NILILAZIMIKA kumchukia msichana MMU pamoja na uvumilivu wangu wote,goodbye 2013 nitamsamehe 2014

If was mimi nasema sorry and naweza sema sorry kwa niaba ya huyo japo haukumtaja. Jitahidi kuwa na amani na watu wote as haujui muda wa kuondoka to the God.
 
Ungemwambia kuwa unampenda labda angepunguza kwenda opposite na ww ila usitake kila unaloongea liwe sawa kwa wote kubali challenge hayo ndo maisha jipange upya 2014 maana 2013 ndo tunaiaga hivyo!
 
Inabidi ukubaliane na hali halisi mkuu, not everybody will like your posts.
 
Tukifatilia sana hii topic lazima tutajua ulikuwa unamlenga nani. Ngoja tuendelee.....
 
Dah sh.it is serious humu!
Mtu anaweza kwazika kiukwelii kabisa kisa bifu na mtu hata hamjuani wala majina sio ya kweli humu!
Aisee the human being is amazing!
 
You never know with a man who is full of different moods making him a wonderfull animal forgeve and forget it sir.
 
vizuri km umeamua kumsamehe na kuanza mwaka 2014 vizuri, huyo dada mimi km napata picha ni nani lkn ni wewe Mshinga uliyataka ktk ile thred yako ya kuita wanawake humu wapo kwa ajiri ya kujiuza, sikutegeme km unaweza toka salama kwenye ule uzi wako kwa sababu hata mimi mwanume mwenzio ulinikwaza kwa kusema ulikua unaweka tongozo humu ndani kwa ID fake sasa sijui hiyo reseach yko ulikua unakwenda kuitumia. ila hata mimi nimekusamehe
 
Last edited by a moderator:
Hivyo ni vijimambo vya jf ..watu wanakosoa bila kujua jinsia yako wala umri. Inawezekana hata watoto wetu na wake zetu wanaweza hata kukutusi bila wao au wewe kujua..Don't take it personal
 
dawa ya mtu wa namna hyo ni kuendelea kuandka positive things hadi kuku-quote na kuandka negative aone aibu.
 
ukikubali kupata likes nyingi, ukubali pia na kukosolewa! Tukosoane tu, kibaya kutukanana!
 
Dah hii jamii ni yakuchukuliana tu maana kila mtu ana mitabia yake tusameheane na tupendane!pole kwa kukwazika
 
wewe Utakuwa hutaki kukosolewa

si kweli hata kidogo, muda wote huwa nipo tayari kujibu hoja lakini mtu anaekuja kwa chuku hazungumzii hoja bali chuki yake, huyo mtu mwenyewe hana huo uelewa wa kutoa challenge hata kidogo pamoja na kwamba anachangia katika mada nyini zaidi humu, nimekuwa nikipenda watu ambao ni very challenging, na humu ndani katika Jamii forum yote nimekutana na challenge nyingi sana kwa watu wengi sana katika majukwaa mbalimbali, kuanzia hapa MMU,HOJA MCHANGANYIKO na JUKWAA LA ELIMU. lakini sikuwai kukutana na mtu ambaye ni very challenging kama kiranga ,na wapo wengine pia nimejadiliana nao kwa hoja, lakini huyo hawezi kuchallenge ila anaonesha chuki dhidi yangu na ndipo nilipolazimika hata mie kuwa namjibu kwa kadri ya ubovu wa majibu yake na nikamchukia pia
 
Back
Top Bottom