mbaya sana asee,yani kweli ukawapa vibaka wamuoe mwanaume mwenzio loooh,hii dhambi utaibeba mda mrefu tu
Halafu alitokomea kusikojulikana pengine labda alienda kujiua jamani,kutokana na alivyofanyiwa na hao wavuta bangi.
 
Ama mrudishe mkeo au oa mwingine lakini si huyo aliyekupa taarifa za mkeo.

Uungwana aliomfanyia ana stahili ndoa kabisa huyo yaonyesha anampenda kwa dhat kabisa na hawezi mtenda sababu aliona kwa mwenzie.
AMUOE TUUU
 
Maoni yangu yako hivi mkuu sote wanadamu ni wakosaji pia kumbuka madhaifu ya miili yetu cha msingi ni kumsamehe na kurudia,ametambua losa na kuomba msamaha. Wanadamu ni wakosaji ila wanasamehewa makosa yao,msamehe amekuwa na utambuzi wa hatia

Hafai kuludiwa huyoo zarau mbaya kabisa kudinywa ni kosa la kuachwa yeye kaleta ndani kabisaaa amekosa haya huyu hafai huluma hata kidogo
 
watu kweli tuko tofauti, yaani nishuhudie kwa macho yangu waifu akitiwa halafu nimrudie tena, niwe na mapenzi naye tena aaaaah big NOOOOO!!

Tena ndani mwako na kitanda chako asee tuko tofaut
 
Jf inazidi kupoteza umaarufu kwa hadithi (fiction) kama hizi zisizokuwa na kichwa wala miguu.
Baadhi ya wana Jf eti wako busy kutoa ushauri kwa huyu jambazi! Nonsense!
 
swali la kwamza kwako, je unahakika kuwa WEWE kipindi chote cha mwaka mzima ulipokuwa masomoni hukuzini? hukukutana na mwanamke amabaye si mkeo kwa nanmna yoyote?au wewe kwa vile hukufumaniwa si uzinzi? be honest to yourself,

Mungu aonaye hata yaliyositirika mwachie a hukumu maana yeye ndiye anayejua utakatifu wako mbele ya huyo unayemwita mziNzi,kwani na shosti yake huyo mkeo hamzini naye sasa kwani ni mkeo?mbona ni yaleyale? UPENDO WA KWELI HUSAMEHE YOTE BILA MASHARTI MAANA HATA WEWE SI MKAMILIFU.....
 
Sijui Nikupe pole Au niseme kumbe stahili yakukute, kumchukua rafiki Yake kunakupa Raha gani wewe? Au kuna tofauti gani baina Ya mkeo na wewe makosa yenu? Kama Uliamuaa kumuacha mkeo ungemuacha na ukasonga Mbele huyu fisadi alokuja kukwambia ana mapenzi gani na wewe zaidi Ya roho mbaya na choyo?

Haya Kesha kupata kueshakuonjaa na wewe loneliness ndio inakufanya usijue kupambanua, tuliza akili yako fikiri yeye Sasaivi anaficha makucha Yake mueke ndani ndio utamjua mchuchu wako alokufundisha maji usiite mma...

Inamwita fisadi kwakua kamwambia huyu ndo muungwana sasa aliejitolea kwa kumhulumia jamaa yani ndani kwa mumewe?
 
Back
Top Bottom