Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

watu kweli tuko tofauti, yaani nishuhudie kwa macho yangu waifu akitiwa halafu nimrudie tena, niwe na mapenzi naye tena aaaaah big NOOOOO!!

Ndo hivyo mkuu,na ukiona mpaka mtu amehadithia yoooote hayo,ujue ye mwenyee yuo njia panda... na kama unavyojua ,mambo ya mapenzi huwa hayaingiliwi... ye mwenyewe apime hisia zaketu basi,ila uhusiano alionao kwsa sasa haumfai...
 
Kutokana na Maelezo yako hayo ya mwisho inaonekana bado unampenda Mke wako kilicho kukera nihiyo kukusaliti,,,,,haiwezekani mmepoteana miaka miwili Leo unafikiria kumsamehe au kutomsamehe,,,,kwanza nikuulize umezaa nae? Ninachojua Mimi mapenz hayanaga mshauri muhusika mwenyewe ndio anaamua cz ww ndo unajua utam na uchungu ulioupata
 
Wakuu habari zenu
Miaka 2 iliyopita nilishika mke wangu na jamaa moja hivi
Nilikua nimekwenda kozi ya mwaka mmoja nje ya nchi nilipelekwa na kampuni

Nikiwa huko wife alianzisha uhusiano usiofaa na staff mwenzie kazini kwao
Taarifa hizi nilizipata toka kwa Rafiki Wa karibu Wa mke wangu yaani shosti walieshibana na walikua kama ndugu

Nilisubiri nimalize kozi ili nirudi kulishgulikia tatizo hilo maana nilibakiza miezi miwili nimalize kozi ambayo nikimaliza napandishwa cheo

Baada ya kozi nilirudi Tanzania kimya kimya bila kumwambia wife na kufikia gesti, nikampigia simu Rafiki Wa wife akaja akanipa mkanda mzima tukakubaliana mpango Wa kumnasa
Siku nne mbele Rafiki mtu akanipigia simu kwamba Leo mgoni anakuja kulala kwako
Ukikamilisha fumanizi usinitaje

Mchana nikaandaa vijana 4 wavuta bangi walioshiba, nikawaambia kuna 50,000 kwa kila mmoja

Kwangu nimepanga nyumba nzima yenye Geti, usiku Wa SAA tatu tulikua tumejificha pale Mtaani karibu na nyumbaniHADITHI TAMU SA
 
Mimi nasoma ushauri tu hapa wa hawa wataalamu wa mivurugano vizunguzungu na mitetemeko
 
Hizi ndoa miaka hii ni majanga sana utafikili watu wanalazimishwa kuoana vile,kwnn usaliti unakuwa mkubwa hivi?
 
Achana na huyo ibilisi mkuu
Akirudi sasa anakuja kukuua
Ila heko kwa ujasiri
Swali la kizushi; vp haukushiriki na wewe kula mambo yetu yale maana yahitaji moyo
 
ushapigiwa ataendelea kumegwa achana nae kabsa huyo demu
Naye mbona anammega shoga wa mkewe kwani hawezi fumaniwa naye na huyo mke wa lijamaa wakamSodomaize
tuseme tu hii habari ya Shigongo ni nzito kwa umri wetu kwani huyo mkewe hana tu uwezo wa revenge
Dhambi ni dhambi tu, kila mpigaji atapigiwa na kupigwa
 
nilichogundua ni kwamba ulifanya yote hayo sio kumkomesha mkeo kwa alichofanya ila ulifanya kwa.sabu ya wivu na upendo ulionao.kwa mkeo jus go back to her msamehe na urudiane nae muendelee na maisha huyo mpya huyoooo eheeee atakuja kukuliza coz tangu anaanza kukupa details za mkeo na huyo mgon wako alikua anakunyatia ili aisambaratishe ndoa yako na akae yeye ukae ukijua mapenzi ya.mbali ni mtihani mgumu kufaulu!!!
 
Vipi we ndo wale mliemla kiboga yule jamaa alitokea magazetini???
 
Anza kwa mumsamehe. kumuita mzinzi sio njia Nzuri ya kuuendea msamaha. hata kama hutamrudia Basi yatosha kumsamehe. ndoa zina mengi. Unatakiwa kuwa chanya Muda wote.
 
Mkuu brian brian, ushauri wangu kwako ni mmjoja tu USIRUDIANE NAE.
mwanamke ni kiumbe wa ajabu binafsi naongea kutokana na yalionitokea niliumizwa na mtu niliyempenda kwa dhati pamoja na kuwa alikuwa akikosea nilikuwa nikimsamehe kumbe mwenzangu alikuwa aniona zoba,

mwisho wa siku aliniumiza kinyama nikajikuta najuta sana kwanini nilikuwa nikimsamehe, hivo sipendi ufike nilipofika au niliyopitia kwa ufupi tu MWANAMKE HAPASWI KUAMINIWA WALA KUSAMEHEWA.

Take it from me ukimsamehe atakudharau japo hatoionesha na kumbuka jasiri aachi hasiri kama tatizo lilikuwa umbali basi ipo siku tena utakuwa mbali akusaliti tena, muhimu mpotezee huyo, hafai huyo
 
naona mkeo anajiandaa kukuua na kuharibu ushahidi wa siku ulipomfumania na kisha watarudiana na mpenzi wake hata kabla maiti yako haijaoza humo kaburini.....
 
Kutokana na Maelezo yako hayo ya mwisho inaonekana bado unampenda Mke wako kilicho kukera nihiyo kukusaliti,,,,,haiwezekani mmepoteana miaka miwili Leo unafikiria kumsamehe au kutomsamehe,,,,kwanza nikuulize umezaa nae? Ninachojua Mimi mapenz hayanaga mshauri muhusika mwenyewe ndio anaamua cz ww ndo unajua utam na uchungu ulioupata

Hhahahha mkuu bado ana uchungu na dog style aliopigwa mkewe
 
Nkoko ali yalala hanze ................ ikwale
 
Sijui Nikupe pole Au niseme kumbe stahili yakukute, kumchukua rafiki Yake kunakupa Raha gani wewe? Au kuna tofauti gani baina Ya mkeo na wewe makosa yenu? Kama Uliamuaa kumuacha mkeo ungemuacha na ukasonga Mbele huyu fisadi alokuja kukwambia ana mapenzi gani na wewe zaidi Ya roho mbaya na choyo?

Haya Kesha kupata kueshakuonjaa na wewe loneliness ndio inakufanya usijue kupambanua, tuliza akili yako fikiri yeye Sasaivi anaficha makucha Yake mueke ndani ndio utamjua mchuchu wako alokufundisha maji usiite mma...
 
Back
Top Bottom