Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

Mrudishe mkeo. Kama ni adhabu ulimpa vya kutosha, kama ni mgoni ulisha muua tayari. Maisha yake yoote hatakaa awe sawa kisaikolojia. Vyote hivyo vimeletwa na mmbeya flani hivi aliyekuwa anakumezea mate siku nyingi.

Mrudishe mkeo. Weye nawe si unazini juu ya kile kile kitanda alichoolewea mume mwenzio? This is shame. Ka ni miye, namwita mke wangu wa ndoa home, akiingia tu nakipasua hicho kitanda, napikia ugali hizo kuni, tunaanza upya na mke wangu. Ya kale kwisha, na mchepuo kwenyuuuu. Life goes on
 
Utafanyaje pale utakapogundua kumbe shoga ndo alikuwa kuwadi wa mkeo?????
 
1. Hiyo adhabu uliyompa mgoni wako imekusaidia nini?

2. Zile picha ulizowafotoa zipo wapi?

3. Huyo chaunabe aliekupa umbea nae akifumaniwa na mkeo afanywe nini? (Maana wewe ni mume bado kwa mujibu wa maelezo yako hamjavunja ndoa rasmi)

4. Mkeo ni Mzinzi, na wewe tukuiteje?


brian brian
 
Last edited by a moderator:
Basi tukubali tu tuko tofauti

Hii story ya kutunga tu....

1. Haionyeshi mazingira ya mtu mwingine kuishi ndani ya nyumba.
2. Ndani ya dakika chache tayari dog style...kama hakuna mtu na mume yuko ulaya...kusingekuwa na 'cha haraka'
3. Mlango wa mbao utaupigaje jeki ya gari,ungesema grill ndo ilipigwa jeki nitakubali.
4. Jamaa kakimbia asijulikane alipo lakini gari yake ikutwe kwako na bado usiwe na kesi ya kujibu polisi? Yaani familia yake walivyopata gari yakaishia hapo?

Mpaka hapo sijashawishika na mkasa wenyewe.
 
Dah,we ni mtu mbaya sana asee,yani kweli ukawapa vibaka wamuoe mwanaume mwenzio loooh,hii dhambi utaibeba mda mrefu tu

Wakati na yeye huyo huyo anachepuka sema tu mungu yupo upande wake hajafumaniwa tu ila ukoua kwa upando na wewe hivyo hivyo upanga utakumaliza.
 
Na hao wanawake wasiojiheshimu hawastahili kabisa katika jamii.
Hakuna watu wanaotunziana siri kama wanaume, Anaweza akaona na kuchora mchezo mzima ila hutokaa ukaiskia hiyo ila wanawake sasa duh...
huyo best wa mkeo alitakiwa kumuita mwenzake na kumuonya na kumkanya hizo tabia na sio kumchongea kwako ili mkeo atoke yeye aje aingie na kukuteka wewe kihisia..
Kama mwanamke kweli angetafuta mwanaume wa kwake kwake sio kuvizia vya wenzake.
Ni best wa mkeo inamaana somehow umri wao unaenda na hana hata mme au hata tu mtu wake! sio bure anamapungufu..
Kaka cheza nae makini..
 
Me ndo nahisi we ndo umetokomea hujulikani ulipo
 
Hongera kwa utunzi!
Jihadhari jamaa uliyemuozesha lazima atakuwa anakuwinda akuozeshe na wewe tena bila mahari.
 
Oa kitu kipya..utamsamehe wakati moyo wako Una walakini
 
Rafiki wa mke wako unayetaka kumuoa si mwema kama unavyodhania, bali alicheza karata zake vizuri kwa lengo maalum ambalo kafanikiwa.
Kosa na mkeo ni kuchepukia ndani kwenu kwenye kitanda chenu.

Kosa lako wewe ni kumdhalilisha mwanamme mwenzio ilhali yeye sio wa kwanza kuchepuka na wake za watu.
Kosa la mgoni wako ni kushawishika kuchepukia kwenye kitanda cha hawara yake mwenye mume kwa kujipa matumaini ya kutokamatwa.

Ulivyojieleza inaonekana mkeo amejutia dhambi yake na kukuangukia kuomba msamaha. Kama una roho ya kibinadamu, msahame maisha yasonge. Huyu rafiki wa mkeo ametumia njia ambazo

si halali kukupata wewe.
Muombe pia mwenyeze mungu akupe muongozo na maamuzi sahihi kwa hili swala maana si dogo unavyodhania. Kila la kheri....
 
Wakati na yeye huyo huyo anachepuka sema tu mungu yupo upande wake hajafumaniwa tu ila ukoua kwa upando na wewe hivyo hivyo upanga utakumaliza.

Alafu anachepuka na rafiki wa mkewe,why hakuwaambia wamuoe na huyo mkewe kwani c walifumaniwa wote
 
Wakati na yeye huyo huyo anachepuka sema tu mungu yupo upande wake hajafumaniwa tu ila ukoua kwa upando na wewe hivyo hivyo upanga utakumaliza.

Na akati wamewafumania wote,why amfanyie mwanaume ivo asee,mbona yeye anachepuka na huyo rafiki wa mkewe
 
Halafu alitokomea kusikojulikana pengine labda alienda kujiua jamani,kutokana na alivyofanyiwa na hao wavuta bangi.

Nimejiskia vibaya kweli as if namfaham nimemuonea huruma sana..mwenyewe anajiona alimuweza kweli
 
Kama unataka ku "move on",ni vyema ukawasahau wote wawili; yaani mkeo uliyemfumania, pamoja na huyo rafiki ya mkeo ambaye sasa ni msiri wako.

Baada ya hapo anza maisha mapya ya mahusiano, kama moyo wa kupenda utakuwa bado unao na mlimbwende mwingine.
 
brian brian

Enzi za zamani, Mzee mwenyemji akitoka safari anafikia kwa jirani, halafu anawaambia watoto watangulize mizigo nyumbani.Ili kama bibi kaingiza mtu amtoe kabla ya Mzee kufika. Ndio maana ndoa za zamani zilidumu kwa sababu waliishi kwa hekima.
 
Last edited by a moderator:
Enzi za zamani, Mzee mwenyemji akitoka safari anafikia kwa jirani, halafu anawaambia watoto watangulize mizigo nyumbani.Ili kama bibi kaingiza mtu amtoe kabla ya Mzee kufika. Ndio maana ndoa za zamani zilidumu kwa sababu waliishi kwa hekima.

Umwage shahawa kwenye **** ya mke wangu halaf nije nitume mtoto akachungulie kwanza!!!! Mna wazimu
Adhabu aliyopewa ndio stahiki
 
Back
Top Bottom