NILILAZIMIKA kumchukia msichana MMU pamoja na uvumilivu wangu wote,goodbye 2013 nitamsamehe 2014

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,536
2,000
mwaka unaenda vile,ulikuwa wa furaha sana kwangu hapa mmu, comments nyingi za vichekesho zilinifanya niwe na furaha zaidi kwa muda mwingi, thanks to all, lakini kuna wakati wapo tuliotofautina na yaliisha pia,kuna avatar nilizipenda na zingine sikuzifurahia lakini haina neno sana,kuna watu niliwapenda kwa michango yao japo sitapenda kumtaja mtu hapa. ila nasema shukrauni nyote.
kitu kilichonikwaza hapa ni pale nilipoona kuna mdada aliyeonekana kuwa very negative kwangu pamoja na kwangu nilimpenda, nilijaribu kwa kiasi kikubwa kumaintain politeness yangu lakini ilifikia muda nikashindwa na nikamchukia pia, nililazimishwa kumchukia kwa comment zake negative kila mahala kwangu na si topiki.
sitamtaja pia lakini napenda kushauri kuwa tusiwe na chuki dhidi ya mtu na kama humpendi mtu basi ni bora usichangie kwenye thread zake maana hata ukinikoti muda wote unaniponda sitafurahia na nitalazimika kukujibu vibaya pia japo nakuwa nimelazimika sana
 
Queen Horse

JF-Expert Member
Sep 12, 2013
400
500
ukishajua kwamba huwezi kupendwa wala kuchukiwa na watu wote wala huwezi kupata shida..........

Ni kweli ishi na watu kuendana na mazingira kila mtu ana maono yake na kama binadam hatuna budi kuheshim fikra za wengine hata kama zinatukwazaa
 
shansarie

JF-Expert Member
May 25, 2013
5,694
1,500
Ukikuta ujumbe mbaya unakukwaza delete futa kabisa repote abuse kwann ukwazike bwana khaaa.
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,234
2,000
haaa haaa haaa umenichekeshaje...... ujue hata maneno ya mungu watu wanayapinga japo si kwa kusema waziwazi, kwa mfano mungu anasema "msizini" lakini watu wanazini nje nje tu, sasa sembuse maneno ya binadamu
all in all hata kama mtu tunakuwa na mitazamo tofauti tunapaswa kutumia lugha ambayo haimfedheheshi mtu....
Wewe ndo umempatia, huyu jamaa anadhani maneno yake ni kama maneni ya mungu yaani hayapingiki,
 
Barasu

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,151
1,170
mwaka unaenda vile,ulikuwa wa furaha sana kwangu hapa mmu, comments nyingi za vichekesho zilinifanya niwe na furaha zaidi kwa muda mwingi, thanks to all, lakini kuna wakati wapo tuliotofautina na yaliisha pia,kuna avatar nilizipenda na zingine sikuzifurahia lakini haina neno sana,kuna watu niliwapenda kwa michango yao japo sitapenda kumtaja mtu hapa. ila nasema shukrauni nyote.
kitu kilichonikwaza hapa ni pale nilipoona kuna mdada aliyeonekana kuwa very negative kwangu pamoja na kwangu nilimpenda, nilijaribu kwa kiasi kikubwa kumaintain politeness yangu lakini ilifikia muda nikashindwa na nikamchukia pia, nililazimishwa kumchukia kwa comment zake negative kila mahala kwangu na si topiki.
sitamtaja pia lakini napenda kushauri kuwa tusiwe na chuki dhidi ya mtu na kama humpendi mtu basi ni bora usichangie kwenye thread zake maana hata ukinikoti muda wote unaniponda sitafurahia na nitalazimika kukujibu vibaya pia japo nakuwa nimelazimika sana

Hata Rais wetu amesema tusiwe watu wa visasi!
 
Broken soul

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
459
0
haaa haaa haaa umenichekeshaje...... ujue hata maneno ya mungu watu wanayapinga japo si kwa kusema waziwazi, kwa mfano mungu anasema "msizini" lakini watu wanazini nje nje tu, sasa sembuse maneno ya binadamu
all in all hata kama mtu tunakuwa na mitazamo tofauti tunapaswa kutumia lugha ambayo haimfedheheshi mtu....

Asa huyu jamaa sijajua nitumie lugha gani Kwake maana jus kitendo cha kuenda opposite na yeye basi kosa
 
farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,759
2,000
Pole sana....
Tujifunze kuishi na watu wa aina zote ijapokua wengine too much tusameheane tu....

Kuwekeana kinyongo baina yetu si jambo jema...
 
McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
Usitie miguu kule jukwaa kisirani mbn ungekonda huko kuna viumbe hata useme damu ni nyekundu watasema nyeupe na hoja juu bababekiii uku umemaliza mwaka na raia mmoko tu.
 
Chocs

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
8,237
2,000
Pole
Vitu vingine vinapita ili maisha yaendelee...kukwazana kupo sana ww samehe na usahau
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom