Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

Nimejiskia vibaya kweli as if namfaham nimemuonea huruma sana..mwenyewe anajiona alimuweza kweli
Mimi pia nimemuhurumia sana,sawa alikosea lakini hakustahili kufanyiwa vile jamani,,sijuwi yuko wapi masikini,au ndo ilikuwa mwisho wa maisha yake kwa kujitoa uhai.Aisee Mungu tusaidie.
 
Wakuu habari zenu,

Miaka 2 iliyopita nilishika mke wangu na jamaa moja hivi Nilikua nimekwenda kozi ya mwaka mmoja nje ya nchi nilipelekwa na kampuni.Nikiwa huko wife alianzisha uhusiano usiofaa na staff mwenzie kazini kwao. Taarifa hizi nilizipata toka kwa Rafiki wa karibu wa mke wangu yaani shosti walieshibana na walikua kama ndugu.Nilisubiri nimalize kozi ili nirudi kulishgulikia tatizo hilo maana nilibakiza miezi miwili nimalize kozi ambayo nikimaliza napandishwa cheo.

Baada ya kozi nilirudi Tanzania kimya kimya bila kumwambia wife na kufikia gesti, nikampigia simu Rafiki wa wife akaja akanipa mkanda mzima tukakubaliana mpango wa kumnasa siku nne mbele Rafiki mtu akanipigia simu kwamba leo mgoni anakuja kulala kwako ukikamilisha fumanizi usinitaje.Mchana nikaandaa vijana 4 wavuta bangi walioshiba, nikawaambia kuna 50,000 kwa kila mmoja.

Kwangu nimepanga nyumba nzima yenye Geti, usiku wa saa tatu tulikua tumejificha pale mtaani karibu na nyumbani saa nne jamaa akaja hakupiga honi Geti lilifunguliwa tu jamaa akaingia ndani, taa zilipozimwa tu tukaruka ukuta tukanyata hadi nyuma ya nyumba upande wa master bedroom, kulikua na miguno ya kimahaba.

Tukarudi mlango wa jikoni wale wavuta bangi wakapuliza dawa kwenye makufuli mawili la chini na juu wakaingiza vitu kama spoku kufuli zikaachia, tukafungua grill kwa umakini ilijitokeza kelele kwa mbaali, wakapiga mlango wa mbao jeki ya Gari hadi mwisho mpaka ukafunguka ilijitokeza kelele kidogo ila hawakushtukia.

Tukaenda hadi mlango wa chumbani ambao najua wife huwa hana habari nao mm ndo huwa nafunga huo mlango.Tulipousukuma ukafunguka walikua kwenye doggie style wakashtuka mlango kufunguliwa nikawasha taa haraka nikamwamuru jamaa asichimoe nyeti nikapiga picha kwa simu nyingi tu mke wangu akachukua mashuka kujisitiri.

Wakampiga na ubapa wa mapanga yao akaanza kulia kama mtoto na kuomba msamaha hatarudia tena nami nikamwambia chagua moja kati ya matatu tukuoe, tukuue, au tukukate nyeti zako msamaha haupo.Wakampiga kipigo kitakatifu, mmoja wao akavuta nyeti za mgoni akatishia kama vile anazikata na kisu jamaa alipiga kelele nioeni msinikate nyeti wakamuoa nikachukua picha kibao tu, sikutaka kuita mashahidi wala mjumbe, tukamruhusu jamaa aondoke.

Alikimbia akaacha Gari kwangu, mkewe ndo alilifuata baada ya wiki na hiyo baada ya kutafuta sana details kazini kwao na jamaa hakurudi nyumbani wala kazini hadi Leo ni miaka miwili hajulikani alipo.Wife usiku ule baada ya wavuta bangi kuondoka nilimshushia kipigo cha mbwa Mwizi na kumfungia stoo kesho yake asubuhi nilipomkisha kwao waliniuliza huyo ni nani amekua hivyo?

Nilipoondoka nasikia mama yake alitaka kwenda polisi lakini binti alikataa kata kata.Ikawa ndo mwisho wetu sasa ni miaka miwili imepita, nimeshapona makovu yote, sina tatizo kabisa rohoni nilimsamehe nikaendelea na hamsini zangu.Nikiri tu kwamba mm na yule Rafiki Wa wife somehow somewhere tukajikuta tumekua wapenzi kutokana na faraja aliyonipa katika matatizo yangu.Uhusiano wetu una mwaka na nusu, tumepanga kufunga ndoa pindi taratibu za talaka zinazoendelea mahakamani zikikamilika.

Kilichonileta kwenu kuomba ushauri ni hili kwa karibu miaka miwili sasa mrs amekua akinililia nimrudie, amekuja uso kwa uso mara nyingi tu, ametuma ndugu marafiki na jamaa zetu. Valentine alinunua lundo la zawadi ikiwemo nguo, kadi na vitu mbali mbali na kuniletea kazini na kisha kuniomba msamaha.Kwamba hatarudia tena, kwamba alidanganyika kwa sababu ya umbali tuliokua nap akadai yupo tayari kuacha kazi awe mama Wa nyumbani kama Nina hofu na kazini kwake Ingawa mgoni hakuonekana tena.

Pia ameendelea kushiriki shughuli za nyumbani kwetu kama misiba na harusi, pia likizo ya mwaka Jana December alisafiri kwenda kijijini kwetu kuomba msamaha kwa mama yangu na kuwaangukia wazee na alikaa huko likizo nzima
Mama amenisihi nimsamehe kwa upande wangu nipo njia panda maana huyu mwanamke nilie nae mapenzi yamekolea sana na kwa kweli hana tabia mbaya.

Ingawa kwetu hawamtaki kabisa wanamtaka mzinzi na mzinzi amewalisha sumu kwetu kuhusu huyu mwanamke wangu mpya. Hata hivyo nilimchukua rafiki wa wife kulipa kisasi ili aumie kama yeye alivyoniumiza lakini muda ulivyozidi kwenda nikanikuta namzoea na kumpenda pia.

Naombeni mawazo yenu

oyaaaaaaaaaaaaa!!!!! rudia mke wako tena uombe radhi na msamaha kama yeye. MAANA na wewe ni msharati na mzinzi wa wazi wazi!!! niambie tofauti yake na wewe!!!
 
Hamna kitu hapo kupiga sio solution ila inaonyesha uwezo wako wa kufikiri ulivyo mdogo kama punje ya haradani
 
Umwage shahawa kwenye **** ya mke wangu halaf nije nitume mtoto akachungulie kwanza!!!! Mna wazimu
Adhabu aliyopewa ndio stahiki

Tuache utani mkuu,
Wewe hujawai kuchepuka?
Hivi vitu viangalie tu sema wanandoa waheshimiane tu na sio kuonyeshana wazi wazi kuwa unakula mzigo nje maana wanandoa kwa asilimia tisini wanachepuka.
 
Enzi za zamani, Mzee mwenyemji akitoka safari anafikia kwa jirani, halafu anawaambia watoto watangulize mizigo nyumbani.Ili kama bibi kaingiza mtu amtoe kabla ya Mzee kufika. Ndio maana ndoa za zamani zilidumu kwa sababu waliishi kwa hekima.

Hiyo ilikuwa zamani watu walithamini Famili nahiyo ckwa Mzee mwenye mji tu hata huyo Mwanamke alikuwa anajua thamani ya NDOA lkn cku hzi watu tunaishi kwenye NDOA kwa kuwindana unadhani hutagundua Kosa?
 
Tuache utani mkuu,
Wewe hujawai kuchepuka?
Hivi vitu viangalie tu sema wanandoa waheshimiane tu na sio kuonyeshana wazi wazi kuwa unakula mzigo nje maana wanandoa kwa asilimia tisini wanachepuka.

Sasa siku hizi ukishikwa adhabu ndo hizo
So nikichepuka natafuta mtoto mbichi asiekua na Mme
Wanawake walivyowengi hivi kwa nn tuchukue wake za watu tuwalete wengine maumivu makubwa ya moyo?
 
Sasa siku hizi ukishikwa adhabu ndo hizo
So nikichepuka natafuta mtoto mbichi asiekua na Mme
Wanawake walivyowengi hivi kwa nn tuchukue wake za watu tuwalete wengine maumivu makubwa ya moyo?
Penzi laweza angukia popote,usicheze na kupenda.
 
Sasa siku hizi ukishikwa adhabu ndo hizo
So nikichepuka natafuta mtoto mbichi asiekua na Mme
Wanawake walivyowengi hivi kwa nn tuchukue wake za watu tuwalete wengine maumivu makubwa ya moyo?

Mkuu heshima yako tu ila ningetoa neno zito hapa...
Ukitafuta mbichi unategemea wife akae akuangalie tu au???
We ukitafuta hao wabichi yeye anatafutwa na age inayojua mapenzi ni nini na sio huo umri wa kudanganyika unao usemea wewe...kula pole pole na kimyakimya ila ujue unavyokula na wife analiwa hivo hivo...
hehehehew
 
Mwanaume Hakumbaka mkeo ila alikuwa anakaribishwa na kupewa penzi kwa hiyari, kitendo ulichokifanya kimekusaidiaje mkuu?
 
Mkuu heshima yako tu ila ningetoa neno zito hapa...
Ukitafuta mbichi unategemea wife akae akuangalie tu au???
We ukitafuta hao wabichi yeye anatafutwa na age inayojua mapenzi ni nini na sio huo umri wa kudanganyika unao usemea wewe...kula pole pole na kimyakimya ila ujue unavyokula na wife analiwa hivo hivo...
hehehehew

Naona hatuelewani
Nachokisema mm ni kwamba mke Wa mtu sumu
Madhara yanajulikana kwa nn uende pale pale?

Sijaelewa unachokisimamia
Unatetea huyo mgoni au?
Una maana gani?
Ndio maana nikasema kama mwanaume umelazimika kuchepuka usiende kwa wake za watu adhabu yake siku hizi wote tunaijua
Sijui tupo pamoja mama yangu?
Huenda tunagongana lugha
 
Naona hatuelewani
Nachokisema mm ni kwamba mke Wa mtu sumu
Madhara yanajulikana kwa nn uende pale pale?

Sijaelewa unachokisimamia
Unatetea huyo mgoni au?
Una maana gani?
Ndio maana nikasema kama mwanaume umelazimika kuchepuka usiende kwa wake za watu adhabu yake siku hizi wote tunaijua
Sijui tupo pamoja mama yangu?
Huenda tunagongana lugha

Usikonde mkuu! nishaa kusoma sema najiskia vibaya kweli kuona
nachepuka
 
hahahahahaahahaaaaa.... ndoa ni ya watu wawili tuuuu....
huyo aliekupa taarifa ndie aliemkuwadia mkeo, akahakikisha kalikoroga vema, lilipotokota kakutonya,,, mkeo nae machokomchuzi,,, kafanyia uzinzi kwenye kitanda chenu.......hakuna hata mmoja anaefaa mkuu.... songa mbele....mlibahatika kuzaa?....tunza wanao kama jibu ni ndio...
 
Ndo maana huyo jamaa kafanyiwa yote hayo ila angetulia yasingemkuta.
Ila nimekupata poa.
samahani kwa usumbuf uliojitokeza.

Uzinzi unatusumbua sana kwa kweli hasa sisi wanaume
Tunatafuta dawa ya kuuacha bila mafanikio
Anyway its ok
 
msamehe mkeo things happen in marriages..sio wote wanaosema ba sio watu wote ambao wako na wapenzi au wake zao huwa awapati matatizo tena usikute ata zaidi yako..sema watu wanasamehe na maisha yanaendelea..nakushauri umsamehe na yeye mwenyewe kashasema kua ni sababu ya umbali..na waswahili wanasema "fimbo ya mbali haiui nyoka".... kaka msamehe mkeo..pia wasikilize wazazi wako wanachosema ili upate baraka kaka
 
oyaaaaaaaaaaaaa!!!!! rudia mke wako tena uombe radhi na msamaha kama yeye. MAANA na wewe ni msharati na mzinzi wa wazi wazi!!! niambie tofauti yake na wewe!!!
we nae ka senge... kulikua na haja gani ya kuquote habar nzima
 
Back
Top Bottom